Zitto: Mabilioni ya Uswisi – Tusigeuzwe Mazezeta

Naungo mkono hoja ya Kamanda Zito,haiwezekani serikali hungane na mlinzi wa wezi,tunataka Dunia ituelewe watanzania kwamba tupo patriotic na taifa letu,watuelewe kwamba sisi watanzania hatubabaishwi na misaada ya kujenga barabara kuu za kurahisha unyonyaji bali tunataka watawala wetu wawe patriotic kwa taifa letu.UHURU WA KWELI TUNAUTAKA KWA WATAWALA KUACHA UBINAFSI NA KUJALI MASLAHI YA TAIFA.BIGUP ZZK.
 
Baadae tutaambiwa mabilioni yamerudishwa na yatatumiwa kuchonga madawati.:eek:hwell: Sijaona dawati hata moja kutoka kweli ile chenji ya Chenge na sasa tumeshasau na tunadai mabilioni yetu kutoka uswizi na hata yakija tutapigwa changa la macho na tutasahau na tutasonga mbele na shida zetu na dhiki zetu. Tanzania kweli ni nchi ya Tanzia. Kinana kapanda chati kwa kufanikisha zoezi la kukusanya pembe za ndovu na tumempa cheo kwenye chama. Hivi nchi za wenzetu kashfa kidogo tu unawajibishwa ila hapa kwetu ukiharibu unatukuzwa. kweli Nchi yetu nzuri. JK tunakushukuru kwa kudhubutu na kweli mtasonga mbele
 
Baadae tutaambiwa mabilioni yamerudishwa na yatatumiwa kuchonga madawati.:eek:hwell: Sijaona dawati hata moja kutoka kweli ile chenji ya Chenge na sasa tumeshasau na tunadai mabilioni yetu kutoka uswizi na hata yakija tutapigwa changa la macho na tutasahau na tutasonga mbele na shida zetu na dhiki zetu. Tanzania kweli ni nchi ya Tanzia. Kinana kapanda chati kwa kufanikisha zoezi la kukusanya pembe za ndovu na tumempa cheo kwenye chama. Hivi nchi za wenzetu kashfa kidogo tu unawajibishwa ila hapa kwetu ukiharibu unatukuzwa. kweli Nchi yetu nzuri. JK tunakushukuru kwa kudhubutu na kweli mtasonga mbele

Kiona,ujue jamaa anaweza akaja na sound kama ya rada kuwa hakuna aloweka pesa uswizi,
mtamfanyaje???mtamfanyajeeeeee?aaaah,tushafanywa mazuzu
 
Last edited by a moderator:
hizo hela hata zikirudishwa zitaishia benki kuu alafu ccm watazitumia kwenye kampeni zake za uchaguzi hapa so hizo hela hata zikiletwa hazitatumika kwa manufaa ya watanzania so bora zibakie huko huko kama kukosa tukose wote
Zitaenda kuwasaidia wafugaji wa Monduli,kwa mara ingine tena baada ya chenji ya rada aliyoshupalia Membe kupelekwa Monduli.Tu rahisi kugawa lakini kuzitafuta ni wagumu
 
Zitto amesema ukweli, kwa nini Serikali yetu ndiyo imegeuka Msemaji wa Serikali ya Uswis?

Inasikitisha sana kuongozwa na Mazezeta :(
 
Sijaona dawati hata moja kutoka kweli ile chenji ya Chenge na sasa tumeshasau
Chenge kumbe hata kwenye hujuma ya Tanesco anahusika kwa kupitia IPTL. Yaani huyo ni kama chunusi. Katunyonya kwelikweli
 
km marekani walitumia mbinu ya kuzinunua taarifa na wakazitumia kwa tz ninavyoijua that will never happen. zito ngoma ikishindikana huko serikalini na bungeni, ilete kwetu wananchi tumeshachokaaa aaaarrrgh.

nina uhakika hii ngoma ni nzito serikalini, sioni wa kumfunga paka kengele pale, serikali yetu imejaa wala rushwa ii, hii ngoma ingerudishwa kwa wananchi, serikali hii ya kihuni mtaona ikibanwa sana itakuja na bonge ya tukio ili ktusahaulisha
 
Nadhani kinachokuja kutokea ni kilekile cha Richmond. Kati ya maazimio ya Bunge 23 kuhusu kashfa ya Richmond yaliyotekelezwa hata 10 hayafiki, bunge limefyata mkia. Anachokifanya Mkuchika na Serikali yake ni mwendelezo tu wa Serikali ya CCM kulipuuza Bunge na kuligeuza kama mdoli unaochezewa na mtoto kitandani. Wengi wamesema na watazidi kusema kilio cha mabilioni haya kitaenda na maji tu as far as Serikali ni hii hii kiburi dhidi ya bunge na wananchi kwa ujumla.

Labda bunge (hili hili la Makinda na CCM yake?) waseme watamfanya nini JK na Serikali kama watapuuza maazimio hayo maana tayari dalili zote zinaonesha bunge (wananchi) litapuuzwa tu.I think we need new approach to this scam
 
Zito usitufanye watanzania kama watoto wako au hatujuwi sheria mbona haya majian unayafanya ni mtaji wako kisiasa c uyataje kama hoja ni yako unataka nani ayatajehayo majina?acha siasa za kitoto huna tofauti na kijana aliyeimba naenda kusema kwa mama. weka majina mezani hatua zianze vinginevyo na wewe una ka pasent kako hapo
 
Wakamletea Yesu mwanamke aliyekamatwa akizini. Wakamwambia Yesu turuhusu tumuuwe kwa mawe kama sheria inavyosema! Yesu akawajibu, "Asiye na dhabi aanze kumpiga jiwe!" Kule serikalini wanapoanza kulizungumzia suala hili wanaambizana, "Asiye na dhambi aanze kumtupia mwenzie mawe!" Serikali ya mafisadi haiwezi kulishughulikia hilo. Kama kuna njia nyingine tumieni. Sababu hiyohiyo inanifanya niamini kuwa hata hilo azimio la bunge halitamaterialize!
 
Zitto muonee huruma JK, utamuua siku sio zake, unless otherwise upate uhakika kama jina lake halipo.
 
Mimi ndo nashangaa maajabu ya dunia yapo Tanzania, inakuweje serikali ya Uswisi yenye account number na majina ya walioweka fedha then iulizie tena majina Tanzania kama sio usanii ni nini hapo

Maneno juu ya majibu haya ya serikali ya uswis yatanipa BAN nimechukia kweli na ujinga wa wazungu wanyonyaji hawa
 
Hata M23 wanachukizwa na mambo kama haya ndiyo maana wanataka serikali ya kabila wajadili wanakataa sasa wapo goma!Siyo kuwa Tanzania haiwezekani watu wanachoka na udhalimu wa waziwazi!
 
Si ulisema unawajua?
Wataje usitufanye mazezeta bana!!! Kwanini hukuwataja unaanza kupiga kelele mitaani wakati platform ulikuwa nayo less than two weeks ago??
Huu sasa ni upumbavu huu!!
 
Watanzania si mazezeta,bali wale waliotoa hoja ambazo wanashindwa kuzikamilisha kwa wakati.acheni kuchezea akili za watu pelekeni majina hayo,la sivyo mtaonekana ni wasaliti wakubwa katika maslai ya taifa letu na hii itakuwa dhambi kubwa kuliko zote zilizowahi kutokea kwa uchumi wa nchi.
 
Hoja ni kutaja na serikali ya Uswisi inataka majina kama vile ambavyo ukiiambia TAKUKURU MAREHEMU unaombwa vitu hivyo hivyo na kisha unapewa hela na kuwawekea mtego wanaotoa rushwa au kupokea rushwa. Ni utaratibu wao! Lakini tukumbuke RA alipoachana na siasa uchwara alienda Uswisi kwa mapumziko!!!!! Aliwakilisha wengi wana siasa uchawara nadhani! ZZK naye alienda baada ya uchaguzi kupumzikia Malaysia watu wakaulizia mengi lakini nahisi maeneo hayo ni kwa RA kiuhakika. Kijana nakupenda jiangalie usije ukawa ulikatiwa na RA halafu sasa unaanza kumgeuka yeye huwa anapiga nyundo sana usisahau kwao ni IRAN
 
55 Reactions
Reply
Back
Top Bottom