Zitto: Msomeni Putin mtajifunza mengi yanayoendelea nchini

Je kamsoma Putin kupitia kitabu alichoandika Putin mwenyewe au rafiki yake kipenzi ? Ama amesoma vitabu vya adui wa Putin
 
Unaumwa??
Serikali ijitenge na jeshi???

Hili zoezi la kuhakiki vyeti liendelee kwa nguvu sana!!!
Ili nchi iendelee na wewe pia ili upate maendeleo ni lazima serekali na jeshi ijitenge na vyama vya siasa kwani vyama vya siana vina agenda mbili kuu kushika madaraka na kuleta maendeleo, lakini maendeleo hua wanalazimishwa na wananchi sio kipao mbele chao, lakini serekali na jeshi wao wana kazi moja kuhudumia nchi tu, hivyo wakipewa nafasi yao ya kitaaluma wataleta maendeleo na usalama, ila wakiwa ni wanasiasa hakuna kitakachoendelea.
 
Zitto anatahadharisha kitu ila kwa wanaoona mbali ndio wanaona hilo, Putin aliingia kwa bahati na akajenga himaya yake imara badala ya kujenga taasisi imara ndio maana leo anaifanya Urusi anavyotaka, neno kama ningekuwa mwenyekiti ningefukuza karibia wote,kila mwajiriwa wa serekali lazima aikubali na ajue kiongozi yeyote wa chama ni bosi wake, ni neno linaloashiria tabia za putin na kujenga himaya ya mtu mmoja badala ya taasisi ni vyema sasa vyama vyote vya siasa vilazimishe serekali kujitenga na jeshi na chama chochote kitakachoshika madaraka, bali wafanye kazi zao kwa taaluma, na ili kiongozi yeyote asiwe na sauti kuliko taasisi bila hivyo, sio ajabu tukaona katiba zinabadilishwa ili waendelee kukaa madarakani ili walinde maslahi yao,rafiki zao na watoto wao. hilo ndio jicho la Zitto limeona na kuna ukweli ndani yake kwa jicho la mbali.
UMEFAFANUA VIZURI
 
Niimekuwelewa mkuu
 
  • Thanks
Reactions: Lab
Putin aliingia kwenye madaraka mpweke akiwa hana kundi lake. Duma ( Bunge) lilijaa watu ambao hawakumwunga mkono na Warasimu wote walikuwa hawana uhusiano naye. Siasa zilikuwa zimeshikwa na matajiri ( oligarchs) na kuamua watakacho. Alisimika utawala wake kwa kuchukua hatua kadhaa ikiwemo;

- aliteua watu wake wa karibu aliofanya nao Kazi huko St. Petersburg, pia watu aliotoka nao eneo moja na alioamini nao Dini moja.

- Alihakikisha Matajiri wote wanashughulikiwa na kuwafunga au kuhama Nchi. Yeyote ambaye alimtilia mashaka alimtoa Serikalini au kwenye Mashirika ya Umma hata ikibidi kwa tuhuma za kutungwa na wengine WALIPOTEZWA kabisa

- Aliwapa fursa za utajiri watu wake wa karibu na kujenga ' new oligarchs ' kupitia zabuni za Serikali na Miradi mikubwa mikubwa ya Miundombinu aliyoanzisha kwa haraka alipoingia madarakani

Alifanya haya kuimarisha UTAWALA wake. Msomeni Putin mpanue maarifa
Swali la msingi la kujiuliza je kwa maamuzi hayo mwisho wa siku Putin amefanikiwa kusogeza maendeleo ya taifa lake mbele au kalirudisha taifa nyuma? iam not a big fan of Magufuli's regime but sometime we have to give him a benefit of doubt!!
 
Sasa hayo maneno uliyo yatolea mfano mbona yanathibitisha magufuli kukijenga chama zaidi kuliko yeye mwenyewe?

Mwaka huu mtaandika makala hadi basi.
Hakuna makamala ila tatizo hatukufundishwa kusoma na kuelewa, hapo hakuna kujenga chama ni kujenga utawala binafsi ili kutimiza matakwa binafsi, chama ni taasisi na lazima kiwe kikubwa kushinda mtu, ila kiongozi yeyote anayesema ningewafukuza nusu au lazima wafanyakazi wote wa serekali wajue viongozi na wanachama wa chama tawala ndio mabosi wao, inamaanisha nini? ni lazima chama kifanye kazi yake, na serekali ifanye kazi yake peke yake, hapo hata wewe utapata maendeleo yako binafsi bila kutegemea upendeleo, la sivyo itakuwa ni wachache tu waliokubaliwa.
 
Zitto anatahadharisha kitu ila kwa wanaoona mbali ndio wanaona hilo, Putin aliingia kwa bahati na akajenga himaya yake imara badala ya kujenga taasisi imara ndio maana leo anaifanya Urusi anavyotaka, neno kama ningekuwa mwenyekiti ningefukuza karibia wote,kila mwajiriwa wa serekali lazima aikubali na ajue kiongozi yeyote wa chama ni bosi wake, ni neno linaloashiria tabia za putin na kujenga himaya ya mtu mmoja badala ya taasisi ni vyema sasa vyama vyote vya siasa vilazimishe serekali kujitenga na jeshi na chama chochote kitakachoshika madaraka, bali wafanye kazi zao kwa taaluma, na ili kiongozi yeyote asiwe na sauti kuliko taasisi bila hivyo, sio ajabu tukaona katiba zinabadilishwa ili waendelee kukaa madarakani ili walinde maslahi yao,rafiki zao na watoto wao. hilo ndio jicho la Zitto limeona na kuna ukweli ndani yake kwa jicho la mbali.
Well said
 
Ni kawaida ya viongozi duniani kuteua watu wanaowatii na kuondoa wote wanaoonekana kuwa critical kwao. Hata Nyerere aliyetambulika kwa kutetea wanyonge kabla ya Uhuru alibadilika baada ya Uhuru na ku eliminate wote waliokuwa wakimpinga.
Kuna machifu walihamishwa, na wasomi critical kadhaa wakapewa nafasi duni, eg. Tuntemeke Sanga, Oscar Kambona etc.
Nyerere alidhibiti vyombo vya habari, alipiga marufuku vyama vingi na asasi za kiraia.
Kumbuka Rajab Hussein aliyekuwa Mwenyekiti Wa CNDD FDD ya Burundi alifanya kosa kubwa kumwachia madaraka, Pierre Nkurunzinza kwani alipoupata urais alimfunga jela hadi alipotoroka baada ya miaka minane.
Magufuli naye anajengea himaya yake, usione watu wakitumbuliwa majipu, wengine ni tishio kwake.
 
Zitto anatahadharisha kitu ila kwa wanaoona mbali ndio wanaona hilo, Putin aliingia kwa bahati na akajenga himaya yake imara badala ya kujenga taasisi imara ndio maana leo anaifanya Urusi anavyotaka, neno kama ningekuwa mwenyekiti ningefukuza karibia wote,kila mwajiriwa wa serekali lazima aikubali na ajue kiongozi yeyote wa chama ni bosi wake, ni neno linaloashiria tabia za putin na kujenga himaya ya mtu mmoja badala ya taasisi ni vyema sasa vyama vyote vya siasa vilazimishe serekali kujitenga na jeshi na chama chochote kitakachoshika madaraka, bali wafanye kazi zao kwa taaluma, na ili kiongozi yeyote asiwe na sauti kuliko taasisi bila hivyo, sio ajabu tukaona katiba zinabadilishwa ili waendelee kukaa madarakani ili walinde maslahi yao,rafiki zao na watoto wao. hilo ndio jicho la Zitto limeona na kuna ukweli ndani yake kwa jicho la mbali.

Naona sasa Chama kimeshika hatamu tena ............ !!!

Labda ndiyo maana Ulimwengu alidai tumerudi nyuma miaka 50!!
 
Putin aliingia kwenye madaraka mpweke akiwa hana kundi lake. Duma ( Bunge) lilijaa watu ambao hawakumwunga mkono na Warasimu wote walikuwa hawana uhusiano naye. Siasa zilikuwa zimeshikwa na matajiri ( oligarchs) na kuamua watakacho. Alisimika utawala wake kwa kuchukua hatua kadhaa ikiwemo;

- aliteua watu wake wa karibu aliofanya nao Kazi huko St. Petersburg, pia watu aliotoka nao eneo moja na alioamini nao Dini moja.

- Alihakikisha Matajiri wote wanashughulikiwa na kuwafunga au kuhama Nchi. Yeyote ambaye alimtilia mashaka alimtoa Serikalini au kwenye Mashirika ya Umma hata ikibidi kwa tuhuma za kutungwa na wengine WALIPOTEZWA kabisa

- Aliwapa fursa za utajiri watu wake wa karibu na kujenga ' new oligarchs ' kupitia zabuni za Serikali na Miradi mikubwa mikubwa ya Miundombinu aliyoanzisha kwa haraka alipoingia madarakani

Alifanya haya kuimarisha UTAWALA wake. Msomeni Putin mpanue maarifa
UNALINGANISHA MBINU NA ARDHI'''
DEVELOPED COUNTRY AND UNDERDEVELOPED COUNTRY
WHITE AND BLACK
USIKU NA NURU
 
Putin aliingia kwenye madaraka mpweke akiwa hana kundi lake. Duma ( Bunge) lilijaa watu ambao hawakumwunga mkono na Warasimu wote walikuwa hawana uhusiano naye. Siasa zilikuwa zimeshikwa na matajiri ( oligarchs) na kuamua watakacho. Alisimika utawala wake kwa kuchukua hatua kadhaa ikiwemo;

- aliteua watu wake wa karibu aliofanya nao Kazi huko St. Petersburg, pia watu aliotoka nao eneo moja na alioamini nao Dini moja.

- Alihakikisha Matajiri wote wanashughulikiwa na kuwafunga au kuhama Nchi. Yeyote ambaye alimtilia mashaka alimtoa Serikalini au kwenye Mashirika ya Umma hata ikibidi kwa tuhuma za kutungwa na wengine WALIPOTEZWA kabisa

- Aliwapa fursa za utajiri watu wake wa karibu na kujenga ' new oligarchs ' kupitia zabuni za Serikali na Miradi mikubwa mikubwa ya Miundombinu aliyoanzisha kwa haraka alipoingia madarakani

Alifanya haya kuimarisha UTAWALA wake. Msomeni Putin mpanue maarifa

About the Author

Steven Lee Myers is a correspondent in the Washington Bureau of The New York Times who covers foreign policy and national security issues. He returned recently from Moscow, where he worked as bureau chief in 2013 and 2014. He previously served as a correspondent and bureau chief there from 2002 to 2007, covering Russia and the other former Soviet republics. He is the author of a biography of Vladimir Putin, entitled The New Tsar, published by Alfred A. Knopf Books in September 2015
 
Je kamsoma Putin kupitia kitabu alichoandika Putin mwenyewe au rafiki yake kipenzi ? Ama amesoma vitabu vya adui wa Putin

The Author

Steven Lee Myers is a correspondent in the Washington Bureau of The New York Times who covers foreign policy and national security issues. He returned recently from Moscow, where he worked as bureau chief in 2013 and 2014. He previously served as a correspondent and bureau chief there from 2002 to 2007, covering Russia and the other former Soviet republics. He is the author of a biography of Vladimir Putin, entitled The New Tsar, published by Alfred A. Knopf Books in September 2015
 
Zitto ni akili kubwa ndio maana km una maono madogo huwez kumuelewa utamuona hana msimamo au msaliti lkn zitto hayumbi na msimamo wake kama hujui
 
Zitto anafahamu vizuri sana watanzania hatuna utamaduni wa kusoma, ni silaha yake muhimu siku hizi katika kuchochea taharuki na character assassinations!

A referred book review (Uchambuzi wa kitabu anachokitumia Zitto)
Mwandishi wa kitabu mmarekani Steven Lee Myers.

http://www.nytimes.com/2015/11/08/b...-vladimir-putin-by-steven-lee-myers.html?_r=0

‘The New Tsar: The Rise and Reign of Vladimir Putin,’ by Steven Lee Myers

By GAL BECKERMANNOV. 2, 2015

Vladimir Putin has an origin story. It takes place in Dresden in the fall of 1989, in the dying days of East Germany, on the night that thousands of protesters stormed the city’s Stasi headquarters. Once they were done ransacking the offices that had inspired so much terror, they directed their anger down the street toward the K.G.B. residence where Lieutenant Colonel Putin, a young intelligence officer, stood looking out the window. Watching the approaching mob, Putin called the local Soviet military command and asked for reinforcements. But no higher authority would approve it. “Moscow is silent,” he was told.

Shocked that the Soviet Union was so weakened that it couldn’t even defend the sensitive documents inside the building, he decided to take matters into his own hands. Dressed in his military uniform but with no pistol, no orders and no backup, he walked out to the gate where the crowd had assembled. And he bluffed. “This house is strictly guarded,” he said in an even tone, in fluent German. “My soldiers have weapons. And I gave them orders: If anyone enters the compound, they are to open fire.” With that, he turned and walked back into the house. The protesters dispersed.

Putin loves this story. But it’s also good fodder for Putinologists, struggling to decipher what drives the man who has so completely ruled Russia for the last 15 years. It’s a question as critical now — with a Moscow-backed insurgency raging in eastern Ukraine and Russia choosing to actively intervene in the Syrian civil war — as it was when Putin first came to power in 2000 and went to war in Chechnya. And here we have some insight into how he likes best to see himself: One man representing his country, representing stability and order, stands against the chaos of the street; one man who still believes in the unique power of the state personifies its sovereignty and its prerogative to defend its interests; one man who embodies calm, measured authority resists the emotional swell of undisciplined, angry people, and understands that the appearance of forcefulness and obstinacy can be as powerful as an actual show of force.

What does Putin want? Is he trying to restore the Soviet empire? Is it all about the oil and maximizing Russia’s position as a petro-power? Maybe corruption and cronyism are his ultimate objectives as he enriches himself and the tight circle of friends from his native St. Petersburg. Perhaps he’s never stopped being a K.G.B. man, paranoid about “foreign agents” and with a Cold War wariness about the power of the United States? Is the answer megalomania, the self-regard of a man who likes being photographed bare-chested on horseback? Or do the moralistic pronouncements about Russia as a Third Rome, saving a fallen Western world, provide the key?

There’s truth to each of these, but what Steven Lee Myers gets so right in “The New Tsar,” his comprehensive new biography — the most informative and extensive so far in English — is that at bottom Putin simply feels that he’s the last one standing between order and chaos. Rather than a unified theory of Putin, what Myers offers is the portrait of a man swinging from crisis to crisis with one goal: projecting strength. That seems about as close as we can get to him. Shaped like many in his generation by witnessing the disappearance of the Soviet Union — a superpower, no less — and all the uncertainty and insecurity that followed in the 1990s, Putin has never stopped being haunted by the notion that Moscow was silent. And out of this fear of collapse he has become for his people and himself, as Myers puts it, “the living embodiment of Russia’s stability.”

In the name of this stability, he has consolidated power in his own person in an astounding way. In his first two terms, from 2000 to 2008, he brought down the oligarchs, thereby regaining total control of the news media and orchestrating the breakup of Yukos, the giant oil company (and jailing its chief executive, Mikhail Khodorkovsky), which returned two important power sources to the state. His loyal friends now run most of Russia’s important industries. Unfettered democracy also pointed the way to chaos, and so he developed something his advisers called “managed democracy,” providing only the semblance of popular will. Opposition parties were neutered, and Russians lost the ability to vote in direct elections for local or regional governments. “The Russian people are backward,” Putin once told a group of foreign journalists. “They cannot adapt to democracy as they have done in your countries. They need time.”

In Putin’s mind, enemies looking to upend the order he restored and return Russia to its 1990s state of entropy lurk everywhere, whether Chechen separatists, E.U.-loving Ukrainian politicians or the West as a whole, working through its nefarious pro-gay N.G.O.s or NATO. When Putin faced his first real protest movement in the lead-up to the 2012 presidential elections, the calls for change were nothing more to him than another foreign invasion and, using the news media, riot police and a corrupt legal system, he found a way to squash them. If he is order, anything opposed to him is disorder. Even taking the side of dictators during the Arab Spring, which was perceived as a defense of Russia’s economic and geopolitical interests, was really about something “much deeper” for Putin, Myers writes, “a dark association in his mind between aspirations for democracy and the rise of radicalism, between elections and the chaos that would inevitably result.”

This is a journalist’s book, which harvests old notebooks and clips. Myers has covered Russia for The New York Times on and off since 2002 and has reported on many of the incremental twists and turns of Putin’s rule. This makes for a knowledgeable and thorough biography, though one that can feel a bit detached and bogged down by information at times. What’s missing, for example, is a view from the street, an understanding of what Russians feel about their “new tsar.” Without perspectives like this, flowing beneath the news items, it’s hard to really grasp how Putin, who by Myers’s own account was a colorless and uncharismatic figure before coming to power (“like that bored schoolboy in the back of the classroom,” President Obama observed in 2013), became a living monument for his people, a leader onto whose taut skin they have projected so much.

Myers’s book ends with perhaps the greatest examples of Putin’s total power: in quick succession, the Olympic Games in Sochi and the conquering of the Crimea in early 2014. In Putin’s mind, he singlehandedly tamed nature and changed borders for the glory of Russia. But if he has built his autocratic rule on the need to beat back the barbarians at the gate, thoroughly crushing every other source of power in the country, how does he justify the fact that there is no one and no party that can replace him, that civil society has been decimated and the parliamentary system has been turned into a joke? As becomes increasingly clear reading this biography, Putin himself now represents the chaos he so abhors — the chaos that will surely come in his wake.

THE NEW TSAR

The Rise and Reign of Vladimir Putin

By Steven Lee Myers

Illustrated. 572 pp. Alfred A. Knopf. $32.50.
 
Putin aliingia kwenye madaraka mpweke akiwa hana kundi lake. Duma ( Bunge) lilijaa watu ambao hawakumwunga mkono na Warasimu wote walikuwa hawana uhusiano naye. Siasa zilikuwa zimeshikwa na matajiri ( oligarchs) na kuamua watakacho. Alisimika utawala wake kwa kuchukua hatua kadhaa ikiwemo;

- aliteua watu wake wa karibu aliofanya nao Kazi huko St. Petersburg, pia watu aliotoka nao eneo moja na alioamini nao Dini moja.

- Alihakikisha Matajiri wote wanashughulikiwa na kuwafunga au kuhama Nchi. Yeyote ambaye alimtilia mashaka alimtoa Serikalini au kwenye Mashirika ya Umma hata ikibidi kwa tuhuma za kutungwa na wengine WALIPOTEZWA kabisa

- Aliwapa fursa za utajiri watu wake wa karibu na kujenga ' new oligarchs ' kupitia zabuni za Serikali na Miradi mikubwa mikubwa ya Miundombinu aliyoanzisha kwa haraka alipoingia madarakani

Alifanya haya kuimarisha UTAWALA wake. Msomeni Putin mpanue maarifa

Ni kawaida sana ya kila mtawala anapoingia madarakani kuja na
1. Ndoto yake ni jinsi gani anataka kutekeleza mambo yake.
2. Aina ya watu anaotaka kufanya kazi

so mara nyingi kukuta mtawala mpya anachukua watu anaowafahamu kufanya nao kazi ni kitu cha kawaida na hilo suala la kufukuza wafanyabiashara labda ungesema wafanya biashara za haramu au wanaokwepa kodi maana sidha kama puttin angewafukuza wafanya biashara wote leo nchi (RUSIA)ingekuwa kama ilivyo............................
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom