Zitto kufukuzwa CHADEMA siku chache zijazo

Zitto kufukuzwa CHADEMA siku chache zijazo

kamanda acha kukurupuka kama huyo lema uliyetutajia hapa - kwanza chama kilete vielelezo na ushahidi wa KUTOSHA juu ya usaliti wa zzk ili tujiridhishe na hatimaye tumhukumu kwa haki.
wengine tunauthubutu wa kuhoji na kwamba tunaamini zito kasukiwa zengwe tu kisa uenyekiti.......tafakari, vp akijitokeza mwanaCDM mwingine mwenye nia kama yake ya kuutaka uwenyekiti, hekaya za usaliti hazitaendelea haswa kwa kuzingatia marehemu chacha wangwe yalishamkuta hayo hayo siku za nyuma?!

ngoja muone chama nakimini Cdm
 
Wamfukuze kwa kosa lipi?-
wakimfukuza zitto ataenda mahakamani kudai arudishiwe uanachama wake

na wakati kesi ikiunguruma mahakamani zitto ataendelea kuzunguuka nchi nzima "kuongea na watanzania wenzake". Nadhani mnaujua uwezo wake wa kujenga hoja na ushawishi au siyo?.

Matokeo yake nini?- chadema kupoteza imani kwa wananchi na hivyo kudhoofika, hali itakayopelekea waukose uraisi, na pia idadi ya wabunge ipungue, na hivyo ruzuku kupungua

lakini
katiba mpya inapita, na mwaka 2015 anagombea kama mgombea huru, mwishowe zitto ataibuka strong na hana cha kupoteza!.
Uanachama ataupata mahakamani, then atasubiri random time let us say 4 to 5 years, anarudi tena kwenye ranks za chadema wakati ambapo slaa keshajichokea, na mbowe wakati huo hana jipya!

Kumfukuza zitto ni ujuha, utakirudisha chama miaka mitano nyuma!

umesomea wapi siasa wewe?mtu keshapeleka kesi mahakamani then azurure kuitangaza kesi wakati iko maakamani think twice,chadema wako smart watamtosa kama upepo
 
Let him leave alafu tuone nani mshindi maana majigambo yamevuka mipaka sasa.
 
Ndg. wanajamvi,

Ni wazi kuwa huu msuguano ndani ya CHADEMA kuhusu kuvuliwa nyadhifa zote Bw. Zitto Kabwe ndani ya chama zitakoma.

Taarifa za kuaminika ni kwamba kikao kijacho cha Kamati Kuu (CC), pamoja na mambo mengine kitakuwa na agenda ya kumvua uanachama mwanasiasa huyo ambaye pia ni mbunge wa Kigoma Kaskazini.

Source: Gazeti la Raia Tanzania.

What%2Bdid%2Byou%2Bsay.png
images
 
Rasimu ya Katiba hii ni ndefu kuliko ya kwanza in ibara 271 ya kwanza ilikuwa na ibara 240

-wananchi wametoa maoni mazito kuhusu uongozi na utawala bora

-lugha ya kiswahili lugha ya taifa.

-Madaraka ya Rais yamepunguzwa.
-wabunge wasiwe mawaziri
-kuwe na ukomo wa wabunge
-wananchi wawajibishe wabunge
-spika/naibu wasiwe wabunge wala viongozi wa juu wa vyama vya siasa.

-kuwepo na jeshi moja la Polisi na Usalama wa Taifa.

MUUNGANO
39000 walitoa maoni kuhusu muungano Tanzania Bara,na karibu wote wa Zanzibar walitoa maoni kuhusu muungano

-Taasisi nyingi zilipendekeza serikali tatu.

Malalamiko upande wa zanzibar
Serikali ya Tanganyika imevaa koti la Tanzania
-mambo ya muungano yamekuwa yakiongezeka
-kumuondoa rais wa Zanzibar kuwa Makamu wa Rais

Malalamiko Tanzania Bara.
-Zanzibar imebadili katiba yake na kuchukua madaraka ya Jamuhuri ya Muungano
-Wananchi wa Tanzania Bara kutokuwa na haki ya kumiliki ardhi Zanzibar

Mambo mengi ya Muungano yamebadilishwa bila kufuata Katiba.

TUME IMEPENDEKEZA MUUNDO WA MUUNGANO UWE WA SERIKALI TATU.
 
dah leo nmechoka we acha 2
mnasema chadomo wanamfukza zito eeee?
ujue mwendhenu hata thielewi
 
kweli wewe hujitambui sumbawanga na CDM wapi na wapi?! si umeona hata arfi keshasepa unakumbuka sababu zilikuwa zp?!

Acha ujinga ww nani kakwambia arfi ni mtu wa Sumbawanga, tulimchagua kwa sera za chama na si yeye na tulishatoa mappendekezo hatumtaki kwa hujuma alizofanya wakati sisi tulimwamini na ndio maana alitangaza kutogomea tena mpanda kati, pia Kama CDM sumbawanga haina nguvu kwanini mlimchakachua Mwl. wnagu yamsebo. Ukitaka kujua kama sumbawanga iko vp na ccm kapite na nguo zako za njano au kiajani utacheki fresh ya shamba yaani kule kwa taarifa yako ccm haipendwi kwa kumaanisha, subiri 2015, tunajilaumu kwa kutolinda kura vyema 2010 but tumejipanga vyema 2015 ndio mtashangaa sasa
 
umesomea wapi siasa wewe?mtu keshapeleka kesi mahakamani then azurure kuitangaza kesi wakati iko maakamani think twice,chadema wako smart watamtosa kama upepo

"Ndo maana nimesema ataenda kuongea na Watanzania", Akienda kuongea na Watanzania akawaambia Mwenyekiti ni too local, Hana dira, Anatafuna Ruzuku, Kuna Ukanda n.k itakuwa si kuzungumzia kesi. Kiufupi ni kwamba wao wakimwaga mboga, anaweza kumwaga ugali. na cjadema wanalijua hilo. Zitto ndani ya Chadema ni rahisi kumcontain kuliko akiwa nje. Ana nguvu za Kuipiga Dafrao Chadema isisimame Imara kwa miaka 10 ijayo.
 
anatakiwa kuvukuzwa kabls huu mwaka haujaisha
 
anatakiwa kuvukuzwa mapema kabla ya mwaka mpya aende kwa wanafiki wenzake ccm
 
I said that " the CC is about to dispose the shits"

Who has to judge?......Answer is that.....We are being abide with our laws and regulations we fixed, and have been using them to test our credibility if we meet the tests we set, that is the way of any civilized institution.......
 
Ndg. wanajamvi,

Ni wazi kuwa huu msuguano ndani ya CHADEMA kuhusu kuvuliwa nyadhifa zote Bw. Zitto Kabwe ndani ya chama zitakoma.

Taarifa za kuaminika ni kwamba kikao kijacho cha Kamati Kuu (CC), pamoja na mambo mengine kitakuwa na agenda ya kumvua uanachama mwanasiasa huyo ambaye pia ni mbunge wa Kigoma Kaskazini.

Source: Gazeti la Raia Tanzania.
cdm ni tunda linalojifanya kukomaa kabla ya wakati. litadondoka na kuoza bila kuliwa.
 
Halafu na wewe unaamini kwamba wananchi ni wapumba-vu kiasi kwamba watameza chochote anachoongea Zitto, hata kama ni uongo na uzushi wa wazi !.

Kama Zitto au wafuasi wake wanaamini hivyo, basi, nili-wa-underestimate !...I mean kwa umburula !

"Ndo maana nimesema ataenda kuongea na Watanzania", Akienda kuongea na Watanzania akawaambia Mwenyekiti ni too local, Hana dira, Anatafuna Ruzuku, Kuna Ukanda n.k itakuwa si kuzungumzia kesi. Kiufupi ni kwamba wao wakimwaga mboga, anaweza kumwaga ugali. na cjadema wanalijua hilo. Zitto ndani ya Chadema ni rahisi kumcontain kuliko akiwa nje. Ana nguvu za Kuipiga Dafrao Chadema isisimame Imara kwa miaka 10 ijayo.
 
I said that " the CC is about to dispose the shits"

Who has to judge?......Answer is that.....We are being abide with our laws and regulations we fixed, and have been using them to test our credibility if we meet the tests we set, that is the way of any civilized institution.......
 
Mkuu pole naona povu linakutoka kishenzi! Ni hivi ni kweli hakuna mtu atakaye mfukuza bosi wako bali chama kama taasisi kupitia cc yake na misingi na taratibu iliyojiwekea ndiyo watakaomfukuzu!

Sawa yawezekana ni povu la Neema ya kumfanya zitto asifukuzwe na Manyang'au ya siasa!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom