Zitto: Mabilioni ya Uswisi – Tusigeuzwe Mazezeta

Ni jambo la kushangaza kuona mtu aliyekua ameshupalia mabilioni yaliyowekwa offshore banks amejipambanua tena hawezi kuweka wazi ni akina nani hao.
Zito anadai anataka mjadala uwe mpana lakini amesahau upana wa hoja unakwenda sambamba kwa kujua ni akina nan hao.mheshimiwa naona unawachezea sheri wananchi huku unataka comprehesive report while on the other side you create the biase SASA HUO UPANA UTAPATIKANAJE?
zito kweli tujadili tulivyoibiwa na tusijadili wanaotuibia?
Watu kama akina zito ni watu hatari sana,undumila kuwili ndio nyenzo dhaifu zito unayoitumia.
Tujadili mchezo ila tusijadili wachezaji
 
Kwanini Tanzania itumie hela kufanya uchunguzi wakati majina unayo. Taja watu wakamatwe kuepusha matumiz zaidi pesa za wananchi.
 
Nimesikiliza tuongee asubuhi Star TV. Eti umesema hutawataja walioweka fedha Uswizi.
Naamini kuwa ulikuwa unatishia wakupe kitu kidogo na sasa umepata. TUKUELEWEJE WATANZANIA

WEWE NDIYE UNATAKA KUWA RAIS KESHO, TANZANIA IMEKWISHA. MUNGU IUMBE UPYA TANZANIA
 
Back
Top Bottom