Tambara Bovu
JF-Expert Member
- Dec 19, 2007
- 585
- 141
Mchange watu wamechafua sana kwa ajili ya maslahi yao na walifanya hivi tangu 2009 tukawanyamazia sasa wanataka kufanya mazoea.Bado wanachama tunaimani kubwa sana na Zitto na tunajua upambanaji wake na ujenzi wa chama tangu enzi hizo CHADEMA hakina ruzuku ya kutosha.Respect kwako Zitto na hakyanani tutakufa na wewe.uchaguzi huu lazima kieleweke na wala hatutishwi na hao wapangaji kina lema na Nassari.au na sisi tuyamwage ya kwao hapa?
Kwanza waeleze waliyowahi kuyafanya kwa watanzania na sio kubishana na mtu wasiyemkaribia hata robo ya utumishi wake kwa watanzania.
Kwanza waeleze waliyowahi kuyafanya kwa watanzania na sio kubishana na mtu wasiyemkaribia hata robo ya utumishi wake kwa watanzania.
mimi mchange sawa wewe ni nani mwenzangu?