Zitto kufukuzwa CHADEMA siku chache zijazo

Zitto kufukuzwa CHADEMA siku chache zijazo

Wandugu,

Hizi katiba zimesagiliwa kwa Mlezi wa Vyama vya siasa katiba ya CDM lazima ifuatwe fully bila kuacha a dot. Without that Zitto atakuwa mwanachama mpaka atakapo amua kutoka mwenyewe.
 
Tena wamechelewa sana kumvua uanachama huyu dogo, ilibidi muda huu awe anaomba ubunge wa mahakama, mpigeni chini haraka hatakuwa na madhara yeyote, abaki akiwahutubia chadeccm kwa mikutano inayoratibiwa na mwigulu na nape
Ni kweli kabisa Apigwe chini haraka iwezekanavyo,akiachwa ataharibu sana chama.
 
Ndiyo maana chama hiki hakitashika madaraka kamwe,wamekosa ushawishi wa kisaikolojia kuwathibitishia watanzania kuwa si cha kikanda zaidi..
 
Hii CC ya CHADEMA haiendani na kasi ya mabadiliko ya nchi. Mtu ni msaliti na kila Mtanzania anajua hilo, lakini kumtimua hadi Mbowe afurahi, how come. Ndio maana wanahitajika viongozi wengi jasiri kama Lema ili mambo yaende. Bush alishasema No negotiations with terrorists, but CHADEMA wanataka negotiations na msaliti ambaye ni hatari kuliko terrorists
Sisi wengine hatujauona huo usalITi wa Zzt. Tunachokiona ni hofu ya Mbowe na Slaa zidi ya ZZT.tena bora wa mfukuze wasije wakamuua kama Chacha Wangwe.


Sent from my GT-I9192 using Tapatalk
 
Subiri uone....Tutaftana hapa mkuu..

Sawa mkuu najua tutaonana hapa lakinj sio kwa ajili ya habari ya zitto kufukuzwa!

Nataka nikwambie jambo moja na narudia tena,hakuna mwanaume wa kuweza kumfukuza Zitto chadema,chukua mbowe jumlisha Slaa,zidisha na manyampala wote wakina sijui Saakumi,Ykocrei,na wengine wote bado hawawezi kumfukuza zitto,wanataka chama kisambaratike ikifuatiwa na vita,nakumbuka kuna wakati kuna mtu nchi hii haitatawalika,sasa naona amedhamiria kabisa isitawalike kwa kutaka kuanzisha vita.
 
Hakuna mwenye uwezo wa kumtimua Zitto.... Si Mbowe wala Mtei..

Ujanja wa samaki ni akiwa majini;embu mtoe nje ya maji uone kama anaujanja!!chap ananyauka
 
Last edited by a moderator:
Ndg. wanajamvi,

Ni wazi kuwa huu msuguano ndani ya CHADEMA kuhusu kuvuliwa nyadhifa zote Bw. Zitto Kabwe ndani ya chama zitakoma.

Taarifa za kuaminika ni kwamba kikao kijacho cha Kamati Kuu (CC), pamoja na mambo mengine kitakuwa na agenda ya kumvua uanachama mwanasiasa huyo ambaye pia ni mbunge wa Kigoma Kaskazini.

Source: Gazeti la Raia Tanzania.
Kinafanyika lini hicho kikao...???
Ni vizuri CC iharakishe kumfuta uanachama ZZK ili Chama kianze shughuli za Ukombozi wa Taifa hili mwaka ujao 2014 kwa Amani na Utulivu.
CHADEMA BILA WASALITI INAWEZEKANA.
 
Mtacheka saana na vicheko vyenu vya kipunga, lakini zzk atatimuliwa tu

Nitajie mtu mmoja tu unayemuamini pale chadema anayeweza kusimama na kutoa hoja ya kumfukuza zitto chadema!
 
Nitajie mtu mmoja tu
unayemuamini pale chadema anayeweza kusimama na kutoa hoja ya kumfukuza
zitto chadema!

Mkuu pole naona povu linakutoka kishenzi! Ni hivi ni kweli hakuna mtu atakaye mfukuza bosi wako bali chama kama taasisi kupitia cc yake na misingi na taratibu iliyojiwekea ndiyo watakaomfukuzu!
 
CDM wapo makini na hili,awawezi kumfukuza kwa taarifa za ndani kabisa Dr slaa katika ziara yake ya kigoma,tabora,kahama ameona jinsi mh ZITTO alivyo na nguvu sana kisiasa katika kanda hii,na pia kanda hii ndio ngome kuu kabisa ya chadema kushinda nafasi ya urais 2015 kwa hiyo kama itatokea wakamfukuza SLAA naye anajiuzulu na hapo ndio mwisho wa chadema,sidhani kama kwenye chama hiki wapo watu vipofu wa kisiasa,tatizo ni mashabiki wa chadema wasiojifunza kutokana na makosa ya nccr ya akina mrema vs marando,ila kwa wapenda mageuzi wametoa ushauri wayamalize kindugu,ata pro lipumba na mbatia wamenena kuhusu hii nguzo ya upinzani
 
Ngoja tupo kwenye kikao cha ukoo huku moshi pamoja nakula sherehe za mwisho wa mwaka tukishatoka huku tutakuwa na maamuzi mazito. Kamati kuu ndio sisi .

haha.....hatari sana
 
Afukuzwe manake wanavyoendelea kumlea ndivyo anavyokigharimu chama bora afukuzwe
 
Mbona wamechelewa sana? Nayasubiri maamuzi hayo nione kifo cha CDM kitakavyokuwa
 
Ngoja tupo kwenye kikao cha ukoo huku moshi pamoja nakula sherehe za mwisho wa mwaka tukishatoka huku tutakuwa na maamuzi mazito. Kamati kuu ndio sisi .

Sasa hivi mtakosa mgombe wa udiwani na ubunge km kule bunda we endelea na ukabila wako !!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom