Sabung'ori
JF-Expert Member
- Jul 19, 2011
- 2,166
- 1,249
uwe unafuatilia habari nzima na ikiwezekana uwe unaenda kwenye chanzo ili kuipata kwa undani mh.zitto ameainisha mambo mengi kama kujadili masuala ya vijana kwenye katiba mpya, kwamba watu wafanye kazi kwa bidii maana katiba mpya sio jibu la kila tatizo,n.k sasa ww unadokoa kapoint kamoja unafanya issue!! pia kugombea uraisi ni haki yao kikatiba na maoni ya umri kupunguzwa ni yao sasa yajadili nini athari za umri kupunguzwa au kuongezwa nk huyo ndio great thinker!!Katika matatizo mazito yanayolikabili taifa letu wao wameona umri wa kugombea urais ndio numero uno!!!! kweli shangaeni ya musa muyaone ya firauni.
Sio anajibagua na hilo la udini liko akilini kwako tu. Hebu tuseme ukweli, zitto akae na Lema au Sugu kweli wataelewana? Si bora hata akae na mnyika. Kweli sugu au Lema anaweza kuchangia kitu gani cha maana? Ushauri wao mkubwa ni TUANDAMANE.
Mnyika wamemuweka busy sasa Zitto kaona kijana aliebaki msomi mwenzake ni January.Hata kama chama tofauti, muhimu Taifa kwanza
inlalilahi wa inlailaihi rajiuun! Wewe ni wa kusamehewa tuSio anajibagua na hilo la udini liko akilini kwako tu. Hebu tuseme ukweli, zitto akae na Lema au Sugu kweli wataelewana? Si bora hata akae na mnyika. Kweli sugu au Lema anaweza kuchangia kitu gani cha maana? Ushauri wao mkubwa ni TUANDAMANE.
Mnyika wamemuweka busy sasa Zitto kaona kijana aliebaki msomi mwenzake ni January.Hata kama chama tofauti, muhimu Taifa kwanza
hapo kwenye red, kama ndio hoja zinazowafanya waanzishe chama chao basi wana uzee wa fikra hata kama wao ni vijana wa umri, ila kama ni mtazamo wako, basi uwezo wako wa uchambuzi umekukwamishaMkuu pia kumbusha kwamba siasa si uadui hata kidogo. WanaJF wengi wanadhani ukiwa mwanasiasa unatakiwa uwanunie ambao hawako chama kimoja na wewe! Hawajui kwamba Dr. Slaa na Dr. Kikwete ni marafiki wakubwa ila wakiwa kwenye majukwaa ya kisiasa wanasemana.
Wacheni vijana waje na hoja kwa mustakabali wa nchi. Wanaweza kuamua kuunda Chama chao wakaachana na hivyo vyama vyenu na wakasonga mbele. Wana hoja kubwa mbili zinazofanana: Kupinga posho za vikao na kutaka umri wa mgombea urais ha TZ uwe kuanzia miaka 35.
Hayo si mambo mazuri kwa taifa kweli?
Zitto sio mdini, hajawahi kuwa mdini, na siamini kama anaweza aka entertain upu.uzi kama huo. Lakini cha zaidi ni kuwa yupo kwenye chama ambacho UDINI ni dhambi mbaya inayofanana na kuua.Zito anajibagua sana na wana mabadiliko wenzake,tulisha mzoea yule,nafikiri udini unamsumbua sijui kwa nini asirudi ccm
Sio anajibagua na hilo la udini liko akilini kwako tu. Hebu tuseme ukweli, zitto akae na Lema au Sugu kweli wataelewana? Si bora hata akae na mnyika. Kweli sugu au Lema anaweza kuchangia kitu gani cha maana? Ushauri wao mkubwa ni TUANDAMANE.
Mnyika wamemuweka busy sasa Zitto kaona kijana aliebaki msomi mwenzake ni January.Hata kama chama tofauti, muhimu Taifa kwanza
kweli kabisa....Mkuu kwenye itikadi hapo; Zitto na January wana itikadi moja in common: Wote wanapinga posho za vikao ila hao makamanda wengine unaosema hawana nia thabiti ya kuzipinga posho.
Sioni sababu ya kuweka umri wa kugombea urais uanzie miaka 40.Ni vigezo gani vinatumika kuweka age limit?Najua kuna baadhi ya wazee na vijana wenye fikra mgando watakaopinga hili.Huwezi kupinga notion ya kizuzu kwamba vijana ni taifa la kesho kisha ukaendekeza hoja ya age limit iwe miaka 40,huko ni kutokujitambua.
Naamini katika uwezo wa mtu lakini pia umri ni kigezo muhimu.Nikipewa watu wawili wenye uwezo sawa (ceteris peribus) basi nitachagua mmoja ambaye ni the youngest among the two....!
Mkuu najua kuwa Watanzania wengi wanapata take home chini ya hiyo na wanaishi. Kama nisemayo ni sawa basi ina maana Watanzania wanaopata take home chini ya 700,000.00 wote ni mafisadi? Mkuu kwa maana nyingine Taifa la Watanzania limejaa mafisadi?Wote hapo ni corrupt leaders ndio maana wanajidai kupinga posho huku wakijua kuna mahali wanavuta pesa kisirisiri.
Mshahara wa mbunge ni 2.300.000 na kila mwezi anakatwa 700.000 ya kodi za serikali na 900.000 ya shangingi!
inabaki 700.000 take home! sasa kama sio mafisadi wanaishije kwa huu mshahara wa 700.000?
Kwa kweli kuna walakini wa jamaa kuuza timu.Jamani wadau mimi ninawasiwasi sana na ukaribu na utendaji kazi wa Zito Kabwe yaana urafiki aliokuwa nao na wanamagamba unatia wasiwasi suala moja lakujiuliza kwanini asishirikiane na watu
kamaMnyika,lema,msigwa,kasulumbayi,mbilinyi na makamanda wengine huu ukaribu wake na wakina January na kigwangala hatusemi wawe maadui ila tu kisiasa ukifanyakazi na watu mnaotofautiana itikadi hasa ikiwa wapo wenzako ambao mnaitikadi sawa wengi tu unaoweza kufanyanao kazi inatia sana mashaka lakini pia kuna dalili ya agenda ya chinichini kuunganisha nguvu hii ni kwa maslahi ya naani? NAWEKA WAZI MASHAKA YANGU ILI KUWEKA KUMBUKUMBU VIZURI JUU YA HILI