Nchi haina uongoziina walaji tu!
Baadae tutaambiwa mabilioni yamerudishwa na yatatumiwa kuchonga madawati.hwell: Sijaona dawati hata moja kutoka kweli ile chenji ya Chenge na sasa tumeshasau na tunadai mabilioni yetu kutoka uswizi na hata yakija tutapigwa changa la macho na tutasahau na tutasonga mbele na shida zetu na dhiki zetu. Tanzania kweli ni nchi ya Tanzia. Kinana kapanda chati kwa kufanikisha zoezi la kukusanya pembe za ndovu na tumempa cheo kwenye chama. Hivi nchi za wenzetu kashfa kidogo tu unawajibishwa ila hapa kwetu ukiharibu unatukuzwa. kweli Nchi yetu nzuri. JK tunakushukuru kwa kudhubutu na kweli mtasonga mbele
Zitaenda kuwasaidia wafugaji wa Monduli,kwa mara ingine tena baada ya chenji ya rada aliyoshupalia Membe kupelekwa Monduli.Tu rahisi kugawa lakini kuzitafuta ni wagumuhizo hela hata zikirudishwa zitaishia benki kuu alafu ccm watazitumia kwenye kampeni zake za uchaguzi hapa so hizo hela hata zikiletwa hazitatumika kwa manufaa ya watanzania so bora zibakie huko huko kama kukosa tukose wote
Zitto amesema ukweli, kwa nini Serikali yetu ndiyo imegeuka Msemaji wa Serikali ya Uswis?
Inasikitisha sana kuongozwa na Mazezeta
Chenge kumbe hata kwenye hujuma ya Tanesco anahusika kwa kupitia IPTL. Yaani huyo ni kama chunusi. Katunyonya kwelikweliSijaona dawati hata moja kutoka kweli ile chenji ya Chenge na sasa tumeshasau
km marekani walitumia mbinu ya kuzinunua taarifa na wakazitumia kwa tz ninavyoijua that will never happen. zito ngoma ikishindikana huko serikalini na bungeni, ilete kwetu wananchi tumeshachokaaa aaaarrrgh.
afwe walaji wenye makampuni ya kusafirisha pembe za ndovu kwenye makontena ya SUNFLOWER
Mimi ndo nashangaa maajabu ya dunia yapo Tanzania, inakuweje serikali ya Uswisi yenye account number na majina ya walioweka fedha then iulizie tena majina Tanzania kama sio usanii ni nini hapo