Echisute
JF-Expert Member
- Oct 16, 2018
- 639
- 637
Kiongozi wa nchi ipi? Una uhakika Jiwe alimshinda Lowassa kwenye sanduku la kura? Au unawashwa na upele sehemu za siri?Ila utakubaliana na mimi kwamba Tundu Lissu alikuwa hakosoi bali kukashifu, kutukana na kukejeli uongozi wa nchi jambo ambalo laweza kabisa kuamsha hisia kali kutoka kwa raia yoyote yule.
Raia huyo/hao anaweza kuchukua hatua yoyote ile kali kwa kuona kwamba Tundu Lissu anafanya hivyo kama nani nchi hii.
Au wewe waona ni sawa kufanya alokuwa akiyafanya Tundu Lissu kwenye vyombo vya habari kumkashifu kiongozi wa nchi?
Sent using Jamii Forums mobile app