Zitto: Msomeni Putin mtajifunza mengi yanayoendelea nchini

Zitto: Msomeni Putin mtajifunza mengi yanayoendelea nchini

Zitto amebakia kuwa mchochezi tu. Ile taarifa yake kuwa ukituma 1000 kwa njia ya mtandao serikali inachukua 280 imeishia wapi. Uchochezi kama huo hautakiwi kabisa. Sasa inamaana kwenye taarifa yake Mhesh Rais anataka kujenga himaya yake kwa vipi. Anachokifanya anawaondoa wabovu waliotuibia muda mrefu na kuwaweka waadilifu, wenye weledi mkubwa na watakaokuwa tayari kushirikiana na wengine ktk kufanya kazi. Waone kama Waziri wa elimu, waziri wa uchukuzi, waziri wa nishati na madini na wengineo mbali ya elimu zao kuwa kubwa ni wachapa kazi. Magufuli hawachukii wafanya biashara , kama utakumbuka alikaa nao na kuwataka walipe kodi tu ndio ombi lake kwao. Umesikia mfanya biashara amekamatwa kwa amri yake. Acha uchochezi, kilichobakia nenda kwenye jimbo lako kawaendeleze watu wako 2020 sio mbali, usipoangalia tutakukaribisha huku uswahili kwetu tunakoishi na kibaya zaidi wakati huo utakuwa huna mahali pa kusemea.
Mimi nimemshauri Zitto ammimbe mkewe hilo ndio jukumu lililo mbele yake..
 
Kamwe usimfanishe Vladimir Putin na huyu Magufuli wenu.
 
,,,anaongelea Putin kufanana na awamu ya nne au ya tano!?
 
Zitto hajui kuna namna mtu mwenye mamlaka ya kuteua huwezi kuyaipuka, ni lazima uteue watu unaowaona wanaeza kwenda na falsafa yako, zitto hajui akiingia madarakani aidha 2020 atateua watu gani? Jibu, watu wenye mlengo mmoja na chama chake ili aliyoyapigia kampen ayatekeleze kwa mujibu wa maono yake!
Ni lazima wawe kabila,kanda na dini yako?
 
Screenshot_2016-07-24-18-04-11.png
 
Vradamir Putin aliekua akifanya kazi KGB italy Taxi driver kumbe mpelelezi mkubwa hapana Zitto muombe msamaha Putin...
 
Zitto, kutoka kuwa mwerevu hadi kuwa mchochezi. Dunia inaenda kasi sana!
 
Zitto hajui kuna namna mtu mwenye mamlaka ya kuteua huwezi kuyaipuka, ni lazima uteue watu unaowaona wanaeza kwenda na falsafa yako, zitto hajui akiingia madarakani aidha 2020 atateua watu gani? Jibu, watu wenye mlengo mmoja na chama chake ili aliyoyapigia kampen ayatekeleze kwa mujibu wa maono yake!
Zito anatakiwa atulie ahache maneno ambayo hayamusaidii. Ataangekuwa yeye lazima angeweka watu wake. Atulie bana.
 
Zitto mnafik sana

Ana siasa za chuki na ubinafs

Zitto amependelewa sana na kikwete

Sisi tunapigwa nabomu yeye anatukebehi kupitia twita

Magufuli hastahil kukosolewa na zitto, akosolewe na kina kubenea na kina mnyika
, mdee, lissu nk
Maana ndio wanajua chungu tamu ya siasa za upinzan

Zitto ni mpinzan kwenye maslah yake tu

Baada ya mfadhili wake dr. dau kuondolewa wadhifa wake yupo km kachanganyikiwa

Poor zito
Nillikwambia mwisho wa usalit ni aibu

Bitter days are coming
Mbona wakati as JK hakusema hata. Atulie, Zito ni mdini sana.
 
Tuna tatizo la kuponda bila hata kucheua kidogo mantiki ya hoja.
Zitto anatahadharisha kitu ila kwa wanaoona mbali ndio wanaona hilo, Putin aliingia kwa bahati na akajenga himaya yake imara badala ya kujenga taasisi imara ndio maana leo anaifanya Urusi anavyotaka, neno kama ningekuwa mwenyekiti ningefukuza karibia wote,kila mwajiriwa wa serekali lazima aikubali na ajue kiongozi yeyote wa chama ni bosi wake, ni neno linaloashiria tabia za putin na kujenga himaya ya mtu mmoja badala ya taasisi ni vyema sasa vyama vyote vya siasa vilazimishe serekali kujitenga na jeshi na chama chochote kitakachoshika madaraka, bali wafanye kazi zao kwa taaluma, na ili kiongozi yeyote asiwe na sauti kuliko taasisi bila hivyo, sio ajabu tukaona katiba zinabadilishwa ili waendelee kukaa madarakani ili walinde maslahi yao,rafiki zao na watoto wao. hilo ndio jicho la Zitto limeona na kuna ukweli ndani yake kwa jicho la mbali.
Umejibu vizuri mkuu. Tuna tabia ya kuponda hata kabla ya kutafakari mantiki ya hoja. Ni vizuri kumjibu mtu kwa kumuelimisha kwa vigezo kulingana na hoja. Inakuwaje hata mtu wa kawaida tu hana uzoefu wa mambo si msomi sana basi tu kishabiki anaponda. Tumejifunza sana katika masomo hata katika kitu kinaitwa Book Critique; weaknesses and strengths of something or somebody na relevance pia. sasa ikiwa mtu ana stand for say, weaknesses we can show him the other side and so on.
kuna watu wakati wote wako pesmistic na wengine optimistic so kama waelewa tunawasaidia kwa njinsi hiyo tunajenga na wengine. Tusipofanya hivo tutaishia hata kutukana watu wenye heshima zao kwa jamii na sisi wenyewe kujengewa chuki. Ndo maana hata wajinga wanamkashifu rais. tukosoe tusikashifu
 
  • Thanks
Reactions: Lab

Similar Discussions

Back
Top Bottom