Zitto: Kuna operation maalum ya kunimaliza (kuniua)

Zitto: Kuna operation maalum ya kunimaliza (kuniua)

Kupitia account yake ya twitter mbunge wa Kigoma mjini amesema kuna operationa maalumu ilitoanzishwa kwa lengo la kummaliza.


Nchi inaongozwa na kichaa, mpaka tuje tutambue hilo na tukubaliane wote damu nyingi osona hatia itakuwa imemwagika na kutuletea balaa juu balaa
 
nilijua Zitto atamalizia na hii turufu baada ya kiki zote kuisha, nawashauri polisi wampe ulinzi mkali mheshimiwa Zitto maana kitakachofuata ni kujiteka kama mdogo wake Nondo, ATJITEKA NI KUJIPOTEZA....na kuibukia kwenye kurudisha fomu za ubunge!
 
Kupitia account yake ya twitter mbunge wa Kigoma mjini amesema kuna operationa maalumu ilitoanzishwa kwa lengo la kummaliza.


Zito anakimbia kivuli chake, serikali ikikutaka mkeo ndiye atakayekuwekea sumu.
alafu mleta mada unapotafsiri kitu nawe uwe unaweka QUOTATION kama yeye.
 
Zitto tunakufunika na Damu ya YESU.
Wanaoshiriki hiyo Operation Misiba inaanzia kwao,kuanzia napoweka nukta hii!!!!
cc#zitto
 
Nimefurahi tu na Code za Operation umeweka wazi ..hao waliopanga huko wanashangaa sasa hivi hizo info zimevujaje

Haya mashetani yamesha onja damu ya Lissu,Mawazo,Azory ,Ben Saanane na wale waliokuwa wanaelea mto Ruvu kwenye viroba Mwigulu akatuambia ni wahamiaji haramu ,bila kusahau Kibiti hivyo hawawezi acha
Uzuri auwae kwa upanga atauliwa kwa upanga ni swala la muda tu

Na amwagae damu zisizo na hatia laana yake ipo mpaka kizazi cha nne huko

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo operation kinara ni bashite



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aombe asylum Au pia atoe taarifa Hii kwenye balozi Hii nchi sidhani kama ni Salama tena dah mpk miaka Hii mitano iishe itakuwa kama karne moja tumetawaliwa na huyu mtu
Kwahio akishatoa taarifa Balozini inakiwaje? Taarifa anapaswa kutoa Polisi na sio Twitter au Ubalozini.
 
Jiwe anapaswa kupanga hii mipango na mke wake tu ndo inaweza kua siri labda ila anavyofikiria kua watu waliomzunguka hawana marafiki wengine na pia hajui kama hapendwi eeeehe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahio akishatoa taarifa Balozini inakiwaje? Taarifa anapaswa kutoa Polisi na sio Twitter au Ubalozini.
Hawa wafuasi wamerogwa. Sioni hata mmoja akihoji kama ametoa taarifa polisi.

Nokia ya kitochi yuzingi jamii foramu
 
Back
Top Bottom