Zitto anatahadharisha kitu ila kwa wanaoona mbali ndio wanaona hilo, Putin aliingia kwa bahati na akajenga himaya yake imara badala ya kujenga taasisi imara ndio maana leo anaifanya Urusi anavyotaka, neno kama ningekuwa mwenyekiti ningefukuza karibia wote,kila mwajiriwa wa serekali lazima aikubali na ajue kiongozi yeyote wa chama ni bosi wake, ni neno linaloashiria tabia za putin na kujenga himaya ya mtu mmoja badala ya taasisi ni vyema sasa vyama vyote vya siasa vilazimishe serekali kujitenga na jeshi na chama chochote kitakachoshika madaraka, bali wafanye kazi zao kwa taaluma, na ili kiongozi yeyote asiwe na sauti kuliko taasisi bila hivyo, sio ajabu tukaona katiba zinabadilishwa ili waendelee kukaa madarakani ili walinde maslahi yao,rafiki zao na watoto wao. hilo ndio jicho la Zitto limeona na kuna ukweli ndani yake kwa jicho la mbali.