Zitto: Nashambuliwa, tunashambuliwa! PAC tunasema "Hatutetereki"

Zitto: Nashambuliwa, tunashambuliwa! PAC tunasema "Hatutetereki"

account yako imekuwa hacked?
Ha ha haha ha ha ha ha ha,

mkuu MOSSAD, ni mimi mwenyewe huwezi kuamini nilikuwa shabiki na kipenzi cha zitto lakini kama unavyojua vijana hatuchoki kuongeza kitu kichwani kwenye mishe zangu nimepata uozo wa zitto mwingi kweli kumbe huyu kamaa ni mnafiki kiasi hiki yani ni mpigaji wa kufa mtu halafu akiharibi anawahi kujikosha kama alivyofanya jaa mjinga sana,kiukweli majina yote machafu kama mwizi,fisadi,rushwa,msaliti,tapeli,mvutaji na mengine yote unayojua unaweza kumwita zito utakuwa hujamsingia bali anastahili sikuamini niliposhuhudia zitto akiapa kuisaidia benki ya standard charterd ya waingereza eti zile pesa za a/c ya Ya tegeta ipewe hiyo bangi wakati anajua mahakama imeshatoa maamuzi kuwa PAP ndiyo wameshinda kesi hizo hela na mali zote za IPTL wapewe wao lakini zito hataki eti waingereza wamemsaidia sana kwenye siasa na mambo mengine kwahiyo na yeye lazima awasaidie.

Kama haitoshi zitto huyu ambaye tulimuona kama mzarendo leo anashirikiana na wakili tapeli mkono kuibia tanesco bila hata ya aibu anamtisha katibu mkuu wa nishati kisa amegomea mipango yao mingi ya kuchota pesa tanesco amakweli usilolijua ni sawa na usiku wa giza nilikuwa simjua zitto sasa nimemjua hafai kanisani wala msikitini mungu jalia na wengine wamjue nilishatangaza sitaki hata kusikia sauti yake wala hoja zake na kinafiki make kanajifanya kuongea kwa hisia kumbe kanafiki sijui angekuwa ile jinsi nyingine ingekuwaje kama pamoja na hii jinsi yuko hivi nahene bagosha bane!
 
Umevurugwa wewe, huwezi kuwa na hela then hela ya kumtibu mzazi uanze kukopa watu...!

Mambo ya starehe huko bar kila mtu analipa na kupewa ofa, hii iko obvious...!

Then utakuwa mnafiki sana kama unakunywa na Zitto bar moja halafu unakuja kutangaza huku,

Hivi wewe ni liCCM au lipuuzi lenye chuki tu na Zitto

Nilishawahi kuwa mlinzi wake.

Nilishawahi kukaa nae hunifahamu wala sitotokea kuwa ccm wala kuipigia kura ama kuisifu.

Ni chama ambacho kimeuwa watu na kinauwa siwezi kuwa kwenye dhambi ya namna hiyo.

Kipindi alikuwa Zitto.

FYI...ZK wa 2006-2009 siyo huyu wa leo.

Kwa sasa hata kijiweni kwetu Flirtiase siwesi kaa nae meza moja. Mie na yangu nae kivyake.

Mnafiki huyo kaka yako. Anatumika anataka kick. Aishkru Mahakama
 
Zitto wa escrow sio sawa na zitto wa buzwagi. Msukumo wa buzwagi ulikuwa ni uzalendo, msukumo wa Leo ni kujisafisha.

Sent from my iPhone using JamiiForums

Mkuu umemaliza. Mpaka sasa anatumia CV ya Buzwagi.

Kaona Kafulila atang'ara kaamua kuishupalia kama ni yeye vile kumbe ni mpiga dili tu.

Anataka kujisafisha
 
Zitto wa escrow sio sawa na zitto wa buzwagi. Msukumo wa buzwagi ulikuwa ni uzalendo, msukumo wa Leo ni kujisafisha.

Sent from my iPhone using JamiiForums

Mkuu sana Mchambuzi...kwa heshima yako naamini ulipaswa uwe mfano kwa kuangalia hoja badala ya mambo madogo yasiyo na maslahi kwa sasa...tunahityaji nguvu zaidi ya yanayotuunganisha kuliko yale yanayotutenganisha hasa palipo na maslahi mapana ya nchi.

Ata kama mie ni mpenzi wa Yanga lakini siku Taifa Stars ikicheza na nchi nyingine muhimu kwangu ni ushindi wa taifa langu, ata kama atakayefunga goli ni mchezaji wa Simba nitashangilia kwa nguvu zote maana muhimu kwangu sio nani kafunga bali Taifa Stars imeshinda. Na kwenye siasa tufuate njia hiyo.
 
Mungu amlinde na mashetani(maCCM) na baadhi ya maCHADEMA majinga yanayofikiri zitto kushinda vita hii ni haramu, wanaofikiria bora 200bil. Ziliwe lakini si Zitto kubeba ajenda ya waTZ

Mimi napinga wizi wa aina zote sio za mabilioni tu.

Nampinga zitto sio kwa sababu na yeye anapinga wizi, bali kwa sababu umefanya wizi unaofanywa na ma ccm kama projects zake za kupiga hela.

Na mbaya zaidi anashiriki katika mkakati mahususi wa luhakikisha ccm haitoki madarakani wakati inawrzekana kabisa kwamba ccm ikiondoka madarakani huo utakuwa ni ushindi mkubwa dhidi ya uovu wa sina nyingi unaofanywa katika taifa letu na serikaki ya ccm.

Ndio maana,hata katika post hii zitto anaonyesha kwamba,anachokifanya ni kujirabu kuzuia seth asiiangushe serikali ya ccm kama alivyoiangusha serikali ya kanu kenya.

Katika hili zitto anajua mwisho wske vizuri sana,hautakuwa tofauti ni epa,na hiyo hela haitorudi sana sana yeye atakuwa amepata bonus ya kisiasa ili kuzuia ccm isitoke madarakani na hawa wezi wawe wamepona.
 
Nilidhani mashabiki wa CDM wangekuwa mstari wa mbele kuunga mkono vita ya ufisadi bila kujali nani anaongoza mapambano. Badala yake imekuwa vita dhidi ya Zitto.

Tunayo kazi kubwa sana kama taifa kuungajisha nguvu kupambana na ufisadi.

Wenyewe wamekaa pembeni wanashangilia jinsi tunavyofarakan.

Haiingii akilini eti Zitto akope just six millioni. Tungo nyingine za kijinga kweli kweli.

mkuu hii siyo ya mtu binafsi
 
Zitto mungu atakulinda katika usiku na mchana,akulinde na shari za wanadamu na majini,akuepushe na ubaya wa mafisadi kama alivyomuokoa nabii Yusun toka katika tumbo la chewa.Akuongeze kipawa na maarifa.

Ameeen!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu sana Mchambuzi...kwa heshima yako naamini ulipaswa uwe mfano kwa kuangalia hoja badala ya mambo madogo yasiyo na maslahi kwa sasa...tunahityaji nguvu zaidi ya yanayotuunganisha kuliko yale yanayotutenganisha hasa palipo na maslahi mapana ya nchi.

Ata kama mie ni mpenzi wa Yanga lakini siku Taifa Stars ikicheza na nchi nyingine muhimu kwangu ni ushindi wa taifa langu, ata kama atakayefunga goli ni mchezaji wa Simba nitashangilia kwa nguvu zote maana muhimu kwangu sio nani kafunga bali Taifa Stars imeshinda. Na kwenye siasa tufuate njia hiyo.

hapa hakuna maslai ya taifa hapa nikutaka kuwa front
 
walio saini huu mkataba wako wapi? Kazi kulindana tu taifa linaangamia...
Tumechoka hadithi mwambie zitto aweke hapa docoment ambazo zinaonesha kuwa wanalipwa hiyo hela huu ujinga wa zitto wa kutengeneza maneno ya kisiasa tumechoka wezake walipomtuhumu waliweza vielelezo na viambatisho yeye analeta maneno yake ya kitoto hapa.
 
hapa hakuna maslai ya taifa hapa nikutaka kuwa front
Ni kwamba suala la IPTL lipo safi tu na kwa maslahi ya umma sote tukae kimya?ndicho unachomaanisha kama hujatambua bado.
 
Tumechoka hadithi mwambie zitto aweke hapa docoment ambazo zinaonesha kuwa wanalipwa hiyo hela huu ujinga wa zitto wa kutengeneza maneno ya kisiasa tumechoka wezake walipomtuhumu waliweza vielelezo na viambatisho yeye analeta maneno yake ya kitoto hapa.

Mkuu Simiyu Yetu upo hapa kukanusha tuhuma za IPTL ESCROW akaunti au kumshambulia Zitto? kwanini tusiwe na subira tusubiri report ikabidhiwe?
 
Last edited by a moderator:
CHAMVIGA nondo za Sangarara hazijibiki? Mambo ya jinsia yake sio sehemu ya mjadala huu. Hata Zitto hakuanzisha huu mjadala ili tuhojiane jinsia. Kama huna hoja za kumjibu Sangarara tulia soma hoja za wenzako

Nimesoma majungu,chuki na hasadi tupu sijaona chamkujibu zaidi ya kujua huyu anasifa walizonazo wanawake.
 
Last edited by a moderator:
CHAMVIGA nondo za Sangarara hazijibiki? Mambo ya jinsia yake sio sehemu ya mjadala huu. Hata Zitto hakuanzisha huu mjadala ili tuhojiane jinsia. Kama huna hoja za kumjibu Sangarara tulia soma hoja za wenzako

Tatizo lenu Bavicha kinacho wauma ni Zitto kubeba hii hoja na mlitamani hii hoja ingebebwa na Mnyika ndio mgefurahi sana mnatamani hizi pesa ziendelee kuliwa na swala likwame kuliko hoja ya Zitto kupata ushindi!
 
Last edited by a moderator:
Uko sahihi. Ushauri wangu jaribu kushirikisha wengine nje ya PAC ili wawe well informed. Tunahitaji support kubwa kushnda vita hv.
 
Mkuu CHAMIVIGA tuko pamoja katika hili.

Yes let us agree to disagree. Together let us be part of history in rescuring it from evil people otherwise tutakuwa wabaya zaidi ya hawa majambazi.
 
Last edited by a moderator:
Mimi napinga wizi wa aina zote sio za mabilioni tu.

Nampinga zitto sio kwa sababu na yeye anapinga wizi, bali kwa sababu umefanya wizi unaofanywa na ma ccm kama projects zake za kupiga hela.

Na mbaya zaidi anashiriki katika mkakati mahususi wa luhakikisha ccm haitoki madarakani wakati inawrzekana kabisa kwamba ccm ikiondoka madarakani huo utakuwa ni ushindi mkubwa dhidi ya uovu wa sina nyingi unaofanywa katika taifa letu na serikaki ya ccm.

Ndio maana,hata katika post hii zitto anaonyesha kwamba,anachokifanya ni kujirabu kuzuia seth asiiangushe serikali ya ccm kama alivyoiangusha serikali ya kanu kenya.

Katika hili zitto anajua mwisho wske vizuri sana,hautakuwa tofauti ni epa,na hiyo hela haitorudi sana sana yeye atakuwa amepata bonus ya kisiasa ili kuzuia ccm isitoke madarakani na hawa wezi wawe wamepona.
Anzisha thread nyingine ya kumjadili Zitto...hapa tupo na suala la IPTL.
 
Anzisha thread nyingine ya kumjadili Zitto...hapa tupo na suala la IPTL.
Zitto sijui anafaa kupewa adhabu gani mtu anakula rushwa halafu anaanza kujikosha sijui alifundishwa na nani haya mambo ya kihuni kiasi hiki.
 
Back
Top Bottom