Zitto, Kwenye hili tayari umeshinda!

Zitto, Kwenye hili tayari umeshinda!

Nimeshangazwa na Zitto kumwandikia Dr. Slaa barua tarehe 10-11-2013

wakati Mnyika alishafafanua kwa e-mail kwenda kwa andrea na kum-c.c Zitto tarehe 09.11.2013

Mnyika si size ya ZITTO. Hata protokali hujui
 
Mchange,
Kwa tamthilia yako hii hautaweza kupunguza kasi ya chadema kuendelea kujijenga na kuwakomboa watanzania ambao wamewekeza imani zao kuhakikisha chadema inakuwa mbadala wa ccm.

Zitto is doing good on his part.

Kaka Mchange, that is totally craap!!
lema ni mpangaji chadema wakati zitto ni mwenye nyumba, unabisha?

ongeza hii ya mchange....TAYARI ZITTO AMESHASHINDA.

1. aliwashinda kwenye uwongo wenu mliokuwa mkiusambaza wa kupokea rushwa TANESCO lilipobumbuluka wakina mnyika, lissu na nassary wote waliufyata.

2. aliwashinda mlipounda tume ya kumchunguza kuasisi migogoro ndani ya chama.

3. alishinda kwenye hoja ya buzwagi

4. alishinda kwenye hoja ya kuwatimua mawaziri vilaza kwa kutoa hoja ya kutokuwa na imani na waziri mkuu

5. amewashinda kwenye hoja ya kuficha mali nje ya nchi (kama mabilioni ya uswisi) leo mnatapa tapa kwa kuwa bossi wenu anamiliki mali uarabuni.
 
Mchange, kwa vile unamuidolize Zitto kisiasa, kwanini basi hauigi akili zake? Kwa yote uliyoyasema umesahau jambo moja; siasa siyo nyumba kwamba mmoja ni mjenzi, mwingine mpangaji. Siasa na vyama vya siasa ni process, zinabadilika na zinabadilishwa kwa mchango wa watu wengi sana. Bila kujali umeanza lini au umeingia lini, wenye mafanikio kwenye siasa kwao historia ni vehicle ya kujifunza ili wasonge mbele kwa mafanikio kwa kutumia akili nyingi.

Umeshindwa kujua kuwa siasa hubadilika kama nyakati zinavobadilika umebakia kulilia historia za vyama. Zitto ameanza siasa miaka ya 2000, utawasemaje akina Mbowe walioanza na Chadema miaka ya 1990? Kwa akili zako zilivo fupi, unataka kuenzi historia ya Zitto bila kujua akina Mbowe walishasacrifice hadi ubunge ili wakagombee urais wanaojua watashindwa ali kusudi chama kipate nguvu?

Sasa kama Zitto ni mjenzi wa nyumba, Mbowe atakuwa nani? Wewe akili ni ndogo, siasa si nyumba. Lema kaingia juzi kwenye Chadema lakini mchango wake unaweza ukawa na impact kuliko yule wa miaka kumi au ishirini kwenye chama. Na yule wa siku nyingi akifanya blunder ya kuharibu chama historia haiwezi kumsaidia. It is the survival of fittest, political selection, stupid.
 
Unawashangaa hao "kutumiwa“ na Mbowe,lkn hujishangai wewe kutumiwa na Zitto.....Ajabu!!!!
 
masalia mmeamua kuja kivingine,
kumsifia Zito kwa mgongo wa chupa.
kajipangeni upya.
utumbo wote wa mitandaoni kumhusu mmeupika wenyewe,
viongozi makini wa Chadema wakapuuzia
nawapongeza chadema kwa misimamo yao ya kutoyumbishwa
 
Nimeshangazwa na Zitto kumwandikia Dr. Slaa barua tarehe 10-11-2013

wakati Mnyika alishafafanua kwa e-mail kwenda kwa andrea na kum-c.c Zitto tarehe 09.11.2013
Bei Mbaya
===>Hivi haya mnayajuaje?
===>Halafu mimi nawashangaa sana CDM mbona mkitongoza au mkiwa na mademu zenu mbona hamji hapa jf kutangaza kuwa jana au juzi mlikuwa wapi?
===>Haya mambo yenu ya kichama fanyeni kimya kimya,sisi wananchi tayari tumeshajua mbivu na mbichi.
 
Last edited by a moderator:
Mchange, kwa vile unamuidolize Zitto kisiasa, kwanini basi hauigi akili zake? Kwa yote uliyoyasema umesahau jambo moja; siasa siyo nyumba kwamba mmoja ni mjenzi, mwingine mpangaji. Siasa na vyama vya siasa ni process, zinabadilika na zinabadilishwa kwa mchango wa watu wengi sana. Bila kujali umeanza lini au umeingia lini, wenye mafanikio kwenye siasa kwao historia ni vehicle ya kujifunza ili wasonge mbele kwa mafanikio kwa kutumia akili nyingi.

Umeshindwa kujua kuwa siasa hubadilika kama nyakati zinavobadilika umebakia kulilia historia za vyama. Zitto ameanza siasa miaka ya 2000, utawasemaje akina Mbowe walioanza na Chadema miaka ya 1990? Kwa akili zako zilivo fupi, unataka kuenzi historia ya Zitto bila kujua akina Mbowe walishasacrifice hadi ubunge ili wakagombee urais wanaojua watashindwa ali kusudi chama kipate nguvu?

Sasa kama Zitto ni mjenzi wa nyumba, Mbowe atakuwa nani? Wewe akili ni ndogo, siasa si nyumba. Lema kaingia juzi kwenye Chadema lakini mchango wake unaweza ukawa na impact kuliko yule wa miaka kumi au ishirini kwenye chama. Na yule wa siku nyingi akifanya blunder ya kuharibu chama historia haiwezi kumsaidia. It is the survival of fittest, political selection, stupid.

unakijua unachokisema wewe?. ni kipindi gani ambacho chadema imekuwa kwa kasi na kwa nini?. acha kuongea ----- mkuu. lema hawezi kutumiwa kupambana na zitto, hawapo sawa hata kidogo
 
Mchange, kwa vile unamuidolize Zitto kisiasa, kwanini basi hauigi akili zake? Kwa yote uliyoyasema umesahau jambo moja; siasa siyo nyumba kwamba mmoja ni mjenzi, mwingine mpangaji. Siasa na vyama vya siasa ni process, zinabadilika na zinabadilishwa kwa mchango wa watu wengi sana. Bila kujali umeanza lini au umeingia lini, wenye mafanikio kwenye siasa kwao historia ni vehicle ya kujifunza ili wasonge mbele kwa mafanikio kwa kutumia akili nyingi.

Umeshindwa kujua kuwa siasa hubadilika kama nyakati zinavobadilika umebakia kulilia historia za vyama. Zitto ameanza siasa miaka ya 2000, utawasemaje akina Mbowe walioanza na Chadema miaka ya 1990? Kwa akili zako zilivo fupi, unataka kuenzi historia ya Zitto bila kujua akina Mbowe walishasacrifice hadi ubunge ili wakagombee urais wanaojua watashindwa ali kusudi chama kipate nguvu?

Sasa kama Zitto ni mjenzi wa nyumba, Mbowe atakuwa nani? Wewe akili ni ndogo, siasa si nyumba. Lema kaingia juzi kwenye Chadema lakini mchango wake unaweza ukawa na impact kuliko yule wa miaka kumi au ishirini kwenye chama. Na yule wa siku nyingi akifanya blunder ya kuharibu chama historia haiwezi kumsaidia. It is the survival of fittest, political selection, stupid.

Anahangaika akijua ikitokea Zitto akipata uenyekiti basi yeye anarudishiwa uanachama.
 
masalia mmeamua kuja kivingine,
kumsifia Zito kwa mgongo wa chupa.
kajipangeni upya.
utumbo wote wa mitandaoni kumhusu mmeupika wenyewe,
viongozi makini wa Chadema wakapuuzia
nawapongeza chadema kwa misimamo yao ya kutoyumbishwa

endelea kuota ukiwa macho hivyo hivyo
 
Anahangaika akijua ikitokea Zitto akipata uenyekiti basi yeye anarudishiwa uanachama.

ni heri kutokuwa mwanachama kuliko kuwa mwanachama kwenye chama cha kibaguzi namna hii.
 
Mchange, kwa vile unamuidolize Zitto kisiasa, kwanini basi hauigi akili zake? Kwa yote uliyoyasema umesahau jambo moja; siasa siyo nyumba kwamba mmoja ni mjenzi, mwingine mpangaji. Siasa na vyama vya siasa ni process, zinabadilika na zinabadilishwa kwa mchango wa watu wengi sana. Bila kujali umeanza lini au umeingia lini, wenye mafanikio kwenye siasa kwao historia ni vehicle ya kujifunza ili wasonge mbele kwa mafanikio kwa kutumia akili nyingi.

Umeshindwa kujua kuwa siasa hubadilika kama nyakati zinavobadilika umebakia kulilia historia za vyama. Zitto ameanza siasa miaka ya 2000, utawasemaje akina Mbowe walioanza na Chadema miaka ya 1990? Kwa akili zako zilivo fupi, unataka kuenzi historia ya Zitto bila kujua akina Mbowe walishasacrifice hadi ubunge ili wakagombee urais wanaojua watashindwa ali kusudi chama kipate nguvu?

Sasa kama Zitto ni mjenzi wa nyumba, Mbowe atakuwa nani? Wewe akili ni ndogo, siasa si nyumba. Lema kaingia juzi kwenye Chadema lakini mchango wake unaweza ukawa na impact kuliko yule wa miaka kumi au ishirini kwenye chama. Na yule wa siku nyingi akifanya blunder ya kuharibu chama historia haiwezi kumsaidia. It is the survival of fittest, political selection, stupid.

anakijenga chama kwa kumtukana zitto mtandaoni?.
 
Vipi ile tuhuma ya kumwibia mtu simu ilikuwa kweli?

nafikiri WAGAZA wana majibu sahihi kwenye hiyo tuhuma.

hoja yetu hapa ni kuwa ZITTO tayari ameshawashinda na ndio maana mnahangaika kumchafua kwa majina yenu bandia. hivi inawezekanaje ukawa katibu mkuu wa chama halafu unatumia jina hewa mtandaoni?.
 
Mambo yenu huko chadema muyamalize wenyewe.sisi hayo hayatuhusu..

Kheeh! Unampa sifa asizostahili.

Point of correction:Mleta mada si mwanachama wa CHADEMA.

Aliwahi kuwa mwanachama lakini akafukuzwa kwa tuhuma za usaliti na kuhujumu chama baada ya tuhuma kuthibitishwa pasipo na shaka(beyond reasonable doubt)
 
Hii sasa inahitaji viongozi wa cdm walitafutie suluhisho, kama Zitto ni kibaraka na kuna evidence then afukuzwe chamani, lkn kama Zitto yuko sahihi na anaelewa haya madongo anayotupiwa ni kwa sababu ya yeye kutaka kugombea uenyekiti wa chama au urais (but katiba haimruhusu!) . Naye atoe hoja siyo mnatuchanganya akili zetu.
Leo Zitto anasema hili kesho lema anasema lile, na viongozi mpo kimya! mnatuachia sisi tuwajibie! kwamba may be lema ndo maagizo ya viongozi! "Together we can, divided we cant" Its simple as that. Chama hakijengwi kwa kuogopana kama kuna wasaliti plus Shibuda si muwashughulikie sasa? Kama hamna then tujenge chama tusiwe tunaogopana kwa misingi ya kulinda maslahi ya wachache.
 
yap movie linaendelea liko katikati sasa,sijamjua sterling bado wala adui!!
 
Chadema ya Mbowe na Slaa imeamua Lema na Nasari ndio Think tanks zao Mpya ngoja tusubiri matokeo !
 
nafikiri WAGAZA wana majibu sahihi kwenye hiyo tuhuma.

hoja yetu hapa ni kuwa ZITTO tayari ameshawashinda na ndio maana mnahangaika kumchafua kwa majina yenu bandia. hivi inawezekanaje ukawa katibu mkuu wa chama halafu unatumia jina hewa mtandaoni?.

Bado hilo neno la kibaguzi "WAGAZA" unaendelea kulitumia tu?

Siasa ubaguzi wa dini na makabila hazitakufikisha popote ndugu yangu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom