William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,464
- Zitto, Januari, Nape ni just a symbolism tu on behalf ya Vijana wengine wote maana huwezi wataja wote kwa majina ni wengi sana,Why zito with j.makamba, and not with mnyika, T. Lissu, mdee or lema. Zito hueleweki umezidi kuambatana na hao magamba ndio maana napata wasiwasi kwanini hushirikiani na watu ambao unaoendananao kiitikadi na mara kwa mara kwenye misimamo yako upo na j.makamba?
- HOWEVER: IT IS about time sasa tukajikita kwenye Taifa na Vijana tuangalie the experience ya Vijana kwenye power na hasa kama toka tuanze kuwapa nafasi kuna mabadiliko kitaifa ambayo yanaweza kwua accounted for kwamba ni Vijana ndio sababu yake, kama hayapo then tuachane na Vijana kwenye Taifa, wabaki kwenye vyama tu,
- lakini kumshambulia Zitto kwa sababu za kibinafsi zaisi kuliko mshiko kwa Taifa, inaleta maswali mengi sana kuliko majibu na hasa kama Great Thinkers kweli tupo commited na Taifa au interest za binafsi? I mean hizi never ending Zitto's attacks in unproductive kwa Taifa, mimi sijawahi kusikia Zitto emetoa hoja au maswaada bungeni ambao ni against masilahi ya taifa, sasa tunamuhukumu na makosa gani kwa Taifa?
- Au ni kutaka kwake kuchukua fomu ya Uenyekiti huko CDM ndio dhambi ya kumfanya asifae kua Rais? I mean are we being fair kwa Taifa na Vijana wengine wote kwa sababu kumhukumu Zitto bila hoja na hasa on Ujana wake tunawahukumu vijana wote nchini, Great Thinkers tulitakwia kuona hilo mapema kwamba for that tunawapalilia wazee kuendelea sasa mabadiliko yatatokea wapi ambayo JF tumekuwa tukiyalilia for years!
I mean tufike mahali tutenganishe National interest na personal interest, Zitto ni symbol tu ya Vijana wengi wenye uwezo ambao wanaona wakati ni huu, sasa it should be a National debate kwa kuangalia the history je toka vijana waanze kushika power kwenye vyama mpaka taifa, kuna anything good kwa taifa as opposed na kabla hawajashika?
FMEs!