Chakaza
Platinum Member
- Mar 10, 2007
- 41,010
- 74,655
Vipi kuhusu ile sumu unayotembea nayo?
Single zingine bwana! Hivi huna habari kuwa hiyo imeshachuja? Sumu iliyodhibitishwa ni ile aliyopewa Mkono na mafisadi wa Escrow.
Vipi kuhusu ile sumu unayotembea nayo?
Mbowe hawezi kuwa mwenyekiti milele, mi sioni tishio hapo ni ssuala la muda na uvumilivu, Zitto bado mdogo na anao uwezo.He he patamu zitto ni tishio kwa uenyekiti wa mbowe
Tofauti ya Zitto na hawa ni kuwa yeye hajawahi kusimama hadharani na kuitukana Chadema hata siku moja. Hao vijana ni waste product ambayo haifai hata kugusa kwa mkono. Walitumwa watukane basi wacha wakae na matusi yao hukohuko ambako walidhani wamefika ila sasa wamegundua kuwa walitumika kama toilet paper.
Naona wewe unachanyanya katiba ya ccm naya Chadema hujui unachokiongea
Ameomba kujua kosa lake, Hilo unalosema wewe unataka akubali kosa ambalo hajafanya kisa arudi Kwenye chama, haiwi wala haitokua..
HUELEWKI na umekaa kishabiki zaidi kwa kumchukia zitto UKABILA utakumaliza, jipangeni na litumieni hilo JEMBE mtavukaNaomba kipengele kwenye katiba ya chama inayosema ukitaka kugombea uwenyekiti unanyima ndio mnavyo jidanganya hapo lumumba
Zitto aweke masharti kurudi CHADEMA kwani alitoka?
Anavyoingia bungeni anaingia kama mbunge wa chama gani?
HUELEWKI na umekaa kishabiki zaidi kwa kumchukia zitto UKABILA utakumaliza, jipangeni na litumieni hilo JEMBE mtavuka
kwani mara zote tunawaonya AKILI NDOGO zinawaongozeni MWILI MKUBWA
huu ni uwongo, zitto anahitaji chadema zaidi kuliko chadema inavyomhitaji zitto!chadema bila zitto hawawezi kujiendesha kabisa hata iweje tulisema kitambo kwamba watampigia magoti tu.
Nimeshangaa sana..
Huyu amekiburuza chama mahakamani...
Kama anaomba msamaha wa chama afute kesi kwanza ndipo aombe radhi..
![]()
KWA UFUPI
Ataka aelezwe kosa lake, kama kweli aombe radhi hadharani.
CHANZO: Mwananchi
That is not my point though.
Mwanachama ana haki ya kukiburuza chama mahakamani.
Na hajaomba msamaha.
Zitto aweke masharti kurudi CHADEMA kwani alitoka?
Anavyoingia bungeni anaingia kama mbunge wa chama gani?
Isome vizuri Katiba ya Chadema kuhusu kupeleka maamuzi ya Chama mahakamani.
Zitto niwa kuonewa huruma na kwa hakika yuko kwenye state of denial.
Mbali na waraka yeye na kitila waliandaa petition ya kupingana na chama na kitila alichangia 5milioni nyaraka zote zipo halafu mtu huyuhuyu pamoja na kuuza nafasi za ubunge anataka aombwe msamaha na chama.
Labda kama hicho chama ni chauma au act sio chadema
....Nadhani kosa kubwa litakalozuia kusamehewa na CHADEMA ni hilo la kutojua kosa lake hadi sasa. Iwapo Zitto hajaweza kujua kosa lake hadi leo, basi hastahili kurudi CHADEMA maana atarudia tena. CHADEMA inaweza kumsamehe makosa yote isipokuwa kosa moja tu LA KUTOJUA KOSA LAKE. Na katika hili CHADEMA isijisumbue kujaribu kumjulisha kosa lake maana tayari ilishafanya hilo vizuri sana, huo mchezo wa kitoto wamuachie aendelee kuucheza mwenyewe kama anadhani utamfikisha popote.
....Hahahaaaaa! Zittto bwana kiboko. Hivi Profesa keshajibu onyo aliloandikiwa na vijana wenye chama?
Wana CCM wako busy kwenye huu uzi..Endeleeni