Zitto, Makamba wautaka urais?

Zitto, Makamba wautaka urais?

Imeandikwa na Mwandishi Wetu; Tarehe: 29th February 2012 @ 08:10

MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Kabwe Zitto, amesema maoni yake ya kutaka umri wa wagombea urais upunguzwe hayalengi yeye kugombea nafasi hiyo.

"Siwezi kutaka Katiba iandikwe kwa ajili yangu … isionekane kwamba matakwa ya muda mrefu ya vijana ya kutaka umri wa kugombea urais kupunguzwa, yanalenga kunipa fursa mimi.

"Mimi ni binadamu, naweza nisiwe na sifa za kuwa Rais, lakini kukawa na vijana wengine wengi wenye umri chini ya miaka 40 wenye uwezo na uzalendo wa kutosha kushika usukani wa nchi yetu," amesema Zitto katika taarifa yake kwa vyombo vya habari.

Zitto amesema, anaona, kwamba ni vema yakapatikana mabadiliko ya vizazi katika uongozi wa nchi ili kukabili changamoto za sasa zinazokabili Taifa.

"Tunapojiandaa kutoa maoni kuhusu Katiba Mpya, ni vizuri vyombo vya habari vikajikita kutoa taarifa bila tafsiri au kuwatafsiria maoni ambayo wananchi na viongozi watakuwa wanatoa kuhusu maudhui ya Katiba Mpya," amesema.

Mbunge huyo ambaye pia ni Naibu Katibu Mkuu wa Chadema, amevishutumu vyombo vya habari vilivyohusisha kauli yake ya kutaka kupunguza umri wa kugombea urais na yeye kuutaka.

"Mimi nikiwa mwanachama na kiongozi wa chama changu, Chadema, naelewa na kuheshimu taratibu na kanuni tulizojiwekea za kuomba nafasi za uongozi, ikiwamo ya urais," amesema.

Ameongeza kuwa, nafasi ya uongozi ndani ya Chadema haiombwi kwenye warsha na kwamba iwapo wakati mwafaka utafika na kutokana na matakwa ya jamii, kikiona apewe jukumu lolote hatasita kutekeleza wajibu huo akiwa au bila kuwa mgombea.

Amesisitiza, kwamba alichozungumza juzi yalikuwa ni maoni yake na kwamba muda umefika kwa Taifa kupunguza umri wa kugombea urais, akisema maoni hayo yanazingatia ukweli, kwamba hakuna sababu zozote za kisayansi zinazomfanya mtu wa chini ya miaka 40 akose sifa za kuwa Rais.

"Msimamo huu nimekuwa nao tangu zamani nikisoma shule na haujawahi kubadilika. Hakuna mahala popote katika maoni yangu, niliyotoa jana (juzi) niliposema nataka umri wa urais upunguzwe ili nipate fursa ya kugombea urais," alisema Zitto.

Msimamo wa Zitto unafanana na wa Mbunge wa Bumbuli, January Makamba (CCM), na waliutoa pamoja juzi katika kongamano la kuelimisha vijana kuhusu Katiba lililomalizika jana Dar es Salaam.

Wote wanatamaa za uongozi, Zito tunamjua sana kwa mamboyake anayofanya awezi kuongoza nchi, kama anashindwa ku be organized kwenye chama chake ndiyo ataweza Nchi? jibu ni No is not smart enough to rule Tanzania for this time, Tukirudi kwa January tunaona wazi vitayake na Ngeleja ilivyo kuwa kubwa iyo yote anataka akabithiwe ile wizara ili nae apate ulaji kambla ya 2015, kwani anajua ikifika 2015 yeye anachake network yake itakua imepigwa chini labda atabakia na Ubunge tuu, soo wameamua kutafuta attention kutoka wa watu ili nao wasikike but sijaona kati ya ao wanaojiita Vijana anayeweza Kuongoza Nchi yetu.
 
Mimi sijawahi kukaa Chini na Zitto AMA na January lakini katika kusimamia maslahi ya nchi hujikuta tuna mambo tunakubaliana, naturally tu. Kila siku rafiki zangu huilaumu party caucus ya CCM wakidai inawafanya wabunge wanaotokana na CCM wasisimamie hoja za kitaifa na badala yake wasimamie mambo ya Chama chao. Leo hii inashangaza kuona wenzetu aw CHADEMA wanataka Zitto asifanane mitazamo na watu aw CCM!
 
Kigwa,kama CDM inasimamia mambo ya chama kuliko maslahi ya taifa nang'atuka!
 
Wana JF

Mimi ni miongoni mwa wale wanao amini kuwa siasa kati ya vyama na vyama si uadui bali ni kutofautiana kwa hoja katika kusukuma gurudumu la maendeleo. Hivyo ni muhimu kwa wanasiasa wetu wapingane kwa hoja lakini yanapokuja katika kusimamia maslahi ya taifa wayasimamie kwa pamoja bila kujali itikadi zao. Pia si vibaya kwa wanasiasa wetu kushirikana iwe kwa wale wa upinzani na wa chama tawala.

Bada ya kusema hayo nataka kutoa angalizo kwa CHADEMA juu ya ushirikiano wa kisiasa kati ya Makamba na Zitto niseme tuu huu ni mtazamo wangu naweza kuwa sahii au laa. Ukitazama kwa sasa juu ya harakati za kisiasa za hawa mabwana ni kama vile utadhani wako chama kimoja,huoni wakipingana kwa hoja wao kwa wao pia utaona kuwa vyombo vyote vya habari vile vinavyoshabikia propaganda mbovu kwa CHADEMA kama Jombo leo, TAZAMA, na Clauds FM vipo mstari wa mbele katika kuwashabikia hawa wawili kwa mfano ukiridi kwenye suala la posho za wabunge utaona kuwa CHADEMA na wabunge wake wote wamekuwa wakipinga hoja ya poshao za wabunge hadharani sijawahi kumwona Januari akipinga jambo hilo nje ya vikao vya bunge lakini imejengwa dhana na vyombo hivi vya habari kuwa hawa tuu ndio wapingaji wa suala la posha katika msingi huo ndipo ninapojenga hisia na angalizo kwa CHADEMA kuwa makini na urafiki huu yawezekana ukawa ni mkakati maalumu wa CCM kumbuka wamesema wamefungulia mbwa kwa sasa na hakuna kulala mpaka 2015.Nirudie tu niseme huo ni mtazamo wangu naweza kuwa sahihi au kinyume chake na hili ni angalizo tuu.

Hv mi najiuliza sipati jibu kwani whts so special ktk CDM&CCM,kila jambo ni hawa tu, halafu kwani ukiwa ktk vyama unauzika uhuru wako binafsi kama wa kufanya vile unavyopenda, kushirikiana na watu ,hata wale walio ktk vyama tofauti..,kwa mtazamo wangu hawa jamaa kwanza nawapongeza japo wanakosa sapoti lakini lengo lao ni kuleta mapinduzi ya kifikra na mtazamo ktk siasa za TZ, waendelee 2po pamoja tutashinda
 
Mkuu kwenye itikadi hapo; Zitto na January wana itikadi moja in common: Wote wanapinga posho za vikao ila hao makamanda wengine unaosema hawana nia thabiti ya kuzipinga posho.
Kimbunga hivi hiyo ndiyo maana ya itikadi labda mimi ndiye sielewi maana yake.
 
Ukiacha John Mnyika hao vilaza wengine akina Lema,Msigwa,Sugu et al Zitto ataongea nao nini? Apoteze muda kufuatana na mbumbu ili iweje sasa? Nafurahia sana Urafiki wa Zitto na January wote wako Smart Kichwani!

that's duh!!!!
mwezi wa kwanza=nyepesi=smart ????????
nwayz that's ur thinking.
 
Wameunganishwa na common interests.Binafsi,sina imani na Zitto.
 
Slaa kaoa lini? Dr. Slaa ana mchumba. Na ni mgombea urais, pekee aliyezunguka nchi nzima na mchumba!
so what? Inakusaidia nini wewe kama mtanzania? au inakupunguzia nini wewe kama Mtanzania? Jiheshimu/Heshimu wenzio ili nawe uheshimiwe!
 
Sioni sababu ya kuweka umri wa kugombea urais uanzie miaka 40.Ni vigezo gani vinatumika kuweka age limit?Najua kuna baadhi ya wazee na vijana wenye fikra mgando watakaopinga hili.Huwezi kupinga notion ya kizuzu kwamba vijana ni taifa la kesho kisha ukaendekeza hoja ya age limit iwe miaka 40,huko ni kutokujitambua.

Naamini katika uwezo wa mtu lakini pia umri ni kigezo muhimu.Nikipewa watu wawili wenye uwezo sawa (ceteris peribus) basi nitachagua mmoja ambaye ni the youngest among the two....!

kwa nini age limit iwe miaka 35?kwa nini isiwe 39 au 18?
 
so what? Inakusaidia nini wewe kama mtanzania? au inakupunguzia nini wewe kama Mtanzania? Jiheshimu/Heshimu wenzio ili nawe uheshimiwe!

lipumba alikuwa mgombea urais pekee aliyezunguka nchi nzima(na sasa marekani nzima)bila ya kuwa na mchumba,mke wala demu..na jk alikuwa mgombea wa urais pekee aliyezunguka nchi nzima na mke mmoja na mwingine kabakia nyumbani na msururu wa vimada vinamuangalia kupitia runinga!!!!
 
Imeandikwa na Mwandishi Wetu; Tarehe: 29th February 2012 @ 08:10

MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Kabwe Zitto, amesema maoni yake ya kutaka umri wa wagombea urais upunguzwe hayalengi yeye kugombea nafasi hiyo.

"Siwezi kutaka Katiba iandikwe kwa ajili yangu … isionekane kwamba matakwa ya muda mrefu ya vijana ya kutaka umri wa kugombea urais kupunguzwa, yanalenga kunipa fursa mimi.

"Mimi ni binadamu, naweza nisiwe na sifa za kuwa Rais, lakini kukawa na vijana wengine wengi wenye umri chini ya miaka 40 wenye uwezo na uzalendo wa kutosha kushika usukani wa nchi yetu," amesema Zitto katika taarifa yake kwa vyombo vya habari.

Zitto amesema, anaona, kwamba ni vema yakapatikana mabadiliko ya vizazi katika uongozi wa nchi ili kukabili changamoto za sasa zinazokabili Taifa.

"Tunapojiandaa kutoa maoni kuhusu Katiba Mpya, ni vizuri vyombo vya habari vikajikita kutoa taarifa bila tafsiri au kuwatafsiria maoni ambayo wananchi na viongozi watakuwa wanatoa kuhusu maudhui ya Katiba Mpya," amesema.

Mbunge huyo ambaye pia ni Naibu Katibu Mkuu wa Chadema, amevishutumu vyombo vya habari vilivyohusisha kauli yake ya kutaka kupunguza umri wa kugombea urais na yeye kuutaka.

"Mimi nikiwa mwanachama na kiongozi wa chama changu, Chadema, naelewa na kuheshimu taratibu na kanuni tulizojiwekea za kuomba nafasi za uongozi, ikiwamo ya urais," amesema.

Ameongeza kuwa, nafasi ya uongozi ndani ya Chadema haiombwi kwenye warsha na kwamba iwapo wakati mwafaka utafika na kutokana na matakwa ya jamii, kikiona apewe jukumu lolote hatasita kutekeleza wajibu huo akiwa au bila kuwa mgombea.

Amesisitiza, kwamba alichozungumza juzi yalikuwa ni maoni yake na kwamba muda umefika kwa Taifa kupunguza umri wa kugombea urais, akisema maoni hayo yanazingatia ukweli, kwamba hakuna sababu zozote za kisayansi zinazomfanya mtu wa chini ya miaka 40 akose sifa za kuwa Rais.

"Msimamo huu nimekuwa nao tangu zamani nikisoma shule na haujawahi kubadilika.
Hakuna mahala popote katika maoni yangu, niliyotoa jana (juzi) niliposema nataka umri wa urais upunguzwe ili nipate fursa ya kugombea urais," alisema Zitto.

Msimamo wa Zitto unafanana na wa Mbunge wa Bumbuli, January Makamba (CCM), na waliutoa pamoja juzi katika kongamano la kuelimisha vijana kuhusu Katiba lililomalizika jana Dar es Salaam.

this defence is too low and you can't fool me!!!hata kilaza lusinde hawezi kusema nataka umri upunguzwe ili nigombee urais!watu wana mashaka labda kutokana na mwenendo wako lately!!
 
Wana JF

Mimi ni miongoni mwa wale wanao amini kuwa siasa kati ya vyama na vyama si uadui bali ni kutofautiana kwa hoja katika kusukuma gurudumu la maendeleo. Hivyo ni muhimu kwa wanasiasa wetu wapingane kwa hoja lakini yanapokuja katika kusimamia maslahi ya taifa wayasimamie kwa pamoja bila kujali itikadi zao. Pia si vibaya kwa wanasiasa wetu kushirikana iwe kwa wale wa upinzani na wa chama tawala.

Bada ya kusema hayo nataka kutoa angalizo kwa CHADEMA juu ya ushirikiano wa kisiasa kati ya Makamba na Zitto niseme tuu huu ni mtazamo wangu naweza kuwa sahii au laa. Ukitazama kwa sasa juu ya harakati za kisiasa za hawa mabwana ni kama vile utadhani wako chama kimoja,huoni wakipingana kwa hoja wao kwa wao pia utaona kuwa vyombo vyote vya habari vile vinavyoshabikia propaganda mbovu kwa CHADEMA kama Jombo leo, TAZAMA, na Clauds FM vipo mstari wa mbele katika kuwashabikia hawa wawili kwa mfano ukiridi kwenye suala la posho za wabunge utaona kuwa CHADEMA na wabunge wake wote wamekuwa wakipinga hoja ya poshao za wabunge hadharani sijawahi kumwona Januari akipinga jambo hilo nje ya vikao vya bunge lakini imejengwa dhana na vyombo hivi vya habari kuwa hawa tuu ndio wapingaji wa suala la posha katika msingi huo ndipo ninapojenga hisia na angalizo kwa CHADEMA kuwa makini na urafiki huu yawezekana ukawa ni mkakati maalumu wa CCM kumbuka wamesema wamefungulia mbwa kwa sasa na hakuna kulala mpaka 2015.Nirudie tu niseme huo ni mtazamo wangu naweza kuwa sahihi au kinyume chake na hili ni angalizo tuu.

To me also its my perception, hawa jamaa wakuwaangalia sana.
 
Imeandikwa na Mwandishi Wetu; Tarehe: 29th February 2012 @ 08:10

MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Kabwe Zitto, amesema maoni yake ya kutaka umri wa wagombea urais upunguzwe hayalengi yeye kugombea nafasi hiyo.

“Siwezi kutaka Katiba iandikwe kwa ajili yangu … isionekane kwamba matakwa ya muda mrefu ya vijana ya kutaka umri wa kugombea urais kupunguzwa, yanalenga kunipa fursa mimi.

“Mimi ni binadamu, naweza nisiwe na sifa za kuwa Rais, lakini kukawa na vijana wengine wengi wenye umri chini ya miaka 40 wenye uwezo na uzalendo wa kutosha kushika usukani wa nchi yetu,” amesema Zitto katika taarifa yake kwa vyombo vya habari.

Zitto amesema, anaona, kwamba ni vema yakapatikana mabadiliko ya vizazi katika uongozi wa nchi ili kukabili changamoto za sasa zinazokabili Taifa.

“Tunapojiandaa kutoa maoni kuhusu Katiba Mpya, ni vizuri vyombo vya habari vikajikita kutoa taarifa bila tafsiri au kuwatafsiria maoni ambayo wananchi na viongozi watakuwa wanatoa kuhusu maudhui ya Katiba Mpya,” amesema.

Mbunge huyo ambaye pia ni Naibu Katibu Mkuu wa Chadema, amevishutumu vyombo vya habari vilivyohusisha kauli yake ya kutaka kupunguza umri wa kugombea urais na yeye kuutaka.

“Mimi nikiwa mwanachama na kiongozi wa chama changu, Chadema, naelewa na kuheshimu taratibu na kanuni tulizojiwekea za kuomba nafasi za uongozi, ikiwamo ya urais,” amesema.

Ameongeza kuwa, nafasi ya uongozi ndani ya Chadema haiombwi kwenye warsha na kwamba iwapo wakati mwafaka utafika na kutokana na matakwa ya jamii, kikiona apewe jukumu lolote hatasita kutekeleza wajibu huo akiwa au bila kuwa mgombea.

Amesisitiza, kwamba alichozungumza juzi yalikuwa ni maoni yake na kwamba muda umefika kwa Taifa kupunguza umri wa kugombea urais, akisema maoni hayo yanazingatia ukweli, kwamba hakuna sababu zozote za kisayansi zinazomfanya mtu wa chini ya miaka 40 akose sifa za kuwa Rais.

“Msimamo huu nimekuwa nao tangu zamani nikisoma shule na haujawahi kubadilika.
Hakuna mahala popote katika maoni yangu, niliyotoa jana (juzi) niliposema nataka umri wa urais upunguzwe ili nipate fursa ya kugombea urais,” alisema Zitto.

Msimamo wa Zitto unafanana na wa Mbunge wa Bumbuli, January Makamba (CCM), na waliutoa pamoja juzi katika kongamano la kuelimisha vijana kuhusu Katiba lililomalizika jana Dar es Salaam.

this defence is too low and you can't fool me!!!hata kilaza lusinde hawezi kusema nataka umri upunguzwe ili nigombee urais!watu wana mashaka labda kutokana na mwenendo wako lately!!
 
Ni Tanzania pekee mtu ambaye alikuwa mwandishi wa hotuba za rais anachaguliwa kuwa mwenyekiti wa kamati ya bunge inayoshughulikia masuala ya energy; zaidi ya yote, nchi yetu ina gesi nyingi ya asilia na inategemea kuwa na mafuta siku za usoni. Vijana hawa wawili madaraka yamewaingia kichwani sana, na sifa wanazopewa kila siku, zimewaondolea unyenyekevu (humbleness) uliowafikisha hapo juu.

Ni muhimu kwa Zitto kufahamu ya kuwa sio kila kitu kwenye maisha unaweza kukipima (quantify) kwa njia ya kisayansi. Na vile vile, sayansi nayo haina majibu ya kila jambo. Kuna vitu kwenye maisha watu wanajifunza kutokana na experience zao katika maisha! Kwa hiyo kusema hakuna ushahidi wa kisayansi unaonyesha ni lazima mtu kuwa na miaka (at least)arobaini ili kuwa rais wa Jamhuri ni kupoteza umma.

Kwa kutumia Rationale ya Zitto, mtu anaweza kusema umri wa miaka kumi na nane kwa ajili kupiga kura ushushwe kwani hakuna ushahidi wa kisayansi, unaonyesha ya kuwa mtu akifikisha huo umri ndio anakuwa tayari kufanya maamuzi chanya. Mtu mwingine anaweza kusema, umri wa kupata leseni ya kuendesha gari nao...

Kingine kinachonikwaza hapa ni timing ya hili jambo. Inafahamika ya kuwa Zitto kufika mwaka 2015 hatakuwa hajatimiza umri wa kugombea urais. Kwa mtu yeyote anayejua kuconnect dots ataona ni kwa nini huyu bwana ameileta hii hoja kwa sasa...
 
Uxkonde......! Kila ki2 kpo poa but makamba ni mpiganaji zasy hata Mbowe alimkaribisha ajiunge na CDM pale bungeni so ni lazima ashikamane na mpiganaji mwenzake zitto.

Upiganaji wa makamba una contradiction kubwa kwa sababu ya mapatron wake kina EL na RA...haaminiki huyu hata kidogo
 
lipumba alikuwa mgombea urais pekee aliyezunguka nchi nzima(na sasa marekani nzima)bila ya kuwa na mchumba,mke wala demu..na jk alikuwa mgombea wa urais pekee aliyezunguka nchi nzima na mke mmoja na mwingine kabakia nyumbani na msururu wa vimada vinamuangalia kupitia runinga!!!!

Mkuu acha kupotosha jamii,Prof Lipumba ana mke,hilo linathibitishwa kwenye CV yake. Tusipende majungu ya kike bila mpango wadau suala ambalo ni personal hata kama wewe ni National figure bora liendelee kuwa binafsi la kwako,haya mambo ya fulani sijui ana mchumba,mara sijui huyu ana wake kila kona tuwaachie wanawake wa uswahilini sisi tuangalie sera na ubora wa mtu kumchunguza maisha binafsi ni dalili ya kuwa mvivu wa fikra!!!
 
Tanzania kuna tatizo kubwa sana la kasumba ya baadhi ya vijana tena waliozaliwa na kukulia katika mfumo wa siasa shindani kuwa na ushabiki wa kipuuzi baadala ya kuwa vijana wanaohoji,kusikiliza,kufikiri na kudadisi.
Mtu anafanya umbea wa nani ni rafiki yake nani.nani ni adui yake nani.Kwa kuwa na vijana kama huyu hakuwezi kulisaidia taifa zaidi ya kuwa ni mzigo na aibu.
Ndo maana hata baada ya Uhuru ,pamoja na kwamba Nyerere alijua kwamba waafrika walikuwa katika daraja la tatu katika upataji wa huduma,huku wahindi wakiwa daraja la pili,wazungu la kwanza.Kilichoangaliwa katika uundwaji wa Serikali ni uwezo,uzalendo na uadilifu na siyo uafrika.
Tambua tunatambulishwa na Utanzania wetu na siyo Uchadema wetu au Uccm wako.Chama ni jukwaa tuu la kisiasa,kiitikadi ambayo ni imani juu ya vitu.
Hata unavyotumwa na baadhi ya watu wanaofikiri kama wewe tumia akili yako siyo yao,kwasababu hujii kwanini umetumwa.
Nakerwa na vijana wanapokuwa washabiki wa ujing.
To me this might be a Psychological phenomena and God is in witness for the time like this.

Mwakajilae,

Na wazee wanafiki tulio nao kwenye political landscape wanataka vijana wote Tanzania tuwe mazuzu namna hiyo ili waendelee kututumia.Tusikubali.....
 
Mimi sijawahi kukaa Chini na Zitto AMA na January lakini katika kusimamia maslahi ya nchi hujikuta tuna mambo tunakubaliana, naturally tu. Kila siku rafiki zangu huilaumu party caucus ya CCM wakidai inawafanya wabunge wanaotokana na CCM wasisimamie hoja za kitaifa na badala yake wasimamie mambo ya Chama chao. Leo hii inashangaza kuona wenzetu aw CHADEMA wanataka Zitto asifanane mitazamo na watu aw CCM!

Mkuu,

Hao ni blindfollowers kwenye siasa,sio wanachadema wote wanaoamini hivyo.Ni baadhi tu ya watu wachache wenye fikra mgando wanaojisingizia kuwa wanachadema.Hakuna mwanachadema mwenye akili timamu anayeweza kufikiria kama ulivyosema hapo juu..............
 
Back
Top Bottom