Revolution
JF-Expert Member
- Feb 28, 2008
- 1,427
- 1,759
Wakubwa,
Jana kwenye taarifa ya habari TBC1 nikamsikia Kanumba akitamka kuhusu habari kwamba Zitto kutishiwa kuuawa, mimi sikubaliani kabisa kwamba hivi nani amuue zitto? kwa lipi hasa?
Binafsi naona watu wanataka kuzidi kumpandisha chati kwa sababu zao binafsi, Tanzania hatuna utamaduni wa kuuwana, walikuwapo viongozi waadilifu sana na hayakuwapata haya iweje leo wewe zitto watu wakutoe roho kwa lipi hasa?
Sababu imetangazwa si jambo la kubeza tena, tujadili tuone kweli hivi kuna njama za kumtoa roho au propadanda za kisiasa tu?
Sisi watanzania tuna matatizo yetu na wala hili za Zitto naona halina umuhimu kwa sasa haya magazeti yanalikuza tu bila sababu ya msingi,hebu tumalize hili la umeme na katiba yetu tafadhali.
Analikoroga mwenyewe na atalinywa.Nilisha onya mara kadhaa hapa jamvini kuwa biashara anayofanya Zitto ya kuwa double agent itamgharimu maisha yake. Kama kuna mpango wa kumuua basi ni TISS na CCM kisha wailengeshe ishu kwa Chadema kama walivyofamya kwa Chacha Wangwe.
kwani zito ni nani katika nchi hii hadi auawe,acheni kupandisha chati huyo zitto wenu kwa hoja zisizo na msingi wala maslahi yoyote kwa taifa letu
Labda kadhurumu mke wa mtu hatuwezi jua! HV KWANI ZITO YUPO CHAMA GANI!????Kwani Zitto amemdhurumu mtu mpaka auwawe?
kwani zito ni nani katika nchi hii hadi auawe,acheni kupandisha chati huyo zitto wenu kwa hoja zisizo na msingi wala maslahi yoyote kwa taifa letu
kwenye red, yeye alisema kile alichoambiwa na daktari, sasa wewe kama unapingana na vipimo basi unamatatizo.
zito nikiongozi chadema mbona muda mrefu hatuone aandamane na viongozi wengine wa chadema? Kaka chacha wangwe alikuwa na migogoro na freeman akaishia kaburini kwa nini hili la zito tulidharau? lisimwalo lipo au li njiani linakuja. haya si mambo ya kupuuzwa hata kidogo. Lakini tunasubiria tu litokee halafu watajua shughuli yake kwani itakuwa pevu. Lets we wait and see.
Tafadhali sana ELNIN0,
Edward Sokoine,
Imran Kombe,
Horace Kolimba,
Kigoma Malima,
Judge Mwaikusa,
Chacha Wangwe,
e.t.c
wa kumuua zitto ni zitto mwenyewe na madudu aliyojiingiza kwayo
huwezi ukawa mchawi halafu ukaja kupiga kelele ati wanataka kuniroga
Zitto, you have two options; either to come out clean or run away as fast as you can from your current personality and behaviour...
Unfortunately sikuonei huruma mdogo wangu zitto kwani huwezi uza utumbo usinuke
kwenye red, yeye alisema kile alichoambiwa na daktari, sasa wewe kama unapingana na vipimo basi unamatatizo.
zito nikiongozi chadema mbona muda mrefu hatuone aandamane na viongozi wengine wa chadema? Kaka chacha wangwe alikuwa na migogoro na freeman akaishia kaburini kwa nini hili la zito tulidharau? lisimwalo lipo au li njiani linakuja. haya si mambo ya kupuuzwa hata kidogo. Lakini tunasubiria tu litokee halafu watajua shughuli yake kwani itakuwa pevu. Lets we wait and see.
Tatizo wabongo tunakuwa kigeu geu, utasikia mara leo mtu anashabikia hili, kesha analiponda.
Suala la Zitto kutishiwa lichunguzwe ili ukweli upatikane kama kweli kulikuwa na Mission ya kumpoteza.
Japo kwa tabia yake ya kigeugeu mara yupo CHADEMA mara anamfagilia Mkwere, kwangu mimi hata akichakachuliwa poa tu, ili iwe mfano kwa ndumila kuwili kama yeye.