Ben Saanane
JF-Expert Member
- Jan 18, 2007
- 14,580
- 18,227
Tena sio tu pekee Zitto kurudi bali tunataka pia na Kafulila, Moses Machali na Felix Mkosamali wote warudi CHADEMA, Siasa ni pamoja na kusamehana kwa maslai mapana ya taifa.
Naomba viongozi wangu wa CHADEMA taifa, wasikie kilio cha sisi wanachama wao.
Shardcole,
Umeongea kiuanamageuzi ....Nimekusoma.Sitaandika zaidi ya hapa !....
Last edited by a moderator: