Zitto: Ndio ninautaka urais

Zitto: Ndio ninautaka urais

Status
Not open for further replies.
Hakika haijapata kutokea kwenye harambee ya CDM jana kule Naura Spring Arusha.Na umri wangu nilio nao sijawahi shuhudia kilichofanywa na CDM jana.Halafu wanatokea Manyang'au wanawabeza majabali Mbowe na Slaa.Narudia kusema kwamba namuomba Mungu wangu anipe maisha marefu nimshuhudie Dr Slaa akiapishwa kuwa Rais mwaka 2015.Baada ya hapo Roho yangu inaweza kwenda kwa amani.
 
nimesoma makala vizuri, kuna mengi mheshimiwa ameyaandika,

hili la kuzungumza jinzi akina J J Mnyika na Mdee kwenye chadema, ina lengo la kuwajenga ? au ndio kuwabomoa. watu waone kuwa kumbe ni watu walioingia chadema kwa kusit sita, kwa hio ni maopportunist.

mheshimiwa sidhani kama ni sawa kuandika kila kitu kama ulivyofanya, kufanya hivi ni kuwapa nafasi maadui zenu kukumalizeni.

pili punguza sana kujisifu, fanya kazi na umma utaaamua wakati ukifika


nnakushauri kama mmoja alivyokushauri hii mada achana nayo. fanya kazi ukileta mchezo itakugharibia na kukutengenezea maadui wengi zaidi
sioni kosa la Zitto kuzungumzia ugumu waliokumbana nao yeye na Mbowe wakati wanaanza kuwashawishi vijana kujiunga na CHADEMA. Mkuu kuijua historia ya jambo lolote ni muhimu sana. Nimekua siku zote naandika hapa kuwajibu wale ambao wamekuwa wanamshambulia kwa kashfa Mbowe kwamba hawajui historia ya mageuzi nchini na jinsi gani Mbowe na wenzake walijitoa na sasa tunaiona CDM hapa ilipo.
 
What do you say?



Nashukuru mkuu Ben kwa kutuwekea hii makala hapa. Labda tujikumbushe ule usemi wa 'walk the talk and not talk the talk.

Niliposoma hii artickle nimemkumbuka Barack Obama. Huyu rais ni mzuri mno wa kuongea, anajenga hoja zenye mashiko na ukisikiliza hotuba zake unaweza hata kumkabidhi fungo za gari maana ni rahisi sana kuamini mwisho wa mikosi umewadia, kumbe wapi. Obama sio kama ni sifuri kwenye utendaji lakini he is just as weak as the man standing next to him.

Zitto ni mzuri sana wa kujenga hoja, hilo halina ubishi, je, yukoje kwenye utekelezaji? Wakati wa Speaker Sitta, Zitto alipigania (kwa nguzu zake zote na kwa gharama kubwa) utata wa Barrick/Buzwagi. Fast foward, Barrick hao hao wanampa mabati Zitto kwa ajili ya huko jimboni kwake - ceteris paribus!

Lugha/nguvu aliyokuwa anatumia bungeni kipindi hicho wakati anajadili Buzwagi/Barrick ni tofouti kabisa na sasa. Kuna thread moja inaongelea hii issue ya mabati ya Barrick hapa jf, na Zitto alijaribu sana kutoa maelezo na hata kusema kuwa (tafsiri yangu) amekuwa, uelewa wake umekuwa mpana.

Katika hali ya kawaida, ni vigumu kumsimamia vema mtu wakati huo huo unamtegemea akupe push (hata kama ni push ndogo kama ya mabati). Kisiasa unakuwa umesha-compromise your position.

Labda nikumbushe, mwaka jana waziri mkuu Pinda alisoma majina ya makampuni 15 yanayoongoza kwa kulipa kodi kwa miaka 5 iliyopita. Barrick hapo! Hili lilikuwa bunge la bajeti 2011/12. Mchango wa Zitto kwenye hicho kikao ni pamoja kuweka utaratibu wa 'windfall tax' ili bei ya dhahabu inapoongezeka kwenye soko la dunia basi ongezeko hilo liwe reflected kwenye kodi wanayolipa. Lakini sijamsikia Zitto akiongelea kwa kina kuhusu Barrick na kodi kwa ujumla hasa ukizingatia kuwa hawapo kwenye top 15. Sasa leo anataka watanzania waamini kuwa akiwa kwenye top position atasimamia vizuri madini na gas? Hapa ndio Zitto anatakiwa ku- walk the talk and talk the talk.

Sisemi haya kwa kumvunja moyo, hata kidogo. Nataka Zitto ajue exactly ni mambo gani anatakiwa aangalie, na vipi anaweza kujijengea imani mbele ya watanzania - wapiga kura. Mabati yanaweza kuwa ni kitu kidogo sana lakini yanatoa taswira kwamba huyu ni mwanasiasa wa aina ipi?. Huwezi kuniambia kwamba shughuli za mtu huyu zina walakini wakati huo huo unapeleka bakuli kwa hiyo mtu akusadia kutokana na mapato ya shughuli zile zile zenye walakini!. Utanicha na maswali.

Ushauri wangu Zitto, be yourself, rudi kwenye principles zako za zamani. Hauna sababu ya kuzibalisha. Achana na mashorabo wa mjini. Hawaaminiki.

FJM

This I wrote last year and on my blog



Dear Balozi,

I send my congratulatory message following the bold step by the Country’s leading exporter to trade its shares at Dar Bourse(DSE). It is an opportunity for Tanzanians to own part of this lucrative business and individually benefit from it. I have some issues that I would like to raise for your attention. I am using the opportunity in your capacity as Board of ABG to air my concerns. I understand that*crosslisting of ABG shares at DSE*has been a dream of many Tanzanians working with the company.

I personally in 2009 intervened and asked BoT to relax the capital account and allow Tanzanians to buy ABG shares during its IPO in London. Crosslisting is thus welcome and encouraged. Below is a list of issues (which makes me have genuine reservations) about the move.

*In 2010 (from*its prospectus) ABG had a turn over of $975m, EBITDA of $419m and a Net Income of $218m. As a result of that performance it declared dividend of $3.7 per share.*I later learnt that ABG posted an incmoe tax expense of $86,471,000. However TRA did not receive this revenue as a corporate tax from ABG, thus this was definately*not paid at source due to a fact that ABG resides in London.*You*will take a strong note that WHILE all ABG operations are in Tanzania,it is Her Majesty(HM) Revenue*collecting its corporate tax.

ABG has designed Tanzania (Dar) as a logistics Office while J’burg is largely procurement office and London HQ. This structural design is one of the ways Multi National Corporations(MNCs) use to minimise tax payments to developing countries. The source – Domicile method is used by many tax avoiders and it is really causing alot of stress to governments in LDCs.

You will as well note that while ABG declares profit in London, pays dividends and even corporate tax at domicile, no single ABG subsidiary in Tanzania declared profit and paid corporate tax in 2010. Bulyanhulu Goldmine (Kahama Mining ltd), NorthMara Goldmine ltd and Pangea Minerals (owning Tulawaka and Buzwagi) all didn’t pay corporate tax in Tanzania in 2010, but ABG posted an income tax expense as shown above. From my knowledge of International Taxation, it seems ABG is enjoying a Double Taxation Treaty(DTT) between Tanzania and UK which is unfair in all measures.

I am kindly asking you Balozi to consider this matter and raise it in your Board meetings so that ABG either relocate to Tanzania as its HQ or subscribe to a system whereby it pays its corporate tax at source rather than at domicile (with 5 officials only).

I read from The Citizen and DailyNews that you raised the issue of wider benefits and that ABG brought back to Tanzania more that $540m as wages and salaries and other costs. I totally agree with your views of gross benefits (jobs, skills transfer etc)*and looking at things in a bigger picture rather than just Government Take Statistic (Royalties, Taxes and other fees). However we must balance the two as the Government has a duty to provide for its citizens including the companies themeselves.

These are Public goods like Defence, Law and order as well as infrastructural development, and Merit goods like Health, Education and even social security. Therefore focus on Government Take statistic is as crucial as Gross benefits. I understand that ABG is one of the largest contributor to NSSF. But we shouldnt close our eyes on the importance of government Revenue. I kindly ask you to understand when some of us repeatedly raise this issue. It doesnt mean i belittle the bigger picture NO as i am big fun of linkages approach of looking at mining sector and its contribution to our economy.

From 7th December, ABG will start trading at DSE as a crosslisted company. 24% of the shares of ABG held by individuals and institutions will be traded locally, ofcourse at LSE prices. This doesnt mean Tanzanians will be buying some slice of ABG from itself but from investors owning the shares now.

This isnt the spirit behind the Mining Act 2010 which aim at having part of the company to be owned by Tanzanians. I think ABG was supposed to sell atleast 10% of its shares to Tanzanians (reducing the shareholding of BarrickGold Corporation from 76% to 66%). You might argue that the market wouldnt absorb this amount but ABG could do a private placement to Tanzania’s institutional investors like Pension Funds and even Unit Trust of Tanzania.

Let Tanzanians buy the shares traded at LSE as they wish (ofcourse we are a free market country) but strategic shares sell to Tanzanian institutions (on behalf of the people) shall be explored. I kindly ask that ABG does this for its gesture to be meaningful. I will be shocked and saddened if Pension Funds will buy ABG shares to be crosslisted.

I think ABG should engage our institutional investors through a private placement of 10% from shares held by BarrickGold Corporation in addition to crosslisting. This is good for ABG as i must remind you that according to the Mining Act 2010* the Government has the right to own up to 15% of each company and for ABG it will be a big trouble as the government will treat all subsidiaries separately and not as ABG. In real sense there is no ABG in Tanzania but Bulyanhulu Goldmine ltd, NorthMara Goldmine ltd and Pangea Minerals ltd.

A strategic private placement by ABG to institutional invetors will place it on upperhand when the government decides to enforce the new law and this will be very soon.

I have written to you believing You are*one of the*Tanzanians highly trusted and with credibility to effect changes to our country. I hope you will take note of my views, weigh them and take forward the ones you think are relevant. We must together answer this paradox: A Rich Country with Poor People. It is very clear to me that mining sector will not alone end all poverty we have in Tanzania, but its contribution to poverty reduction is massive.


Zitto


Also read my speech as shadow minister finance about mining taxation
 
kwanza nataka ku-declare interest yangu kwenye mjadala huu.....umri wangu hauangukii kwenye kundi la ujana.

zitto & co wanapo-champion vijana kukamata uraisi ninawaunga mkono kwa 110%.
kwani umri ni nini? si ni namba tu? kinachotakiwa kuzingatiwa ni maturity, and zitto is more than mature already.

i think wa-TZ wengi bado "tuna-suffer" from modesty ya mwalimu nyerere (ambayo kusema za ukweli lilikuwa ni jambo nzuri).
as far as mwalimu was concerned, dhamana ya utumishi kwa umma ni kitu ambacho mtu alitakiwa kwanza asiwe anakitafuta yeye binafsi kwa bidii sana na pili hata pale atakapokuwa ameombwa alitarajiwa kujitathimini sana mwenyewe (in fact he/she should be seen doing it) kabla ya kuikubali.

"syndrome" hii ndiyo inayomfanya zitto aonekane kama vile ni mtu asiyefaa, mwenye tamaa ya madaraka, nk.
ushauri wangu kwa zitto na wenziwe ni kuwa katika desire yao ya ku-aspire for that highest post, their approach should take into consideration this "nyerere factor", probably not in content, but at least in context.
 
Suala hapa siyo Zitto,suala la kujadili ni umri wa kugombea urais.Mnajadili mtu badala ya hoja!
1.Uko sahihi ,Swala unautengenishaje
2.Who is going to be beneficial ..say in 2015 if this agenda passed
3.Kaamsha hoja bila ku declare conflict of interest
4.Sasa hivi anautaka Urais
5.Kwa akili ya kawaida inatia shaka kubadili katiba kwa maslahi ya kikundi cha umri ...
6.Sababu ya kuweka umri unaotumiwa na mataifa mengi ni nini ..kwa nini isiwe mtu mzima yeyoe kuanzia 18yrs research gani inaonyesha 35yrs inafafaa mpka waka propose
7.Kesho tutasema kama mtu anaweza kuchagulia tena na tena mpaka anakufa na iwe hivyo tuliweke hilo nalo kwenye katiba mpya si demokrasia!!!mtajikuta watu wanatumia vivuli vya demokrasia au kikundi fulani cha watu kutimiza matakwa yao..now taking advantage of youth ..this is not right .
8.Vijana wahajanyimwa haki ya kuwa Rais kwa kuwa umri wao unaenda mbele so watakuwa to na 45yrs bado kijana sana kwa urais.
9.Kila mtu ana uhuru wa maoni haya ni ya kwangu
 
- Tanzania tunahitaji Viongozi bold kama Zitto, Januari na Nape, vijana wasio na woga na wenye commitment kwa mabadiliko ya taifa, wawe royal kwa Taifa zaidi kama hawa walivyo na wabunifu.

- Tupo kwenye dunia ya smart politics zinazohitaji kuongozwa na smart politicians, yale mambo ya kiongozi wa chama kimoja kutooongea na wa chama cha kingine yamepitwa sana na wakati, nashangaa wapenda mabadiliko Great Thinkers kulilia Zitto aendeleze siasa za kizamani za uaminifu kwa chama kuliko Taifa, please lioneeni huruma hili taifa people ishu inatakwia kuwa kama Zitto ana uwezo wa kulisaidia Taifa lakini sio ameongea na nani au hakugomea hotuba!

- I mean kugomea hatuba ya Rais aliyechaguliwa na wapiga kura 60%, eti ndio kigezo cha kufaa kuwa Rais wetu? Eti kugomea kua kwenye kamati ya madini ya taifa ndiyo kigezo cha kufaa kua Rais wetu? Kutaka kuwa Mwenyekiti wa Chadema against Mbowe ni makosa ya kumfanya Zitto asiwe a good president?

- Unless I am missing something, kwa wale msiomtaka Zitto kuwa Rais, mnakosa hoja nzito against his will, tafuteni hoja nzito kama hamna kama inavyoonekana kwenye hii thread, tujadili mengine yanayohusiana na Vijana kama yeye kutaka urais nini athari na faida yake kwa taifa letu?

Otherwise, nilidhani JF tunatakiwa kuwa maa-agent of chaange, sasa tunaposema Vijana kama Zitto wasiwe na ndoto za Urais, who are we protecting kama sio the very system ambayo tumeipigie kelele hapa for years kwamba tunataka ibadilike! Tuache siasa za majina tujali taifa, understanding kwamba katika kumkubali Zitto tutaruhusu Vijana 10 ambao 7 watafaa na 3 hawatafaa, lakini italisaidia taifa in the long run kama Obama alivyosema alipokuwa bungeni Ghana!


FMEs!
 
FJM

And who is constantly talking about mining companies to migrate to the new law?

Do you read my work?

Who is asking the government to ensure linkages of the sector?

We have a new law which is far better than the previous. I am very proud to be part of the team, to be the main agitator for the reforms in the sector.

Today no foreigner is allowed to own a licence for gemstone. TanzaniteOne wanahaha sasa kupata leseni.

Kuna aya ya Quran inasema, wana macho lakini hawaoni. Wana masikio lakini hawasikii nk.
 
Hizi Alliance/ coliation zitakupeleka pabaya sana Young Man........kama unataka kujifunza siasa na ufike mbali fuata nyayo za John Mnyika hizi akili za kushikiwa na mtu hazitokusaidia.
Wamekuja akina Mr 2 Sugu wamechukuwa kadi mwezi mmoja baada ya miezi mitatu wamekuwa Wabunge na wewe kama unajiamini ni mwanasiasa wa kweli nenda kajijenge kwenu na usimame kwa miguu yako miwili na ushinde ubunge. kama wewe ni Mwanasiasa mzuri unaweza kunieleza sababu za kisayansi ni kwa nini kura za ushindi wa Zitto Kabwe mwaka 2010 zilipunguwa jimboni kwake?
Matola,

1.Ati Alliance na coalition zitanipeleka pabaya?pabaya ni imagination tu,ni wapi huko? Acha kunitisha,sitishiki!

2.Kama nataka kujifunza siasa ili nifike mbali?Mbali ni wapi mkuu? Naona huu ni mwendelezo wa siasa za ubinaqfsi/unafiki.Unamanisha nijikite kwenye siasa za kujineemesha?huku ndiko unakopaita mbali? Sihitaji kujifunza siasa ya aina hii.

Kuhusu kufuata nyayo za mtu,mimi siyo aina hiyo ya copy and paste.siasa za copy and paste ndizo zilizotufikisha hapa.nina misiammo yangu na nina principles zinazoniongoza kwenye siasa na uongozi hata kama ni nje ya siasa.

