Zitto kufukuzwa CHADEMA siku chache zijazo

Zitto kufukuzwa CHADEMA siku chache zijazo

Hamna mtu mwenye akili CDM kama zitto.

Kwa nini unasema hivyo?

Kama angekuwa na akili hivyo kwa nini kashikwa with his pants down, and a hand in the cookie jar?

Au unataka kusema the best CHADEMA has is a lump of incoherent irresponsibility?
 
Teh teh, chadema wapime faida na hasara za kumtoa zitto chamani! Wakiöna faida ni nyingi kuliko kubaki cc ifanye kazi yake!
 
Vazi la utakatifu feki linalotuzuia kuona utupu wake kisiasa limetoboka, na avikwe jipya ndipo aingie harusini, tena kwa kADI SPESHO
 
Nitajie mtu mmoja tu unayemuamini pale chadema anayeweza kusimama na kutoa hoja ya kumfukuza zitto chadema!

Wengi wanaomchukia zzk wamepandikiziwa chuki na wengi wao ni wafuata mkumbo,akili ndogo wamelishwa propaganda za uongo wakakubali
Majority of people are stupid while only few are intelligent
 
Hakuna mtu wa kuweza kumfukuza Zitto pale CHADEMA.

Sio mtu anamfukuza ZZK, ni suala la sharia na taratibu, kama amefanya fyongo, hiyo ndo tiketi yake kwenda atakapo, si unaona hakuna bendera ya CDM kwenye mikutano yake??? njia ni nyeupe kama theruji aende watokeee vijana zaidi yake ndani ya CDM, kisima cha hekima na UKOMBOZI
 
Sisi wengine hatujauona huo usalITi wa Zzt. Tunachokiona ni hofu ya Mbowe na Slaa zidi ya ZZT.tena bora wa mfukuze wasije wakamuua kama Chacha Wangwe.


Sent from my GT-I9192 using Tapatalk
huwezi kuuona usaliti kwa sababu umejitia upofu kwa gundi inayoitwa uchumia tumbo na nia mbaya. Siku wakimtimua huyu msaliti cdm itakuwa imeweka msingi imara wa kuelekea uhuru wa pili wa mtanganyika
 
huwezi kuuona usaliti kwa sababu umejitia upofu kwa gundi inayoitwa uchumia tumbo na nia mbaya. Siku wakimtimua huyu msaliti cdm itakuwa imeweka msingi imara wa kuelekea uhuru wa pili wa mtanganyika

Mfukuzeni tu! Msije mka mChacha Wangwe.

Sent from my GT-I9192 using Tapatalk
 
Natamani kusikia akijitetea,asihukimiwe bila kupewa nafasi ya kujitetea..tumsikie..
 
ulukolokwitanga said:
Sisi wengine hatujauona huo usalITi wa Zzt. Tunachokiona ni hofu ya Mbowe na Slaa zidi ya ZZT.tena bora wa mfukuze wasije wakamuua kama Chacha Wangwe.
wabhejasana said:
hakuna mwanaume wa kuweza kumfukuza Zitto chadema. Chukua mbowe jumlisha Slaa,zidisha na manyampala wote wakina sijui Saakumi,Ykocrei,na wengine wote bado hawawezi kumfukuza zitto
bwegebwege said:
Mbona wamechelewa sana? Nayasubiri maamuzi hayo nione kifo cha CDM kitakavyokuwa
Kudadadadeeeeki zao, Hembu mfukuzeni hata leo hii tuone.
wabhejasana said:
Hakuna mtu wa kuweza kumfukuza Zitto pale CHADEMA.
Mzee said:
Hakuna mwenye uwezo wa kumtimua Zitto.... Si Mbowe wala Mtei..
Samson Cyper said:
Mi nasubiri Zzt afukuzwe nione itakuaje.😡
Patrobert Ishengoma said:
Acheni kujidanganya, mfukuzeni Zitto muone.
bucca said:
Hamna mtu mwenye akili CDM kama zitto.
mjepo said:
Ni kweli wakijaribu tu chama kinakufa kabisa.
thatha said:
Kama wanataka kuua chama na wathubuti
mwekundu said:
huwezi kata tawi ulilokalia mbowe.
Duh! Kaaazi kweli kweli...
 
Bado tunahesabiwa huku Moshi; hapa ni mpaka tar 3 Jan ndio tunageua kuja kufanya kikao; nani akale mwaka mpya kwenye joto la Dar?
Kimsingi tuta muoinya dogo ilahatuta mfukuza, bado tuna muhitaji
 
Chadema mwislam daima hana safari yote ambiiwayo Zito ni Uislam wake umemponza leo Watu hamuhoji kwa kwa Mzee Arif kajitoa kanisa limeamua kua nyuma ya kanisa hongera crused
 
Back
Top Bottom