Ghost Worker
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 1,412
- 1,869
Poor mindedYes!
I am poor.
Mmemzoea ww na nani?Tumemzoea huyu kulitoa taifa ktk mijadala yenye tija.
Msimsikilize.
Lissu... Mbowe. Ndo mjadala wa kitaifa saivi. Huyu kima kapewa hela.
ACHANENI NAE
Zitto anatafuta kiki mpya kwa 2019Katu siwezi kupuuza madai kama haya!!!
Hata Ben Saanane alitujuza members wenzake hapa hapa JF kwamba anatishia kuuawa lakini, kama ilivyo ada, wakatokea watu wakamkejeli na kumuita anatafuta kiki!!
Thread ile ilikuwa ndiyo thread ya mwisho kwa Ben na kiasi cha wiki moja baadae, taarifa za kutoonekana kwa Ben zikaanza kusambaa na hadi hivi sasa hatujui kimemkuta nini hasa!!!
Na ndicho pia kilitokea kwa Tundu Lissu pale aliposema bayana kuna watu walikuwa wanamfuatilia!
Sijapata kughadhibika kama hata baada ya kuwa TL amemiminiwa risasi, bado wakatokea washenzi na kudai hizo ni kiki tu!
Na Ben Saanane pia alilalama wakamfyekelea mbaliUpo very Correct my Great Kaka..
Lissu alitahadharisha kuwindwa kwake kama hivi..
Wakamfanyia kweli.
Na Ben Saanane pia alilalama wakamfyekelea mbali
Nakumbuka ya T.A.L yaliianza hivi hiviI hope it’s not true.
Kwao ni Rwanda mkuu. Ndiyo maana rafiki yake namba moja ni yule ngogoti, hadi anataka kumpelekea SGR
Poor minded
Na Ben Saanane pia alilalama wakamfyekelea mbali
Afu niwaombee marehemu na kuwaomba watanzania waniombee mimi ambaye sitakufa kamweUone nini? Uone anavyouwawa halafu?
I hope it was that of Lisu
Subiri na wewe ufyekelewe mbali ndio utajua kama nina mapenzi na wewe au na waoHiyo lugha tu uliyotumia kwamba. ,,wakamfyekelea mbali” inaonyesha jinsi hata usivyo na mapenzi akina Saanane, Tundu Lisu & Co. na wala yakiyowatokea hayakugusa, acheni kulazimisha mambo, kama mtu hakuhusu achenj kujifanya mnaumia wakati ni usanii mtupu.
Subiri na wewe ufyekelewe mbali ndio utajua kama nina mapenzi na wewe au na wao
Nakumbuka ya T.A.L yaliianza hivi hivi
Alisema kuna vijana wanne wanamufuatilia kila anakokwenda, akaenda mbali zaidi kwa kuwaambia IGP na wenzie wa kitengo kwamba vijana wao wanamufuatilia….
Mwisho alitoa no. za gari inayomufuatilia lakini kizazi cha nyoka mkasema YOU HOPE ITS NOT TRUE……. Yaliyoendelea ni T.A.L yupo hospitali mwaka sasa.
Wewe kama unapata faida gani mkuu watu wakiteka na kufanyiwa vitendo vya kinyama?
Sent using Jamii Forums mobile app
Lazima uipende kwasababu unamwabudu mfyekaji mkuuNimeipenda hiyo Tundu Lisu, Saanane ,,wamefyekerewa mbali” .
Dah yasijekuwa kama ya Ben saananeKupitia account yake ya twitter mbunge wa Kigoma mjini amesema kuna operationa maalumu ilitoanzishwa kwa lengo la kummaliza.