Kuhusu kufuata Nyayo za Mnyika nimeshakujibu hapo juu,huyu ni kiongozi wangu ni rafiki na huwa tunashauriana mambo mengi na tunaheshimiana ila usinichagulie kitu cha kufanya/kufuata

3.kuhusu akina sugu sijui wamefanyaje,hayo ni yao.Kila mtu ana historia yake.Kuhusu kugombea ubunge Mungu akipenda nikifika salama 2015 nitagombea hilo halina mjadala.Hata 2010 ilikuwa nigombee lakini nilikuwa nje nikimalizia mitihani yangu ya Masters.Nilipokuja mchakato ulikuwa umefika mbali,hivyo niliamua kutogombea na nikaelekeza nguvu kukisaidia chama changu hasa Rafiki yangu John mnyika,Halima mdee,Regia Mtema (R.I.P) na majimbo ya Moshi mjini na jimbo la Rombo ambako waliamini kwamba mramba hawezi kushindwa uchaguzi.

Ati kama najiamini?Ndiyo ninajiamini sana.....!

4.Kuhusu kusimama kwa miguu yangu miwili: Hata sasa nasimama kwa miguu yangu miwili,nina kazi na ninafanya kazi kwa bidii.

Kwenye siasa sitegemei kubebwa,siamini katika siasa za kubebabana labda tubebane katika msimamo na vision basi.Naamini katika principles.Niligombea uchaguzi wa BAVICHA sikubebwa zaidi ya kutarajia kubebwa na wapiaga kura ambao wangekubaliana na kile nilichokuwa ninaamini.Ninaamini katika maamuzi ya ballot box,siamini katika remote control.

Watu wa kubebwa wanajulikana,cowards wasiojiamini na kusiamamia wanachoamini wanajulikana.Mkuu hapa utanitaka radhi
 
- Tanzania tunahitaji Viongozi bold kama Zitto, Januari na Nape, vijana wasio na woga na wenye commitment kwa mabadiliko ya taifa, wawe royal kwa Taifa zaidi kama hawa walivyo na wabunifu.

- Tupo kwenye dunia ya smart politics zinazohitaji kuongozwa na smart politicians, yale mambo ya kiongozi wa chama kimoja kutooongea na wa chama cha kingine yamepitwa sana na wakati, nashangaa wapenda mabadiliko Great Thinkers kulilia Zitto aendeleze siasa za kizamani za uaminifu kwa chama kuliko Taifa, please lioneeni huruma hili taifa people ishu inatakwia kuwa kama Zitto ana uwezo wa kulisaidia Taifa lakini sio ameongea na nani au hakugomea hotuba!

- I mean kugomea hatuba ya Rais aliyechaguliwa na wapiga kura 60%, eti ndio kigezo cha kufaa kuwa Rais wetu? Eti kugomea kua kwenye kamati ya madini ya taifa ndiyo kigezo cha kufaa kua Rais wetu? Kutaka kuwa Mwenyekiti wa Chadema against Mbowe ni makosa ya kumfanya Zitto asiwe a good president?

- Unless I am missing something, kwa wale msiomtaka Zitto kuwa Rais, mnakosa hoja nzito against his will, tafuteni hoja nzito kama hamna kama inavyoonekana kwenye hii thread, tujadili mengine yanayohusiana na Vijana kama yeye kutaka urais nini athari na faida yake kwa taifa letu?

Otherwise, nilidhani JF tunatakiwa kuwa maa-agent of chaange, sasa tunaposema Vijana kama Zitto wasiwe na ndoto za Urais, who are we protecting kama sio the very system ambayo tumeipigie kelele hapa for years kwamba tunataka ibadilike! Tuache siasa za majina tujali taifa, understanding kwamba katika kumkubali Zitto tutaruhusu Vijana 10 ambao 7 watafaa na 3 hawatafaa, lakini italisaidia taifa in the long run kama Obama alivyosema alipokuwa bungeni Ghana!


FMEs!
Mara nyingi watu makini hu back claim zao na tafiti mablimbali ,je hapi inaonyesha kuwa 35yrs meet all the necessary requirement to run of the highest office in the country? Au sisi ndio tutatumika kama sample ya ku proof hili....ok inawezekana kuna inchi zimepitisha hili ni zipi na matokeo ni nini kwa walioongoza wakiwa 35yrs.

Good intention is not enough ...

Sidhani kuna mtu hataki wapinzani wasiongee na chama tawala utakuwa unaongea uongo ulio tukuka ..swala ni wanongea nini na kupanga nini...Binafsi sina tatizo na issue ya uwezo nchi yetu human resources inaongezeka kila siku ,tatizo tulilo nalo ni uadilifu kuwa bias kataka kuteua wasaidizi wa viongozi...

Kama unaweza nisaidia post yangu ya juu hapo kuhusu umri acha personal kuhushu Zitto
 
imefika kipindi umri upunguzwe angalau 35yers! kijana awe na uwezo wa kugombea urais
 
Ndio tatizo lenu watu wa kaskazini mnalazimisha Slaa 2015 agombee urais ili hali atakuwa mzee na hatufai tena. Na isitoshe mzee hana jipya kwa sasa, awaachie vijana wakina Zitto. Kuhusu umri katiba ijayo tunalirekebisha hilo na Zitto ambae ni chaguo la CDM wengi ata qualify.

chaguo lako na si la wananchi
 
Why zito with j.makamba, and not with mnyika, T. Lissu, mdee or lema. Zito hueleweki umezidi kuambatana na hao magamba ndio maana napata wasiwasi kwanini hushirikiani na watu ambao unaoendananao kiitikadi na mara kwa mara kwenye misimamo yako upo na j.makamba?
 
Nasikia huyu jamaa bado bachelor. Rais mhuni?

Inatumika sana hii poindi ila ....Hii siyo point kabisa kwa maoni yangu na siku itakayo kuwa point hatabaki mtu TZ,maana mwenye wake wengi familia zao wana ziendeshaje?,wakina Lipumba BACHELOR...,Slaa mimi nachukulia bachelor tu ....
 
zitto anafaa lakini ana tatizo moja kubwa....
 
Kwani kuna ubaya kwa Zitto kugombea urais? ni haki yake kikatiba, na chadema ni chama cha kidemocrasia ilani ya chama chetu haimzuii Zitto kufanya hivyo.

Basi akagombee chama kingine lakini sio chadema. Lazima chama kiwe na malengo. dr.Slaa alishapiga jaramba 2010 kilichobaki ni kuingia uwanjani(ikulu). Zitto bado anao mda wa kujipanga na umri unaruhusu. hatutaki kupoteza nguvu kazi kama Slaa ipotee hivihivi. Inabidi dr.Slaa atoe mchango wake kwa taifa lake nasi tumfaidi.
 
Itakuwa jambo la busara sana mumchagulie Zitto marafiki na wengine mumuambie sio asiwakaribie tu bali awanunie hata wakikutana kwenye korido za pale mjengoni. January ni kijana mwenye vision na mwenye uelewa mkubwa sana. Binafsi namkubali sana January kwani kauli zake na matendo yake yanajipambanua na wazee waliopo ndani ya ccm. Haitakuwa jambo la busara kuanza kuchokonoana nani rafiki wa nani kwani kwenye siasa kuna zaidi ya mambo ya majukwaani kwani nani hakustaajabu Rev Mtikila kupewa mil 3 na Rostam? unadhani kila jambo likiwekwa hadharani na uswahiba wanasiasa na nyie mnavyochukulia uadui mtabaki chamani?

Tujaribu kuwa wastaarabu kuwa na uswahiba na mtu mnaetoka itikadi au dini tofauti sio tatizo! angalieni hilo kwa jicho la tatu tukianza hivyo tutaanza kukatazana tusiwe na marafiki na zile sehemu ambazo cdm haina wawakilishi itafika mwisho kwa wale wa dini au dhehebu fulani maana hawakutupa kura! Siasa sio ugomvi wote wana leo la kutuongoza iwe slaa au zitto sioni tatizo ila nyie mashabiki ndio wenye matatizo jaribuni kupunguza umbumbumbu wa siasa.

Mkuu,

haya ndiyo matokeo ya kuiga siasa za magharibi kizuzu.hatutaki hata kuiga kule walikotuletea siasa za kimagharibi.Umeona hata Us kuhusu kupitisha mswada wa afya(healthy care Bill) wabunge wa Republican na Democrats walitofautina na kukubaliana katika misimamo.Kuna walioungana na Republican kuupinga mswada tena kwa maneno makali kabisa.

Watu wa vyama tofauti wanakaa wanajadiliana kila mmoja akijaribu kujenga hoja based on ideology.Sisi tukijenga hoja tunajenga based on majungu na ushabiki wa ajabu ajabu.Siasa hizi za kufuata mkumbo ndiyo ombwe lenyewe.Hakuna Ombwe baya kama ombwe la fikra,ndiyo mama wa maombwe mengine yote ya uongozi,weledi wa mambo,imani n.k

Hizi saias za u-simba na u-yanga ni janga kwa Taifa.Kinachosikitisha wanaopinga kupanua wigo wa umri wa urais hawajengi hoja ndani ya mantiki husika.

Tatizo tunakubali haraka kulishwa upepo.no wonder kikombe cha babu kule lolliondo kilitufanya tugeuke Juju nation ! Tulumbuka kweli kweli,na nature ya misafara,vikumbo n.k ndiyo ilikuwa Taswira halisi ya kwamba taifa sasa limefikia kwenye alarming stage. Hadi wasomi kipindi kile walichangia kuingiza watu mkenge kwa kuwa waliwahi kumeza upepo,hili ndilo tunaloshuhudia hapa.Kulishwa upepo,propaganda hasi dhidi ya mtu halafu unakubali huku ukiwa unaona kabisa kinachosemwa hakina ukweli.


Mara nyingi watu makini hu back claim zao na tafiti mablimbali ,je hapi inaonyesha kuwa 35yrs meet all the necessary requirement to run of the highest office in the country? Au sisi ndio tutatumika kama sample ya ku proof hili....ok inawezekana kuna inchi zimepitisha hili ni zipi na matokeo ni nini kwa walioongoza wakiwa 35yrs.
Good intention is not enough ...
Sidhani kuna mtu hataki wapinzani wasiongee na chama tawala utakuwa unaongea uongo ulio tukuka ..swala ni wanongea nini na kupanga nini...Binafsi sina tatizo na issue ya uwezo nchi yetu human resources inaongezeka kila siku ,tatizo tulilo nalo ni uadilifu kuwa bias kataka kuteua wasaidizi wa viongozi...
Kama unaweza nisaidia post yangu ya juu hapo kuhusu umri acha personal kuhushu Zitto

Mwalimu Nyerere aliongoza kupata Uhuru akiwa chini ya miaka 38.Kuna viongozi wamefanya makubwa wakiwa na umri chini ya miaka 40.

Unaweza kushusha umri hadi miaka 35 na asipatikane kiongozi mzuri pia.Katiba ya Kenya kwa muda mrefu imeweka minimum age 35.So far,hakuna Rais kijana aliyepatikana hata below 45 katika historia ya Kenya.

Chadema inaonyesha njia na itaendelea kuonyesha njia kwani slogan inasema vijana ni taifa la leo.Iko against na the awkward notion and rhetorics za CCM zilizotaka kutuaminisha kwamba vijana ni taifa la Kesho.Kwa asilimia kubwa ya population ya Taifa letu ambao ni vijana akipatikana kijana mwenye uwezo mkubwa,matured na anayeweza ku-prove beyond reasonable doubt kiutendaji na kwa record itakuwa ni jambo jema.

Hata hivyo katika huu mjadala wa Zitto na Makamba,nauunga mkono.Hata hivyo busara zinaelekeza kufuata taratibu na muafaka ndani ya chama

The world keeps changing for the better because of radicals who can think outside to box the discover hidden truth and solutions to problems. Conformist and psychopaths which they have groomed out of all make good followers but never takes their society forward.

It is painful when we cannot get these truths. I know it is because what we know is what they told us. Their lies have become our truth
 
Zitto is quality guy, na anafaa sana kuwa rais wa nchi hii, kundi la akina slaa wanamuogopa sana huyu jamaa. Ki ukweli hata CCM wanajua CDM wakimueka huyu jamaa kugombea urais ndo mwisho wao. Slaa hauziki kabisa na eyari ameshajeruhiwa sana kwenye uchaguzi wa 2010 na hakubaliki na makundi yote ya jamii.
BIG UP ZITTO
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom