Zitto: Msomeni Putin mtajifunza mengi yanayoendelea nchini

mcubic

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2011
Posts
10,310
Reaction score
6,546
Putin aliingia kwenye madaraka mpweke akiwa hana kundi lake. Duma ( Bunge) lilijaa watu ambao hawakumwunga mkono na Warasimu wote walikuwa hawana uhusiano naye. Siasa zilikuwa zimeshikwa na matajiri ( oligarchs) na kuamua watakacho. Alisimika utawala wake kwa kuchukua hatua kadhaa ikiwemo;

- aliteua watu wake wa karibu aliofanya nao Kazi huko St. Petersburg, pia watu aliotoka nao eneo moja na alioamini nao Dini moja.

- Alihakikisha Matajiri wote wanashughulikiwa na kuwafunga au kuhama Nchi. Yeyote ambaye alimtilia mashaka alimtoa Serikalini au kwenye Mashirika ya Umma hata ikibidi kwa tuhuma za kutungwa na wengine WALIPOTEZWA kabisa

- Aliwapa fursa za utajiri watu wake wa karibu na kujenga ' new oligarchs ' kupitia zabuni za Serikali na Miradi mikubwa mikubwa ya Miundombinu aliyoanzisha kwa haraka alipoingia madarakani

Alifanya haya kuimarisha UTAWALA wake. Msomeni Putin mpanue maarifa
 
Zitto hajui kuna namna mtu mwenye mamlaka ya kuteua huwezi kuyaipuka, ni lazima uteue watu unaowaona wanaeza kwenda na falsafa yako, zitto hajui akiingia madarakani aidha 2020 atateua watu gani? Jibu, watu wenye mlengo mmoja na chama chake ili aliyoyapigia kampen ayatekeleze kwa mujibu wa maono yake!
 
Aanze sasa kujiandaa huyu zito,2020 sio mbali kivile
 
Zitto hajui kuna namna mtu mwenye mamlaka ya kuteua huwezi kuyaipuka, ni lazima uteue watu unaowaona wanaeza kwenda na falsafa yako, zitto hajui akiingia madarakani aidha 2020 atateua watu gani? Jibu, watu wenye mlengo mmoja na chama chake ili aliyoyapigia kampen ayatekeleze kwa mujibu wa maono yake!
Mkuu umemjibu vizur
 
kitabu kinaitwa the new tsar.
927428_3_8915-putin.jpg_standard.png
 
katika wanasiasa wanaoweweseka kwa sasa ni zito, hajui anachoongea zaidi ya kuropoka tu. kama anataka kumzungumzia putini, aeleze hata mafanikio ya kiuchumi ya nchi ya urusi. magufuli kashaamua na hatorudi nyuma kwa kelele za wajinga kama zito.
Zito alikuwa enzi zile ....sasa yuko desparate anachemka tu
 
Putin aliingia kwenye madaraka mpweke akiwa hana kundi lake. Duma ( Bunge) lilijaa watu ambao hawakumwunga mkono na Warasimu wote walikuwa hawana uhusiano naye. Siasa zilikuwa zimeshikwa na matajiri ( oligarchs) na kuamua watakacho. Alisimika utawala wake kwa kuchukua hatua kadhaa ikiwemo;

- aliteua watu wake wa karibu aliofanya nao Kazi huko St. Petersburg, pia watu aliotoka nao eneo moja na alioamini nao Dini moja.

- Alihakikisha Matajiri wote wanashughulikiwa na kuwafunga au kuhama Nchi. Yeyote ambaye alimtilia mashaka alimtoa Serikalini au kwenye Mashirika ya Umma hata ikibidi kwa tuhuma za kutungwa na wengine WALIPOTEZWA kabisa

- Aliwapa fursa za utajiri watu wake wa karibu na kujenga ' new oligarchs ' kupitia zabuni za Serikali na Miradi mikubwa mikubwa ya Miundombinu aliyoanzisha kwa haraka alipoingia madarakani

Alifanya haya kuimarisha UTAWALA wake. Msomeni Putin mpanue maarifa
Zitto anatahadharisha kitu ila kwa wanaoona mbali ndio wanaona hilo, Putin aliingia kwa bahati na akajenga himaya yake imara badala ya kujenga taasisi imara ndio maana leo anaifanya Urusi anavyotaka, neno kama ningekuwa mwenyekiti ningefukuza karibia wote,kila mwajiriwa wa serekali lazima aikubali na ajue kiongozi yeyote wa chama ni bosi wake, ni neno linaloashiria tabia za putin na kujenga himaya ya mtu mmoja badala ya taasisi ni vyema sasa vyama vyote vya siasa vilazimishe serekali kujitenga na jeshi na chama chochote kitakachoshika madaraka, bali wafanye kazi zao kwa taaluma, na ili kiongozi yeyote asiwe na sauti kuliko taasisi bila hivyo, sio ajabu tukaona katiba zinabadilishwa ili waendelee kukaa madarakani ili walinde maslahi yao,rafiki zao na watoto wao. hilo ndio jicho la Zitto limeona na kuna ukweli ndani yake kwa jicho la mbali.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom