Zitto, Kwenye hili tayari umeshinda!

Zitto, Kwenye hili tayari umeshinda!

rudi kwenye hoja ya ushindi wa zitto mkuu.
hizo hadithi zako nyingine kawapigie WAGAZA
mchange na wewe upo kwenye mission ya kummaliza zitto kisisa???
Theo Mutahaba amjibu Zitto

Ndg. Zitto
Nasikitishwa sana na hizi tabia zako za ajabu ajabu. Mimi nafanya kazi katika moja ya taasisi za ki usalama na nimeshirkia mara kadhaa kukupa fedha.

Nyendo zako hata na sisi tunazijua na nimeshangazwa na utoto wako wa kuandika waraka ambao umetoa vitisho ambayo inadaiwa kutoka kwa Andrea Codes. Ndugu napenda kukuonya kwamba umefanya mengi ambayo hata wana Chadema hawajui.

· Swala la Bomu Arusha ulishiriki na lengo ilikuwa ni kumuua mwenyekiti wa Chadema pamoja na
Ndg. Lema. Hii kitu ulipanga, wewe, mwigulu na vyombo vya usalama ·Zitto, rais Kikwete alipoenda Sudan ya Kusini uliambatana naye. Unakumbuka sababu ya wewe kuitwa? Nikukumbushie kwamba ilikuwa zawadi kwako ya kuihujumu chadema. CCM hawakupendi, bali wanapenda hujuma zako ndio maana walikudanganya kwamba watakusaidia kupata uenyekiti CDM ikiwepo kumuua Mbowe na kumdhoofisha Dr. Slaa

· Ndg. Zitto unadanganya umma kwamba unafuatilia fedha Uswisi wakati hii ni njama ambayo imesukwa na TISS kisha ukakabidhiwa ili CHADEMA isiibane sana serikali.

· Tueleze ni majina gani uliyoyapata. Na kama umeyapata, tunaomba kujua jina lako ni namba ngapi, kwa sababu na wewe una fedha nje ya nchi na ushahuidi tunao

· Umekuwa ukijenga mtandao wa kuwania uenyekiti na fedha ulizopewa na TISS pamoja na CCM ili kumn’goa Bw. Mbowe kwenye uenyekiti
wa CHADEMA ili 2015 CCM ishinde.

· Zitto, una ghorofa Dodoma karibu na St. Gasper Hotel. Fedha za kujenga lile jengo zimetoka wapi?

· Zitto, Barrick gold walikujenga shule pale jimboni kwako. Baada ya lile shule kujengwa na pia kupewa kitita cha fedha ulinyamaza kabisa

· Ndg. Zitto, wakuu wengi wa mashirika ya umma wameleta malalamiko TISS kuhusu unavyochukua
fedha kwao. Hilo unalijua kama ni ufisadi?

Ndg. Zitto, wewe ni kijana mdogo. Hizi tamaa zako za kifisadi zitaipeleka nchi pabaya. Tunakuangalia na kelele zako hasa fedha za uswisi. Usichezee na akili za watanzania. Wewe ni fisadi namba moja.

Umeficha fedha nje, ama nikukumbushe kwamba, majuzi ulipokuwa nje ya nchi ulitoa fedha kwenye benki Fulani. Ile account umefunguliwa na nani?

Badilika kijana. Kisiasa umeshajimaliza. Pengine nikukumbushie kwamba mawasiliano yako na Jack Nzoka, Mwigulu, Ridhiwani za kisaliti ndio chanzo cha kuanguka kwako. Ila hacha kuwadanganya watanzania na kiini macho cha Uswisi. Umeshajua mengi sana , usishangae kijana ukija kutoweka ghafla. TISS hawachezi na mtu. Na ni wao au CCM ndio watakao kumaliza sio CHADEMA.

Ule waraka unaosambaa ni mali ya TISS na imeratibiwa na CCM ambao ndio ndugu zako wakubwa Andrea, take care of your son. Get out of these Zitto corrupt acts. you know quite well that we wired you money and we have the evidence. Why would you waste your effort making noises? do you know the German government is investigating this matter? why would you fall for Zitto childish internet games of writing emails to the Chadema

leaders. So for your information, the document came from CCM and Tanzania Intelligence
Services Nakutakia kila la kheri kwenye kuhujumu Chadema.
 
hivi kumbe 2010 kura yangu niliipoteza kwa mpuuuzi pale kibaha.
 
Zitto!!

Watapambana,lakini hawatashinda!

Watashindana na wewe lakini amini hawatashinda kwa sbb mashindano yao yamejaa hila!

Tena wanakoelekea wamekaribia mwisho,wako ukingoni kabisa mwa eneo lenyewe!!

go tell him talk this to the judge..
 
Unaweza kujiuliza maswali,wapi alipo Bibi Titi Mohamed ambaye alikuwa ni mwanzilishi wa TANU iliyokuja kuzaa CCM?Wapi anatajwa na kupewa heshima kama mwanzilishi?Haijalishi ulifanya nini watu wanachotaka ni Umefanya na Unafanya nini?!Big results now!Anaweza akawa mwanzilishi lakini akawa muuaji pia wa hicho alichokianzisha?
Ukweli utabaki palepale,nyendo za Zito zimekuwa za kutia mashaka na azijibie hizo acheni propaganda!!Aje aseme hizi namba za simu zinazotajwa sio za kwangu na hawa wote waliotajwa sijawahi kuwatumia hela kwa Mpesa au tigo pesa,au hata kama niliwatumia zilikuwa za kuninunulia mboga kupeleka nymbn,au mimi ndo mhasibu wa CDM kwa hiyo nilikuwa nawatumia mishahara yao ya Mwezi.Then hapo tutawaelewa!
 
Mchange wewe ni kitoroli cha Zitto, nani asie kujuwa, harakati zako pale Udom juu ya Kumnadi zitto na kuwaponda Viongozi Wote wa juu wa Chadema kabla hata ya uchaguzi mkuu wa 2010, sikutegemea uwandike lingine zaidi ya uchwara ulio uwandika.
 
umenena vema.....
 
mbona kama hueleweki vile?. ulitaka kusema nini labda?.
Sio kila mtu anajibiwa ,wengine unatakiwa uwashauri wayarejee maandiko yao, bila shaka watajifahamu nimefurahi jinsi ulivyotiririsha hoja na usichoke kuwachana , pengine watapunguza uzushi sasa!
 
chama kinatakiwa kitoe tamko la kukanusha, sio kupitia email tamko kwa umma.
na kiseme hadharani kwamba hiyo ripoti siyo ya chadema.

hakiwezi kufanya hivyo kwa sababu ni dhahiri kuwa hii ni kazi ya MBOWE, SLAA, LEMA na GENGE LAO.

Kwa chama makini hakiwezi kukurupuka kitoe tamko mitandaoni kama unavyolazimisha. Hili atafutwe aliyelitoa tuhuma ili athibitishe siyo CDM? La sivyo Zitto na timu yake nao wakanushe kwa data za mleta uzi humu humu kwenye mitandao. Hii ni "Cyber War" lazima ipiganwe huko huko siyo kwenye Party Officies!

Ila post ya "Theo Muthahaba" ni nouma, bora aishie kwenye hiyo maana akiendelea kurusha mabomu zaidi, atamsambaratisha vibaya sana msaliti!

images
 
Mchange wewe ni kitoroli cha Zitto, nani asie kujuwa, harakati zako pale Udom juu ya Kumnadi zitto na kuwaponda Viongozi Wote wa juu wa Chadema kabla hata ya uchaguzi mkuu wa 2010, sikutegemea uwandike lingine zaidi ya uchwara ulio uwandika.

mimi mchange sawa wewe ni nani mwenzangu?
 
Kwa chama makini hakiwezi kukurupuka kitoe tamko mitandaoni kama unavyolazimisha. Hili atafutwe aliyelitoa tuhuma ili athibitishe siyo CDM? La sivyo Zitto na timu yake nao wakanushe kwa data za mleta uzi humu humu kwenye mitandao. Hii ni "Cyber War" lazima ipiganwe huko huko siyo kwenye Party Officies!

Ila post ya "Theo Muthahaba" ni nouma, bora aishie kwenye hiyo maana akiendelea kurusha mabomu zaidi, atamsambaratisha vibaya sana msaliti!

utakuwa una matatizo sio bure.
chama makini kinawezaje kuacha kiongozi wake mmoja (naibu katibu mkuu) amachafuliwa chenyewe kinakaa kimya?.

umeona wapi huo umakini wa chama cha namna hiyo?

lazima chama ama kikubali au kiikatae taarifa inayomusu kiongozi wake.

hawafanyi hivyo kwa kuwa nyuma ya hili nyupo MBOWE NA SLAA NA TIMU YAKE.
 
Mbona yale yanayosemwa na CCm Mnyika utamuona kwenye Tv ameshupaa akijibu haraka hata babla siku haijapita.kwanini suala linalomuhusu kiongozi wa chama tena suala lenye kumchafua na kudhoofisha upambanaji wajibu kimya kimya tena mpaka ushahidi uwepo wakati mitandao ipo na yanasomwa?Je ingekuwa suala la Mbowe,Slaa au Huyo Mnyika wangesubiri malalamiko au wangetoa tamko?Mnatuboa sana tunachotaka ni demokrasia ya kweli na sio kung'ang'ania madaraka.
Nimeshangazwa na Zitto kumwandikia Dr. Slaa barua tarehe 10-11-2013

wakati Mnyika alishafafanua kwa e-mail kwenda kwa andrea na kum-c.c Zitto tarehe 09.11.2013
 
Zitto anavyokuzwa as if kafanya jambo la maana sana katika siasa za nchi hii!

Wako watu wamefanya mambo makubwa sana lakini hawajikuzi namna hii na kutumia migogoro kupata sympathy!

Ni ujinga sana mtu kujikuza bila sababu za msingi, Mbunge kama Lissu ana miaka mitatu bungeni na amefanya mambo makubwa sana lakini sijawahi kumwona akijikweza katika mitandao ya kijamii usiku na mchana kutwa!

Wewe Mchange ulitegemea Zitto asisafishwe kwa rushwa za Tanesco wakati huyohuyo ni mshauri wa Nishati na Madini wa Mkono Advocates & Co. Hata kamsaidia yule mjinga mwenzenu kupata tempo kule.

Mnachokera ni kukuza migogoro mitandaoni, alisafishwa kwa rushwa kwa kuwa na yeye anakula hela ya Tanesco kupitia Mkono!

Kwa akili yako fupi umeshasikia Zitto akizungumza lolote kuhusu gas au nishati popote pale nje au ndani ya Bunge au mtandaoni anakokesha tangu Prof. Muhongo awaumbue yeye na Mkono bungeni!

Akili yako ya kuku haikuoneshi alvyohama hoja na kuamia kwenye pesa uswisi?

Kumlinganisha Mbowe na watu wenye njaa na masikini kama nyie ni upumbavu wa hali ya juu!

Msome jamaa kwene FB na Twitter dakika kama 30 zilizopita

Zitto Kabwe · 29,799 followers
22 minutes ago via mobile ·

[h=5]Mwisho wa uongo ni aibu. Siasa za uongo hazilipi. Lazima mtu mmoja ajitoe muhanga kukomesha siasa za uongo na utungaji hekaya. Nimeamua kuchukua wajibu huo kuokoa nchi kutoka kwenye makucha ya siasa za uongo, uzushi na uzandiki. Iwe fundisho kwa vifaranga na mama zao. Mabadiliko ni hoja na kusimamia hoja za umma na sio utungaji wa hekaya dhidi ya washindani wako kisiasa.

[/h]
 
Unaweza kujiuliza maswali,wapi alipo Bibi Titi Mohamed ambaye alikuwa ni mwanzilishi wa TANU iliyokuja kuzaa CCM?Wapi anatajwa na kupewa heshima kama mwanzilishi?Haijalishi ulifanya nini watu wanachotaka ni Umefanya na Unafanya nini?!Big results now!Anaweza akawa mwanzilishi lakini akawa muuaji pia wa hicho alichokianzisha?
Ukweli utabaki palepale,nyendo za Zito zimekuwa za kutia mashaka na azijibie hizo acheni propaganda!!Aje aseme hizi namba za simu zinazotajwa sio za kwangu na hawa wote waliotajwa sijawahi kuwatumia hela kwa Mpesa au tigo pesa,au hata kama niliwatumia zilikuwa za kuninunulia mboga kupeleka nymbn,au mimi ndo mhasibu wa CDM kwa hiyo nilikuwa nawatumia mishahara yao ya Mwezi.Then hapo tutawaelewa!

Yeye anajibu hivi kwenye FB na Twitter

Zitto Kabwe · 29,799 followers
22 minutes ago via mobile ·

[h=5]Mwisho wa uongo ni aibu. Siasa za uongo hazilipi. Lazima mtu mmoja ajitoe muhanga kukomesha siasa za uongo na utungaji hekaya. Nimeamua kuchukua wajibu huo kuokoa nchi kutoka kwenye makucha ya siasa za uongo, uzushi na uzandiki. Iwe fundisho kwa vifaranga na mama zao. Mabadiliko ni hoja na kusimamia hoja za umma na sio utungaji wa hekaya dhidi ya washindani wako kisiasa.

[/h]
 
hebu leta hiyo link ya hayo maneno niliyosema.

nasisitiza hapa hakuna haja ya kutoka nje ya mada, waambieni wanaowatuma wawatume mje na majina yenu halali msije kikivuli kivuli.
zitto amewashinda na ataendelea kuwashinda
alianza hivi;
[h=5]Kwa anayenifahamu na kuifahamu Chadema na Viongozi wake atakubaliana na ukweli kuwa MIMI, MTELA MWAMPAMBA nilikuwa karibu zaidi na Naibu Katibu Mkuu wa Chadema, Mbunge wa Kigoma Kaskazini Mheshimiwa Zitto Zuberi Kabwe.[/h][h=5]akamalizia hivi

Kimsingi Ushauri wako huu nimeanza kuufanyia kazi kwenye post hii, wa kuacha kuongelea Mengi kuhusu Chadema na Viongozi wake pia.

Lakini naomba nikushauri kutokana na maneno yako uliyoyaandika leo katika kipengele hiki cha tatu kuwa tusitumie jina lako kufanikisha malengo yetu kisiasa, ni maneno yanayoudhi na kutoka katika misingi ya kulindana. Ni wazi kuwa tumehojiwa katika vikao kadhaa ndani ya Chadema na kote hakuna ambako tulitaja jina lako wala kukuhusisha na chochote kuhusu sisi. Usijiachie sana katika mazungumzo yako, wakati mwingine neno huweza kuzaa yale usiyoyatarajia.
Karata yako ya mwisho inayo-determine maisha yako kama mwanachadema iko mikononi mwetu, Please brother, Don’t mess with your last poker chip, u will lose the game.

Kauli yangu Moja ya Ushuhuda inamaliza Uhai wako ndani ya Chadema., I know you’re smart brother, don’t get crossed., straighten your words..!

Kuwa makini, AND THIS IS SERIOUS…![/h]
 
Daud Safari(Balali) mbona hueleeki? Naona hujasoma hoja, umekurupuka kuchangia tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom