Zitto, Kwenye hili tayari umeshinda!

Zitto, Kwenye hili tayari umeshinda!

hebu leta hiyo link ya hayo maneno niliyosema.

nasisitiza hapa hakuna haja ya kutoka nje ya mada, waambieni wanaowatuma wawatume mje na majina yenu halali msije kikivuli kivuli.
zitto amewashinda na ataendelea kuwashinda

alianza hivi;
Kwa anayenifahamu na kuifahamu Chadema na Viongozi wake atakubaliana na ukweli kuwa MIMI, MTELA MWAMPAMBA nilikuwa karibu zaidi na Naibu Katibu Mkuu wa Chadema, Mbunge wa Kigoma Kaskazini Mheshimiwa Zitto Zuberi Kabwe.

akamalizia hivi

Kimsingi Ushauri wako huu nimeanza kuufanyia kazi kwenye post hii, wa kuacha kuongelea Mengi kuhusu Chadema na Viongozi wake pia.

Lakini naomba nikushauri kutokana na maneno yako uliyoyaandika leo katika kipengele hiki cha tatu kuwa tusitumie jina lako kufanikisha malengo yetu kisiasa, ni maneno yanayoudhi na kutoka katika misingi ya kulindana. Ni wazi kuwa tumehojiwa katika vikao kadhaa ndani ya Chadema na kote hakuna ambako tulitaja jina lako wala kukuhusisha na chochote kuhusu sisi. Usijiachie sana katika mazungumzo yako, wakati mwingine neno huweza kuzaa yale usiyoyatarajia.
Karata yako ya mwisho inayo-determine maisha yako kama mwanachadema iko mikononi mwetu, Please brother, Don’t mess with your last poker chip, u will lose the game.

Kauli yangu Moja ya Ushuhuda inamaliza Uhai wako ndani ya Chadema., I know you’re smart brother, don’t get crossed., straighten your words..!

Kuwa makini, AND THIS IS SERIOUS…!


Huyu sio wewe au ulikuwa umelewa
?.kwa bandiko lako hili huna hadhi ya kusikilizwa wewe ni shaidi mwema kwamba mlikuwa mnafanya vitu kinyume na matakwa ya chama, zitto kakutumia mwenzako ni tajiri wewe ueleweki, ungekuwa mwaminifu 2015 kibaha ingekuwa yako,sasa labda umetafutiwa kazi ya dili, usiingie katika siasa kama haujahesabu garama mnatukwaza sana watu kama nyie
 
CHADEMA mkiendelea hivi chama chenu kitabaki kivuli kama NCCR na TLP. Unfortunately walewale walioua vyama hivyo ndio mmewalundika mstari wa mbele. Kamwe kipofu hawezi kuongoza kipofu mwenzie, sembuse awaongoze wanaoona? CHADEMA imesemwa sana kwa udini na ukabila. Huyu Zitto mnayemsakama ndiye miongoni mwa wachache ambao tuliwatazama tukasema tuhuma hizi kwa CHADEMA si kweli, mbona kina Zitto wapo. Sasa mnataka kuwafukuza mbaki na nani? Nawahakikishia leo, mfukuzeni Zitto muone kama CHADEMA itabaki. Mnakumbuka kilichoidhoofisha CUF hadi kukosa nafasi yake ya kambi ya upinzani bungeni? CUF walidhoofika siku walipoupa umma fursa ya kuthibitisha madai yaliyokuwepo siku nyingi kuwa ni chama cha udini. Hivi karibuni CHADEMA mtaupatia umma fursa ya kuthibitisha udini na ukabila mnaotuhumiwa, na ndiyo itakuwa anguko lenu, na huko hamtaibuka tena.
 
Mchange hizo nondo ni hatari,Jamaa wanaweweseka,Zitto hajawahi kushindana akashindwa,hata wakaanga sumu wanalijua hilo. Fitna alizofanyiwa Jamal Malinzi TFF ndizo anazofanyiwa Zitto na Mkumbo Chadema,naamino watashinda kama ilovyokuwa Kwa Malinzi,na siku zitto akiwa mwenyekiti wa chama Taifa ndipo wanafiki watadhalilika kama wanavyodhalilika wanafiki wa TFF.
Huo uenyekiti labda apate kule FACEBOOK.
 
Umeandika utumbo mwenyewe, utasoma mwenyewe ukishirikiana na masalia wenzako plus Lumumba project. Or else ni nani mwenye akili timamu atapoteza muda wake kusoma all this long rubbish?

Hii ndio stupidity aliyoisema sugu
 
Tamthilia nyingine ya wapambe wa Zito. Mnambomoa mkidhani mnamjenga.
 
taahira kama wewe nani akujadili?












Kwa wiki kadhaa sasa kumekuwa na mtindo wa kurushwa kwa shutuma mbali mbali kutoka kwa viongozi wajuu wa CHADEMA wakitumia majina bandia kumuelekezea ndugu zitto kabwe.

Kwa makusudi kabisa viongozi hao wakiongozwa na mwenyekiti, katibu mkuu na wakurugenzi kadhaa wamekuwa wakirusha kila aina ya shutuma humu mtandaoni lakini kwa hofu kubwa ndio maana wanajificha kwa kutumia akaunti bandia.

Jana na juzi nimepokea sms, emails na simu nyingi sana kuhusu hiki kinachoitwa ripoti ya siri ya SLAA, MBOWE NA WAGAZA WENGINE dhidi ya ZITTO zikisema namie nimetajwa humo kuwa ninashirikiana na Zitto kukihujumu CHADEMA.

Bahati mbaya sana, hakuna ripoti ama shutuma zozote anazopelekewa Zitto kutoka kwa hawa majamaa ambazo hazinitaji, na kwentye hii nayo nimeshuhudia nikitajwa mara nyingi kupokea pesa kutoka kwa Zitto kukihujumu chama.

Bahati mbaya zaidi ni kwamba wafadhili wa mkakati huu ''OPERESHENI ONDOA ZITTO KWENYE HOJA ZENYE MASLAHI YA TAIFA'' wamekosa njia sahihi ya kutumia, wamekuwa wakiwatumia watu wale wale ambao kwa zaidi ya miaka na miaka tumekuwa tukikitetea chama kuwa si cha namna hiyo.

kitendo cha MBOWE na SLAA kuwatumia JOSHUA NASSARY, GODBLESS LEMA, MAMUYA na wengine, kinauthibitishia umma wa watanzania kuwa sio kweli kwamba zitto ni tatizo kwenye CDM, kitendo hiki cha kuwatumia watu wanaolalamikiwa kuwa wanabebana kimisingi ya ASILI ya wanakotokea kinatuthibitishia watanzania kwamba CHADEMA ni chama cha watu wa eneo hilo.

lakini wamefeli zaidi kumtumia LEMA kuwa eti ni KAMANDA mwenye uchungu na CHADEMA kuliko ZITTO, hiki pia ni kielelezo cha upeo mdogo wa kufikiri kwa watu hawa.

ZITTO ni mjenzi wa NYUMBA inayoitwa CHADEMA, Zitto ameshiriki mpaka kuijenga CHADEMA tangu ikiwa nyumba ya nyasi, mpaka ikawa ya udongo, ikaja ikawa ya tofali za kuchoma na sasa CHADEMA ni nyumba ya VIGAE,

LEMA ni mpangaji tu kwenye hii nyumba CHADEMA, hakuna jinsi yoyote mpangaji akawa na uchungu na nyumba kuliko mwenye nyumba, hakuna na haitaka itokee.

LEMA ni mpita njia tu kwenye CHADEMA, Kamwe hawezi kuwa na uhalali wa kumsema na kumtukana mtu aliyekijenga chama kilichomsaidia kumfikisha hapo alipo.

Nani humu jukwaani alikuwa anamfahamu LEMA mwaka 2006, NANI?. nani alikuwa anafahamu lolote kuhusu lema 2007,2008,2009 mpaka 2010 kabla ya uchaguzi mkuu?.

Nani anayemfahamu Lema kipindi hicho kwenye CHADEMA?. LEMA ni TUNDA LA KAZI NZURI YA KISIASA ILIYOFANYWA NA ZITTO KABWE.

Wakati Zitto anahangaika kushirikiana na viongozi wenzake kuijenga CHADEMA, LEMA alikuwa ni KIBARAKA wa MZEE AUGUSTINO MREMA wa TLP.

Wakati Zitto anaibua hoja za msingi zenye maslahi kwa Taifa kama BUZWAGI na nyinginezo, LEMA bado alikuwa hata hajui chaguo lake la kisiasa katika nchi hii, yaani lema hakuwa akijua aende chama gani cha siasa.

Wanaokumbuka na wenye akili timamu watakubaliana nami kuwa ni zitto aliyekwenda Arusha kumnadi mgombea wa TLP wa udiwani wakati wa uchaguzi wa marudio 2008 huku lema akiwa mpiganaji kibaraka wa augustino mrema wa TLP.

wanachadema wanafahamu kuwa wakati tunafanya uchaguzi wa ndani ya chama mwaka 2009 LEMA ndio kwanza alikuwa ana siku 4 za uanachama wake ndani ya CHADEMA.

LEMA anapita tu njia CHADEMA kwa kuwa yeye ni msaka tonge tu kama wasaka tonge wengine, ndio maana alipita NCCR, ILIPOKUFA AKAKIMBIA, AKAPITA TLP ilipokufa akakimbia na sasa yupo CHADEMA nayo ikiyumba sidhani kama hataacha kukimbia. LEMA hana hadhi ya kukubali kutumiwa na kina MBOWE na GENGE lake kumshambulia ZITTO, hana hiyo moral authority. mpangaji hawezi kuwa na uchungu sawa na mwenye nyumba,

Leo CHADEMA ikipasuka, leo CHADEMA ikiyumba, ikitetereka atakayeumia ni ZITTO aliyeijenga na si LEMA aliyeidandia.

Nasisitiza hapa kuwa Hakuna namna yoyote ile inayoweza kumshusha Zitto kwenye heshima yake aliyojijengea kwa kusambaza uwongo wa namna hii, hakuna na hitakaa itokee.

Hakuna namna yoyote ile ya kumshusha zitto kwenye orodha ya wanasiasa bora na makini kwa kuwatumia watu kama kina lema na nassary ambao wakati wanaomba kura waliomba wakisema WATUMWE WAENDE BUNGENI WAKAWE KAMA ZITTO.

Again, ni rahisi sana kumshusha zitto kama kuna lolote baya amelifanya lisilo na maslahi kwa umma wa watanzania. ni Rahisi sana kumshusha na kumchafua zitto kama njia anazopita sio sahihi, LAKINI SIO KWA UWONGO WA KIPUUZI NAMNA HII.

Pamoja na kukiri kuwa Zitto ndiye mwanasiasa ninayemuamini na anayenivutia kuliko mwanasiasa yoyote Tanzania, na pamoja na ukweli kwamba zitto sio rafiki kwangu bali ni kaka yangu. Lakini sijawahi hata siku moja kupokea pesa kutoka kwake ama kwa MPESA au kwa TIGO PESA tangu nimefahamiana nae mpaka leo.

Ndio maana ninawapa pole MBOWE na vijakazi wake wanaotunga uwongo wa namna hii bila hata kujifikiria mara mbili mbili.

Uchaguzi mkuu wa ndani ya chama unawatia homa kundi la Mbowe na wagaza wenzake, uchaguzi huo unawafanya waweweseke kutwa kucha, mchana usiku.

Hakuna sababu ya kuhangaika na Zitto, wanachadema wapo na wataamua kwa yale mliyoyafanya, Zitto yeye ameshawaacha mile 2000 kwenye siasa zenye tija kwa Taifa.

Nimelazimika kuandika maneno haya baada ya kuona kuna huu ujinga unaofumbiwa macho na viongozi wa CDM kwa makusudi kabisa.
iliwahi kuandikwa humu mtandaoni kuwa ''Zitto ni maporomoko ya Nile, hayazuiliki kwa kifusi'' amewashinda na anaendelea kuwashinda.

Narudia tena kusema KWENYE HILI TAYARI ZITTO AMESHASHINDA.

1. Aliwashinda kwenye uwongo wenu mliokuwa mkiusambaza wa kupokea rushwa TANESCO lilipobumbuluka wakina mnyika, lissu na nassary wote waliufyata.

2. Aliwashinda mlipounda tume ya kumchunguza kuasisi migogoro ndani ya chama.

3. Alishinda kwenye hoja ya Buzwagi

4. Alishinda kwenye hoja ya kuwatimua mawaziri vilaza kwa kutoa hoja ya kutokuwa na imani na waziri mkuu

5. Amewashinda kwenye hoja ya kuficha mali nje ya nchi (kama mabilioni ya uswisi) leo mnatapa tapa kwa kuwa bossi wenu anamiliki mali uarabuni.

Naomba niwakumbushe kuwa zitto ndiye mwanasiasa pekee wa upinzania anayeweza kuilazimisha serikali ikafanya maamuzi kutokana na hoja yake hata kama haipendi kufanya hivyo kwa wakati huo. Mfano ni hiyo hapo juu.

Naomba nihitimishe kwa kusema, ni kweli kwamba uwongo unapanda ghorofa kwa kutumia klifti, lakini hauwezi kubadilisha ukweli wa mambo daima dumu. uwongo utabaki kuwa uwongo tu na utaendelea kupuuzwa milele na milele.

Ndimi,
Habibu mchange
0762178678
mchangehabibu@yahoo.com
 
[h=2]BUSTA RHYMES[/h]
Together Lyrics
Hey yo swizz
This shit sound like some shit
The streets wanna do the Merengue to
Or dance around a Sombrero to
Yeah, another special from Flipmode records
Yeah, yeah, yeah, yeah, yeah here we go
Streets! Flipmode baby, yeah check it Busta bus baby
Yeah, rah digga now, c'mon
Check it, huh

If you ain't noticed yet I have come wit a throne
See I was gone for a minute but now I'm home
The way I touch it you can feel it in your bones
---- wit the kid cause I'm taking you into another zone
See it don't matter what you think or what you say
I always love for the street every single day
You better get down on your knees, you better pray
'Cause goin' against the grain of this squad
I promise you will pay


You see flipmode is the team that I rep forever
Respecting the code of honor staying together

It's getting hot I think you should take off the sweater
Rattle and knock all of your troops who goin' to get this cheddar
See when we come I'm wondering how they gonna manage
Show them mysteriously watch how they vanish
See when we finish just analyze all the damage
No matter who you are, we accept any and every challenge
Yeah yeah, I think we got 'em again this time

Flipmode c'mon

I think, I, I think wanna say something like this
People denying that they feeling our shit
So we hit them with the really crazy flow
To let them know that we be hitting it far sure
Time goes by, in your life
And we're still here together


I hope you know that this is really not a game
The way I put it down you will remember the name
The way we change it up shit is never the same
And when I'm finished I promise I'll have you niggas feel ashamed
For giving the people shit they ain't really loving
It's funny to me but you all niggas be bugging

But it's alright because I will continue flooding the streets
With heat for the ladies and niggas who be thugging
And if you want it then bring shit wit open arms

While I continuously give you niggas bombs
Asalama will make them will lake them so long
I'm in the abscence of confusion holding the world in my palms
I'm tired of telling you there ain't nothing greater
[| From: Song Lyrics |]

Swinging the torch and repping for violator
So tell the DJ to go and turn up the fader
Putting it down for the streets regardless what you saying playa
How many times am I gonna have to tell you all?
Flipmode run these streets, c'mon


I wish, I, I wish I had just a little more time
Instead I give you this and leave more on your mind

Me and Busta bus be making crazy doe
So you know that we be killing it for sure
Time goes by, in your life
And we're still here together
I will be here just to hold you down
We'll still be around
'Cause we will rock forever

Dirty reppin' the squad, don't even get me started
Getting worldwide love keeping the street regardless
Ever since kindergarten, always been the sharpest
Doin' this for my fam 'cause home is where the heart is
Other crews could chill, all of you all days are numbered
Bus got the yellow digga coming in the navy Hummer
Start quality, guess I should thank my Mother
"Bionic woman" on the mic like I was Jamie Sommers

Now, I know that you don't wanna really take it there
Digga and bus you know we make the perfect pair
We keep it gully wit a little Latin flare, it's unfair
Oh well, how I still be spitting and keep everybody all up in the mix
It's only right that I shout my brother Swizz
Flipmode and we only making hits
It's like this, c'mon

Baby I say, what people say
We gonna keep it on lock from day to day
Let them know that we both are here to stay
So keep it hot baby, don't stop baby

The Flipmode is in the spot we run the place
Busta bus and Rah Digga all in your face
When we step up in the spot we controlling the space
We keep it hot baby, we won't stop baby

{Hey yo Swizz, once again see how we do it to them, c'mon}

I think, I, I think I wanna say something like this
Because they are feeling like shit
So we hit him with a crazy flow
So now you know that we be hitting it for sure
Time goes by, in your life
And we're still here together

Flipmode records, J records
Rah Digga, flipmode baby
Yeah, Swizz Beats baby
Yeah c'mon, full surface baby
Check it yeah, big up to mynx, what
C'mon yeah
Lyrics from <a href="http://www.elyrics.net">eLyrics.net</a>

kama kuna mtu atanipatia hili pini la busta iwe audio au video nitashukuru sana.
 
nyie wanonko kweli,badala ya kumsaidia zitto huyo mnayemshabikia kutwa kucha mnampamba kwa unafiki wenu mkidhani mtapata nafasi ya kuibomoa cdm.zzk amepoteza sifa na umaarufu aliokuwa nao kwa upuuz wenu wa kumpamba kwa sifa zisizo zake.njooni vijijini muone hali halisi.kuna maeneo mengi zzk hata hawajawahi kumsikia wao wanaijua CHADEMA,MBOWE MZEE WA ANGA NA Dr wanamwita SILAHA.NAMSHAURI ZITTO AWE MAKINI SANA NA NYIE MAGAMBA NA MASALIA ILI ASIJE JUTA HUKO MBELE,PILI AWE MTULIVU AACHE PAPARA MUDA WAKE UTAFIKA TU NA IMANI KWAKE ITARUDI,ILA KWA SASA WANACHAMA WENGI WA CDM HAWANA IMANI NAYE.ANAYEBISHA AFANYE UTAFITI

wewe ndo ufanye tafiti kisha useme haya uliyo sema!!
 
Tunarudi kule kule, Mchange Habib ni mwanasiasa wakutanga tanga. Baada ya kufukuzwa Chadema sasa anafanya kazi za kina Juliana Shonza na Mtela Mwampamba kuivuruga Chadema. Ukijiuliza vizuri unaweza kugundua ni kuahidiwa kwa vijana hawa nafasi mbalimbali hasa kama watafanikiwa kuivusha salama CCM katika kipindi hiki kigumu cha chaguzi
 
Mchange watu wamechafua sana kwa ajili ya maslahi yao na walifanya hivi tangu 2009 tukawanyamazia sasa wanataka kufanya mazoea.Bado wanachama tunaimani kubwa sana na Zitto na tunajua upambanaji wake na ujenzi wa chama tangu enzi hizo CHADEMA hakina ruzuku ya kutosha.Respect kwako Zitto na hakyanani tutakufa na wewe.uchaguzi huu lazima kieleweke na wala hatutishwi na hao wapangaji kina lema na Nassari.au na sisi tuyamwage ya kwao hapa?
Kwanza waeleze waliyowahi kuyafanya kwa watanzania na sio kubishana na mtu wasiyemkaribia hata robo ya utumishi wake kwa watanzania.

utumishi gani tusaidie mama,kuwekwa mfukoni na buzwagi kwa kumjengea darasa na pesa mfukoni?hujiulizi kwa nini siku hizi kaufyata na kuishia kudandia hoja ambazo hazimalizii???
 
Huwa siko zote naandika kama watu kama ninyi ndio mshauri Zitto basi amepotea
 
Last edited by a moderator:
Ili CHADEMA ibakie imara, itabidi Zitto abakie chamani agangamale na washindani wake hadi kieleweke. Akijiondoa kwa sababu ya vitimbi hivi, basi atakuwa amewapa maadui zake ushindi wa bwerere. Najua hawathubutu kumfukuza, ndio maana wanatumia siasa za kumpaka matope ili akasirike aondoke waseme "si mnamuona ana uchu wa madaraka". Abanane nao humohumo. Najua wakishindwa hata wenyewe hawatathubutu kuondoka! Aendelee kufanya kazi ya chama kwa uaminifu, na siku ya uchaguzi ikifika achukue fomu agombee wanachama waamue. Hayo yakifanyika bila mizengwe chama kitaimarika.
 
CHADEMA mkiendelea hivi chama chenu kitabaki kivuli kama NCCR na TLP. Unfortunately walewale walioua vyama hivyo ndio mmewalundika mstari wa mbele. Kamwe kipofu hawezi kuongoza kipofu mwenzie, sembuse awaongoze wanaoona? CHADEMA imesemwa sana kwa udini na ukabila. Huyu Zitto mnayemsakama ndiye miongoni mwa wachache ambao tuliwatazama tukasema tuhuma hizi kwa CHADEMA si kweli, mbona kina Zitto wapo. Sasa mnataka kuwafukuza mbaki na nani? Nawahakikishia leo, mfukuzeni Zitto muone kama CHADEMA itabaki. Mnakumbuka kilichoidhoofisha CUF hadi kukosa nafasi yake ya kambi ya upinzani bungeni? CUF walidhoofika siku walipoupa umma fursa ya kuthibitisha madai yaliyokuwepo siku nyingi kuwa ni chama cha udini. Hivi karibuni CHADEMA mtaupatia umma fursa ya kuthibitisha udini na ukabila mnaotuhumiwa, na ndiyo itakuwa anguko lenu, na huko hamtaibuka tena.

yani mtu atibue mambo hahalfu aangaliwe tu kisa akitoka itaonekana sijui muislam ametengwa!!!rubbish comment of the day,huyu ataondoka na cdm itabaki,infact hata aondoke mbowe na slaa chadema itabaki.
 
Ili CHADEMA ibakie imara, itabidi Zitto abakie chamani agangamale na washindani wake hadi kieleweke. Akijiondoa kwa sababu ya vitimbi hivi, basi atakuwa amewapa maadui zake ushindi wa bwerere. Najua hawathubutu kumfukuza, ndio maana wanatumia siasa za kumpaka matope ili akasirike aondoke waseme "si mnamuona ana uchu wa madaraka". Abanane nao humohumo. Najua wakishindwa hata wenyewe hawatathubutu kuondoka! Aendelee kufanya kazi ya chama kwa uaminifu, na siku ya uchaguzi ikifika achukue fomu agombee wanachama waamue. Hayo yakifanyika bila mizengwe chama kitaimarika.
hatafukuzwa kama ambavyo hajafukuzwa shibuda sababu wote kiwango chao cha tamaa ni sawa.
 
Asante kaka MCHANGE,

NASUBIRI PIA KAULI YA BEN SAANANE ATUELZE KWANINI AMETAJWA KATIKA UONGO ULE KUWA ALIKUWA ANAWAPELELEZA?
 
Kama unaweza kuandika hivi tena kwa uchungu against CHADEMA sasa naweza kuamini yale yanayosemwa kuhusu kaka yako against chama chetu!!!!

I dont think if you are constructing anything rather you are destroying him!!
 
unakijua unachokisema wewe?. ni kipindi gani ambacho chadema imekuwa kwa kasi na kwa nini?. acha kuongea ----- mkuu. lema hawezi kutumiwa kupambana na zitto, hawapo sawa hata kidogo
Sasa wewe mbona hueleweki? unasimamia nini hasa? Nimeamini uwezo wa fikra kwa mnafiki siku zote ni wa kutiliwa mashaka, Nenda kapumzike tuu,kazi uliyokuja kuifanya JF imefail.
 
Asante sana Bwana Mchange! Umetufunua macho sana, wengine tulikuwa hatuyajui haya!kumbe siasa za nchi hii inabidi zitizamwe kwa jicho pevu sana! Unaona dhahabu juu kumbe ukipasua ndani ni uozo! Kwa mtizamo huu, na kwa haya uliyoyaandika imebidi nikae chini kwanza na kufikiria kabla sijafuata mkumbo wa 'peoples!!!
Nchi hii itakombolewa na malaika gani kutoka Mbinguni? Ikiwa wale tuliowategemea kwa kiasi kikubwa kuleta Mageuzi ya kumkomboa Mtanzania kiuchumi tayari wanadosari kubwa namna hii wangali hawajapewa uongozi wa nchi hii, kuna mstakabali gani kwa ukombozi wa Mtanzania? Msitufanye kurudia tulikotoka kwa kigezo cha 'walau tubaki na Amani yetu'
E Mungu ibariki Tanzania!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom