Zitto kugombea urais 2015?

Zitto kugombea urais 2015?

Status
Not open for further replies.
ndio nina evidance za kutosha na i know him very much than you think, once i travelled with him and he told me a lot of things from TSS. also he has been feeding ZOKA various hints frm CDM. U donk know him.
 
Mwaka 2015 Zitto atakuwa ana miaka 39 Inshallah. Katiba ya nchi inasema kuwa mgombea Rais lazima awe ametimiza miaka 40. Tunafahamu kuwa Zitto amehakikishiwa na swahiba wake mkubwa Jakaya Kikwete kuwa katiba itabadilishwa kabla ya 2015 na umri wa kugombea Urais utashushwa mpaka miaka 35 ndiyo maana ana confidence kuwa 2015 atagombea Urais huku akijua katiba iliyopo hairuhusu.

Sidhani kuwa chama makini kama CHADEMA kitampa nafasi Zitto ya kugombea Urais. Nadhani DK. WILLIBROD SLAA ndiyo chaguo la Watanzania wengi na anafaa kugombea tena Urais 2015. Ingawa DK. SLAA mwenyewe anaweza kuwa hataki kugombea tena, ni vyema umma wa Tanzania ukamuomba afanye hivyo tena. Sote tunajua kuwa kuna uwezekano mkubwa sana SLAA angeshinda Urais 2010 kama si wizi mkubwa wa kura uliofanywa na CCM.

Huyu Zitto hana sifa tena ya kuwa kiongozi CHADEMA. Labda akagombee Urais kupitia chama chake mbadala cha NCCR-Mageuzi. Hakika ataambulia kura chache kwani Watanzania wamemshtukia kama walivyomchoka Edward Lowassa wa CCM.

Parliament of Tanzania

First Name:
Middle Name: Zuberi Last Name: Zitto Member Type: Constituency Member Constituent: Kigoma Kaskazini Political Party: CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO Office Location: P.O.Box 325, Kigoma Office Phone: +255 713 730256 Ext.:
Office Fax: +255 22 2112538 Office E-mail: kzitto@[B]parliament[/B].go.tz Member Status: Current Member Start Date: 28 December 2005 End Date: 30 August 2010 Date of Birth 24 September 1976
 
Another conspiracy theory hivi watanzania lini tutabadilika jamani?
 
ndio nina evidance za kutosha na i know him very much than you think, once i travelled with him and he told me a lot of things from TSS. also he has been feeding ZOKA various hints frm CDM. U donk know him.

Kwa hiyo unataka sie ushuhuda wako tuuamini kwa vile wewe ni nani? Pia unasema alikuhadithia kuwa yeye yuko well connected na usalama wa taifa ukamuamini kabisa? Kama wewe ni mfanyabiashara basi ndugu yangu utakuwa unadanganywa kila siku. Bado hujaniconvince kaka au dada uliona mkataba wake usalama wa taifa wa kuajiriwa? Umeona malipo yeyote aliyoyapata kutoka usalama wa taifa?
 
Another conspiracy theory hivi watanzania lini tutabadilika jamani?

Hiyo ndio Tanzania kuliko uijuavyo brother. Huyu Zitto ni kweli anataka kugombea Urais 2015 na best wake Kikwete kamwambia katiba itabadilishwa ili umri wa mgombea Urais ushushwe from miaka 40. Ni kama Lowassa huyu, hatakata tamaa. Hajui kuwa Watanzania hawamwamini wala hawamwitaji tena. Ifikapo 2015 atakuwa kwenye hali mbaya sana kisiasa.
 
Huyu kijana ameleweshwa na fedha za mafisadi. Anajua kugombea kupitia chamani siyo uamuzi wa mtu ni wa chama chenyewe; kama hivyo ndivyo mtu anawezaje kujipiga kifua na kusema lazima nigombee urais 2015! huyu mtu ana lake jambo. inavyoelekea ametumwa na hao anaowatumikia ili kupandikisa ajenda ndani ya chadema yenye lengo la kukifanya chama hicho kianze kupoteza muda wake kuzungumzia masuala yasiyo na tija yeyote wakati huu badala ya kuweka nguvu zote katika kushughulikia kutibu vidonda vilivyotokana na uchaguzi uliopita.
 
Wakuu! Kuna tetesi ZITTO ameanza kujipanga [network and financial] ndani na nje ya CDM, kugombea uraisi 2015.
 
Alishasema hivo mwaka jana kwenye mikutano ya kampeni kwenye jimbo lake
 
Ana uhuru wa kufanya hivyo kama mwananchi mwingine yeyote. Hata wewe kama una ubavu anza tu.
 
Safi sana. Napenda sana, tunapaswa kumtia moyo. Kama CDM hakutakuwa na vijana wenye maono ya mbali 2015 tutakaposhinda tutakosa mawaziri watakaofanya kazi vizuri. Akikosa nafasi anaweza kuwa waziri mkuu au waziri wa fedha. Kama Zito hatakuwa na maono ya mbali atadumaa kiakili na hivyo 2015 hatutapata timu nzuri katika safu ya uongozi wa juu.
Zito keep it up.
 
sina uhakika kama tayari CDM washapendekeza nani ataipeperusha bendera ..hayo tuwaachie wanachama
 
Naitamani sana hiyo siku atakayochukua form na wazee wa chadema wasimuwekee nongwa. Zitto hakika anamvuto na pia mkimcheki anaonesha nia ya dhati, yapaswa wote tumuunge mkono, na hiyo itakuwa ni nusura ya chadema.otherwise mkijichanganya akagombea out of CDM basi chadema itabaki kuwa kama NCCR ilivyo kwa sasa.

Zitto please tunakuombea uchukue form. kura yangu itakuwa ya kwanza
 
Wakuu! Kuna tetesi ZITTO ameanza kujipanga [network and financial] ndani na nje ya CDM, kugombea uraisi 2015.

mkuu tujuze basi hizo tetesi kuhusu zitto umezisikia wapi? ni kwa yule mzee wa chadema aliyetunisha misuri wakati ameitwa na tendwa akawa anakomaa kuendesha maandamano kusini? yule babu hajatulia mwambieni asituzeekee vibaya. watu wako kiuzalendo zaidi. Zitto anasifa hiyo
 
sina uhakika kama tayari CDM washapendekeza nani ataipeperusha bendera ..hayo tuwaachie wanachama
 
Only if he come to his senses, that he becomes trustworthy. Because I see him as a CCM kibaraka, his statements contradict us, we the patriots ...
 
Naitamani sana hiyo siku atakayochukua form na wazee wa chadema wasimuwekee nongwa. Zitto hakika anamvuto na pia mkimcheki anaonesha nia ya dhati, yapaswa wote tumuunge mkono, na hiyo itakuwa ni nusura ya chadema.otherwise mkijichanganya akagombea out of CDM basi chadema itabaki kuwa kama NCCR ilivyo kwa sasa.

Zitto please tunakuombea uchukue form. kura yangu itakuwa ya kwanza
Huwa inanishangaza watu wasioitakia CDM mema wanapojitokeza kushabikia linapojitokeza jina la Zitto.
 
Naitamani sana hiyo siku atakayochukua form na wazee wa chadema wasimuwekee nongwa. Zitto hakika anamvuto na pia mkimcheki anaonesha nia ya dhati, yapaswa wote tumuunge mkono, na hiyo itakuwa ni nusura ya chadema.otherwise mkijichanganya akagombea out of CDM basi chadema itabaki kuwa kama NCCR ilivyo kwa sasa.

Zitto please tunakuombea uchukue form. kura yangu itakuwa ya kwanza
Kwa mara ya kwanza naona umetoa ushauri "Mzuri" kwa chadema.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom