Zitto, Kwenye hili tayari umeshinda!

Zitto, Kwenye hili tayari umeshinda!

Halafu Mchange, ujue kadri chama kinavokua mchango utathaminiwa si kwa vile wewe ni wa Mbowe, au wewe ni wa Zitto, au wewe ni wa Slaa; wewe umeanza siasa juzi tayari umeshajitengenezea kakundi kako, unadhani ungefika mbali? Ndo maana vijana wa aina yako hawafikagi popote kwa vile malengo yao hukaa kimakundi makundi.

Jifunze kwa vijana wenzako akina Mnyika akiwemo hata Zitto mwenyewe. Wakati wanaanza siasa walikubali kukaa chini kujifunza kwa wakubwa wao. Hizi kukuru kakara za Zitto zina mwangwi kwa vile ameshafanikiwa kisiasa kwa namna yake. But....asingeweza kufanya hivi wakati ule anaanza.

Sasa wewe umeingia tu kwenye siasa tayari unalo kundi, unatukana mabosi wako, unaita wanachama wenzako magaza sijui, unafikiri utafika mbali? Na hii ni kwa wote wenye muono wa kimakundi -- kuna wengine ni wazi kabisa wanamchukia Zitto kwa vile wao ni wa Mbowe. Wote nyie wa dizaini hizo hamfikagi mbali kisiasa.
 
Bado hilo neno la kibaguzi "WAGAZA" unaendelea kulitumia tu?

Siasa ubaguzi wa dini na makabila hazitakufikisha popote ndugu yangu

hawana jina zuri la kuwaita zaidi ya ''WAGAZA''.
kama mnaweza kukaa mkatunga uwongo na kuusambaza kwa kasi ya ajabu, mkautetea na kuufanya uaminiwe.

kama mnaweza mnkamshutumu mtu kwa usaliti baada ya kifo chake mkamuita kamanda,

kama mnaweza mkaweka mipango mpaka ya kutoa roho za wenzane kwa sababu ya madaraka ya duniani na ustawi wa KABILA LENU. kwanini sasa tusiwaite WAGAZA?.

kwangu mimi nyie ni WAGAZA na nitaendelea kuwaita hivyo daima dumu
 
Huu Ulimbo wa Mchange utawanasa wengi sana.

Mimi nipo zangu maskani nakunywa kahawa na kashata.
 
Last edited by a moderator:
Halafu Mchange, ujue kadri chama kinavokua mchango utathaminiwa si kwa vile wewe ni wa Mbowe, au wewe ni wa Zitto, au wewe ni wa Slaa; wewe umeanza siasa juzi tayari umeshajitengenezea kakundi kako, unadhani ungefika mbali? Ndo maana vijana wa aina yako hawafikagi popote kwa vile malengo yao hukaa kimakundi makundi.

Jifunze kwa vijana wenzako akina Mnyika akiwemo hata Zitto mwenyewe. Wakati wanaanza siasa walikubali kukaa chini kujifunza kwa wakubwa wao. Hizi kukuru kakara za Zitto zina mwangwi kwa vile ameshafanikiwa kisiasa kwa namna yake. But....asingeweza kufanya hivi wakati ule anaanza.

Sasa wewe umeingia tu kwenye siasa tayari unalo kundi, unatukana mabosi wako, unaita wanachama wenzako magaza sijui, unafikiri utafika mbali? Na hii ni kwa wote wenye muono wa kimakundi -- kuna wengine ni wazi kabisa wanamchukia Zitto kwa vile wao ni wa Mbowe. Wote nyie wa dizaini hizo hamfikagi mbali kisiasa.

aliyekudanganya kuwa mnyika hana kundi ni nani?.

mnyika ni mwanamkakati wa OPERESHENI ONDOA ZITTO KWENYE HOJA ZENYE MASLAHI KWA UMMA
 
Kheeh! Unampa sifa asizostahili.

Point of correction:Mleta mada si mwanachama wa CHADEMA.

Aliwahi kuwa mwanachama lakini akafukuzwa kwa tuhuma za usaliti na kuhujumu chama baada ya tuhuma kuthibitishwa pasipo na shaka(beyond reasonable doubt)

Ingekuwa hivyo si na Zitto angefukuzwa?au Chadema wana double standard?
 
Akili yako inawaza pafupi tu?. ndio maana mnaandika uwongo uwongo kwa kupenda vifupi?. mbona ile ripoti yenu ndefu sana?

unaongelea ripoti yenu,akina nani? acha kutumika.hatuwezi kujadili post ya kipuuz kama hii ya mwandishi mwenye chuki zake binafs na lema.
 
hawana jina zuri la kuwaita zaidi ya ''WAGAZA''.
kama mnaweza kukaa mkatunga uwongo na kuusambaza kwa kasi ya ajabu, mkautetea na kuufanya uaminiwe.

kama mnaweza mnkamshutumu mtu kwa usaliti baada ya kifo chake mkamuita kamanda,

kama mnaweza mkaweka mipango mpaka ya kutoa roho za wenzane kwa sababu ya madaraka ya duniani na ustawi wa KABILA LENU. kwanini sasa tusiwaite WAGAZA?.

kwangu mimi nyie ni WAGAZA na nitaendelea kuwaita hivyo daima dumu

Ndugu Mchange please naomba kirefu cha neno WAGAZA.
 
Last edited by a moderator:
anakijenga chama kwa kumtukana zitto mtandaoni?.

Kutofautiana kwa Lema na Zitto kwa masuala ya mbalimbali kama la posho, that's non of your business. Naona bado hujaielewa hili, ukweli ni kwamba haiwezekani watu wote kwenye chama mkawa na mawazo mamoja.

Lakini tatizo linakuja jinsi unavyotafsiri huko kutofautiana. Wewe tayari umesoma huko kutofautiana kwa sura ya kimakundi kwa vile 'wewe ni wa Zitto'.

Wengine wenye sura ya kichama wanasoma huko kutofautiana kwa namna bora ya kukutanisha mawazo ya Zitto na Lema kuhusu posho wajenge composite ideas zitakazowakilisha hoja ya chama.

Halafu Lema ana moral authority ya kusimamia mawazo yake. Vivyo hivyo kwa Zitto. Wote hawa ni wabunge wanaowakilisha wananchi. They are heavyweights in their own worlds.

Wewe ni nani ndugu yangu, hadi kufika kuwa na mawazo ya kuwadharau mabosi wako, wa viwango vya juu kabisa kama Mbowe au Slaa?

Utake usitake, kama unataka kusonga mbele kwenye CCM huwezi kufanya upuuzi wa kumdharau Kikwete, ila naona wewe ulitaka kusonga mbele kwenye Chadema kwa kumdharau Mbowe...🙂
 
Umerudi kama sabuni ya Ilula? Masalia bana,Zitto alishawatosa kitambo bado mnaendelea kujikomba kwake,si bure yatakuwa yale machale mliyochanjwa matakoni.
 
Makamanda "WAGAZA" ndiyo nini?

WACHAGGA

Ilikua code name ya kumaanisha "Wachagga" ndani ya PM-7

Karne hii tunaeneza chuki za kikabila kama msingi wa siasa.

Hii ni njia inayotumiwa na narrow minds kwenye siasa
 
Kuna post naona imefutwa na MoDs ilikuwa inahusu Mutahaba amjibu Zitto sielewi kwa nini. Sema nimefanikiwa kuicopy.

Naomba kuuliza Muhataza ni nani??
 
protocal kwa hili! my foot..,wenye iq ndogo mtakesha kwenye hili.

Mnyika ni mwenezi amelimaliza kwa niaba ya chama chake

Nadhani umesahau pia kuwa Zitto ni Naibu Katibu Mkuu,na Mbunge Mwenye Heshima Kitaifa,hivyo ni vyema Chama kinatoa taarifa stahiki kwa umma juu ya hili.
 
aliyekudanganya kuwa mnyika hana kundi ni nani?.

mnyika ni mwanamkakati wa OPERESHENI ONDOA ZITTO KWENYE HOJA ZENYE MASLAHI KWA UMMA

nyie wanonko kweli,badala ya kumsaidia zitto huyo mnayemshabikia kutwa kucha mnampamba kwa unafiki wenu mkidhani mtapata nafasi ya kuibomoa cdm.zzk amepoteza sifa na umaarufu aliokuwa nao kwa upuuz wenu wa kumpamba kwa sifa zisizo zake.njooni vijijini muone hali halisi.kuna maeneo mengi zzk hata hawajawahi kumsikia wao wanaijua CHADEMA,MBOWE MZEE WA ANGA NA Dr wanamwita SILAHA.NAMSHAURI ZITTO AWE MAKINI SANA NA NYIE MAGAMBA NA MASALIA ILI ASIJE JUTA HUKO MBELE,PILI AWE MTULIVU AACHE PAPARA MUDA WAKE UTAFIKA TU NA IMANI KWAKE ITARUDI,ILA KWA SASA WANACHAMA WENGI WA CDM HAWANA IMANI NAYE.ANAYEBISHA AFANYE UTAFITI
 
hahaha unamtetea boss wako andiko refuuuuuu unamsafisha zitto the saga continue tusubir na wengineh walotajwa waje waseme apa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom