Haiwi wala haitokuwa! Kwani wewe ndio Zitto? Au Mtama kwa watoto ndio msemaji wa Zitto?
Eti CCM mnaishauri Chadema
Mtasubiri sana..
Halafu eti anataka kuombwa radhi huyu mimi nashindwa kumwelewa anataka utukufu bado hajajutia ngoja uchaguzi ujao upite na yeye asote mtaani tuone kama ccm watampatia nini.
Kat ya watu wanaotakiwa kujiandaa kisaikolojia kutokana na ZITTO kurudi ni pamoja na wewe BEN SAANANE
Lakini mkuu huenda yale anayoshutumiwa na chama, yeye ana uhakika kuwa hakufanya pia hata kama alifanya basi ana uhakika kuwa si makosa, au kama ni makosa ana uhakika yanasameheka ndio maana anataka iwepo reconciliation baina yake na viongozi wa chama.
Pia tusikariri kuwa mtu akivunja sheria basi ndio hukumu, si sahii hata kidogo, Kwani Sheria nazo huundwa na watu ambapo naturally watu sio wakamilifu hivyo na sheria haiwezi kuwa kamilifu never. ndiomana hata bob Marley aliwahi kusema hivi " I will never be justified by the laws of mens" hivyo hapa chama muhimu watu wakeni chini muhafaka upatikane. OVER
Zitto ni CHADEMA damu, anaweza kufarakana na viongozi wake au wanachama wachache kutokana mistakes mbalimbali kama ilivyo kawaida ya ubinadamu, ila kamwe hawezi kukiacha chama (CHADEMA),
Kwa kuweka rekodi sawa, Zitto hata baada ya kufukuzwa CHADEMA hakuthubutu kukipaka chama matope bali yeye alikaa kimya tofauti na wahuni wengine wakina Shonza. (Silence is the source of great power), hali hii inathibitisha kwamba Zitto moyo wake bado upo CHADEMA na sio ACT, Yeye mwenyewe alishasema kuwa atakuwa wa mwisho kuondoka CHADEMA yaani kifo pekee ndiyo kitamtenganisha na CHADEMA na sio ubaya, wema, mtu au mazingira.
Pia lazima tujue hakuna aliyekamilika kwani hata biblia inasema hivi " Kama tukisema hatuna dhambi(mapungufu) tunakuwa tunajidanganya wenyewe nafsini mwetu tena zaidi twamfanya Mungu kuwa ni muongo"
Kwahiyo tunapoendelea kutafakari hoja hii ya uanachama wa Zitto, ni hivi anayejiona mkamilifu na mzalendo zaidi hata ya wale walioanzisha na kuikuza CHADEMA, basi na awe wa kwanza kumpiga Zitto mawe. OVER
Kumbe hawa wote walikuwa CDM? Du basi kuna shida CDM kwa nini wapambanaji wote wanapita pale na kukimbia, nadhani kuna shida ya kuadministration ambayo inatakiwa kuwa addressed
tumtamrudisha mkuu usijaliYani ninavyotamani huyu kijana mwenzangu zitto arudi katika chama na kukiendeleza.. Basi tu. Hata kama ni makosa hufanywa na binadam bana..msamaha kwa zitto ndio ukomavu kwa Cdm.
CCM ni chama cha wahuni na wapuuziKati ya CHADEMA na CCM ni chama kipi kilichopoteza wanachama watiifu wengi? ni vema ungeizungumzia CCM kwanza kuwa kuna shida kwani wengi unaowaona maarufu sasa katika vyama vya upinzani walikuwa CCM.
maiti labda ni wewe usijitambuamna mjadili maiti...
kamanda Molemo Sidhani kama hao wanao lalamika wanajua katiba ya chama inasemaje hakuna aliye juu ya chama
Naomba kuweka wazi...
Hakuna aliye juu ya chama.Kuna watu wanatafuta kutaka kuwa maarufu kuliko chama.
Zitto akitaka kurudi Chadema anapaswa kuomba radhi ajutie makosa yake na huu ndiyo msimamo rasmi.
Katiba ya chama iko wazi.Kukipeleka chama mahakamani ni kujifukuzisha mwenyewe ndani ya chama.
katiba ya chama chenu inasemaje kwenye swala la usaliti
HUELEWKI na umekaa kishabiki zaidi kwa kumchukia zitto UKABILA utakumaliza, jipangeni na litumieni hilo JEMBE mtavuka
kwani mara zote tunawaonya AKILI NDOGO zinawaongozeni MWILI MKUBWA