Zitto: Kuna operation maalum ya kunimaliza (kuniua)

Zitto: Kuna operation maalum ya kunimaliza (kuniua)

Narudia tena fungua akili yako ili uelewe kinachoendelea nchini chini ya huyu dikteta na MUUAJI.

1.Stan Katabalo alikufa kifo cha kutatanisha.
2. Dr Nicas Mahinda ambae alkuwa naibu waziri wa fedha aliuawa nyumbani kwake na watu wasojulikana.
3. Imran Kombe sote twafahamu mazingira ya kifo chake.
4. Gibson Mwaikambo nae hivyohivyo.
5. Marehemu Filikunjombe nae tawafahamu kifo chake cha Helikopta iloanguka na hakuna kesi hapo.
6. Dr Sengodo Mvungi nae aliuawa nyumbani kwake kwa kukatwa mapanga.

Hivi vifo vyote ni vya utata na baadae tukaona Dr Ulimboka akitekwa na watu wasojulikana na kuokotwa huko Mabwepande.

Sasa haya ya Ben Saanane, na wengine hatuwezi kufahamu khasa anaefadhili na kama ni walewale watu wasojulikana au mbuzi wa kafara kwa kesi ya Imran Kombe au Dr Mvungi au vipi.

Ila katika masuala kama haya huwezi kuja na hitimisho la moja kwa moja kwamba kiongozi wa nchi anahusika na mauaji ya raia wake aloapa kuwalinda.
 
hivi ni watu wote watakuwa na uwezo wa kujilinda, halafu mbona wanaolengwa ni wakosoaji tu wa serikali ambao kimsingi haikuhitaji hata nguvu kubwa ya kupambana nao zaidi ya kuwajibu kwa hoja zenye mashiko ambazo mnazo tena zisizohitaji hata nguvu kubwa kun kitu hakiko sawa kwenye nfumo mzima wa serikali.

Ila utakubaliana na mimi kwamba Tundu Lissu alikuwa hakosoi bali kukashifu, kutukana na kukejeli uongozi wa nchi jambo ambalo laweza kabisa kuamsha hisia kali kutoka kwa raia yoyote yule.

Raia huyo/hao anaweza kuchukua hatua yoyote ile kali kwa kuona kwamba Tundu Lissu anafanya hivyo kama nani nchi hii.

Au wewe waona ni sawa kufanya alokuwa akiyafanya Tundu Lissu kwenye vyombo vya habari kumkashifu kiongozi wa nchi?
 
Siyo wote wanapenda huu uonevu hata haohao wa Sstm wapo wapo wenye roho za U-TZ wakiona mpango wowote muovu wanamtahadharisha mhusika awe makini hawataki kuona akiumizwa hata Mbowe kuwepo Sero Kuna wanaccm wanaumia sana tatizo hawana LA kufanya Ila Ndiyo hivyo kisiri jumbe za pole zinaenda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pimb elewe maana ndiyo uchangie. Wao wahusika kama ZZK au Lisu anakuwa hafahamu kwa sababu system zetu ni za kisiri hivyo wanamua kuwaamini hao matapeli na magaidi. Badala ya kuomba ulinzi polisi wao wanaambiwa na hao wazungu police are corrupt hivyo wanaacha kuamini uzalendo wa nchi yao. Na wazungu watawamaliza pimb nyie
Siri gani au ww ndio Pimbi MASTER acha ujinga ujinga wa kujitoa fahamu kwa mambo yaliyo wazi kuna siri humu au unajitisha alaa
 
Hata Lissu alituonya tukadharau!
Lakini this time wajaribu waone!
Yesu alisema hakuja kutengua TORATI ya Musa!
TORATI bado ipo inafanya kazi na hukumu yake ni ya haki!
 
1.Stan Katabalo alikufa kifo cha kutatanisha.
2. Dr Nicas Mahinda ambae alkuwa naibu waziri wa fedha aliuawa nyumbani kwake na watu wasojulikana.
3. Imran Kombe sote twafahamu mazingira ya kifo chake.
4. Gibson Mwaikambo nae hivyohivyo.
5. Marehemu Filikunjombe nae tawafahamu kifo chake cha Helikopta iloanguka na hakuna kesi hapo.
6. Dr Sengodo Mvungi nae aliuawa nyumbani kwake kwa kukatwa mapanga.

Hawa wote ni watu walouawa katika mazingira ya kutatanisha na wengine watu wasojulikana au mbuzi wa kafara.

Hivi vifo vyote ni vya utata na baadae tukaona Dr Ulimboka akitekwa na watu wasojulikana na kuokotwa huko Mabwepande.

Sasa haya ya Ben Saanane, na wengine hatuwezi kufahamu khasa anaefadhili na kama ni walewale watu wasojulikana au mbuzi wa kafara kwa kesi ya Imran Kombe au Dr Mvungi au vipi.

Ila katika masuala kama haya huwezi kuja na hitimisho la moja kwa moja kwamba kiongozi wa nchi anahusika na mauaji ya raia wake aloapa kuwalinda.
Hao wote uliowataja majibu ya chazo na sababu ya vifo vyao unayo mwenyewe ila hutaki kuwa muazi bali unajaribu kupindisha ukweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila utakubaliana na mimi kwamba Tundu Lissu alikuwa hakosoi bali kukashifu, kutukana na kukejeli uongozi wa nchi jambo ambalo laweza kabisa kuamsha hisia kali kutoka kwa raia yoyote yule.

Raia huyo/hao anaweza kuchukua hatua yoyote ile kali kwa kuona kwamba Tundu Lissu anafanya hivyo kama nani nchi hii.

Au wewe waona ni sawa kufanya alokuwa akiyafanya Tundu Lissu kwenye vyombo vya habari kumkashifu kiongozi wa nchi?

Kashfa unaiona wewe sisi tunaona alikuwa anatetea maslahi ya nchi

Halafu pia hata kama angemtukana yeyote mara Trilion, kupigwa risasi ili kutaka kumuua siyo hukumu!
 
Thibitisha kama anatumwa na mabeberu vinginevyo ni siasa za kitoto na kujipendekeza
Tangu 'ghala la Silaha' liteketee Kule Mwandiga 2017 kijana amekuwa hajiamini kabisa

Wamarekani kabla hawajakutwanga huwa wanaharibu zana zako Za kivita unazoamini ndio kali zaid ambazo unakuwa umezificha, kisaikolojia ukiamka Asubuhi ukaambiwa Mzee 'Lugalo imegeuzwa jivu' lazima ulegee na Kuishi kwa wasiwasi zaid.

Zitto aachane Na Mabeberu arudi uzalendoni maana inawezekana wanaomtuma wakamshighulikia ili tu kuichafua Serikal Kama walivyofanya kwa Mgonjwa wetu wa Belgium

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kashfa unaiona wewe sisi tunaona alikuwa anatetea maslahi ya nchi

Halafu pia hata kama angemtukana yeyote mara Trilion, kupigwa risasi ili kutaka kumuua siyo hukumu!

Raisi wa sasa wa Brazil Jair Bolsonaro ambae ana msimamo mkali wa mlengo wa kulia, alichomwa kisu na raia ambae hakupendezwa na kauli zake alizokuwa akitoa kwenye mikutano ya kampeni.

Huko Uingereza miaka miwili ilopita raia mmoja mwenye msimamomklai alikwenda kwenye ofisi za mbunge mmoja aitwae Jo Cox na kumpiga risasi kisa tu mbinge huyo kutetea Uingereza ibakie kwenye jumuiya ya Ulaya.

Hivyo mtu naweza kabisa kusimama jukwaani na kuongeza au kutoa kauli anadhani kuwa ni sawa lakini kumbe zinaumiza wengine.,
 
Ila utakubaliana na mimi kwamba Tundu Lissu alikuwa hakosoi bali kukashifu, kutukana na kukejeli uongozi wa nchi jambo ambalo laweza kabisa kuamsha hisia kali kutoka kwa raia yoyote yule.

Raia huyo/hao anaweza kuchukua hatua yoyote ile kali kwa kuona kwamba Tundu Lissu anafanya hivyo kama nani nchi hii.

Au wewe waona ni sawa kufanya alokuwa akiyafanya Tundu Lissu kwenye vyombo vya habari kumkashifu kiongozi wa nchi?
Kwahiyo ww unaona mtu akitukana hukumu yake ni kushambuliwa kwa risasi? mchochezi hukumu yake ni risasi du unanishtua kidogo ina maana Mahakama hazina uwezo wa kushughulikia mambo kama hayo? na kwa mujibu wa ulichoandika tunakubaliana kimsingi kwamba kuna ushauri mbovu serikalini unaosababisha watu kufanyiwa haya? na kwa kuwa ndio hivyo huoni Zito Kabwe ameweka wazi njama hizo ili wenye nia wakae pembeni asante na Karibu kwenye mjadala
 
Kwahiyo ww unaona mtu akitukani huku yake ni kushambuliwa kwa risasi? mchochezi hukumu yake ni risasi du unanishtua kidogo ina maana Mahakama hzina uwezo wa kushughulikia mambo kama hayo? na kwa mujibu wa ulichoandika tunakubaliana kimsingi kwamba kuna ushauri mbovi serikalini unaosababisha watu kufanyiwa haya? na kwa kuwa ndio hivyo huoni Zito Kabwe ameweka wazi njama hizo ili wenye nia wakae pembeni asante na Karibu kwenye mjadala

Umekwepa kwa makusudi kuelewa nilichoandika jaribu kusoma tena.
 
Kashfa unaiona wewe sisi tunaona alikuwa anatetea maslahi ya nchi

Halafu pia hata kama angemtukana yeyote mara Trilion, kupigwa risasi ili kutaka kumuua siyo hukumu!

Jaribu kusoma tena kwa makini mstari kwa mstari nilichoandika.
 
Back
Top Bottom