Ndg. wanajamvi,
Ni wazi kuwa huu msuguano ndani ya CHADEMA kuhusu kuvuliwa nyadhifa zote Bw. Zitto Kabwe ndani ya chama zitakoma.
Taarifa za kuaminika ni kwamba kikao kijacho cha Kamati Kuu (CC), pamoja na mambo mengine kitakuwa na agenda ya kumvua uanachama mwanasiasa huyo ambaye pia ni mbunge wa Kigoma Kaskazini.
Source: Gazeti la Raia Tanzania.
I said that " the CC is about to dispose the shits"
Who has to judge?......Answer is that.....We are being abide with our laws and regulations we fixed, and have been using them to test our credibility if we meet the tests we set, that is the way of any civilized institution.......
mwenye macho haambiwi tazama...
Hakuna mtu wa kuweza kumfukuza Zitto pale CHADEMA.
Ndg. wanajamvi,
Ni wazi kuwa huu msuguano ndani ya CHADEMA kuhusu kuvuliwa nyadhifa zote Bw. Zitto Kabwe ndani ya chama zitakoma.
Taarifa za kuaminika ni kwamba kikao kijacho cha Kamati Kuu (CC), pamoja na mambo mengine kitakuwa na agenda ya kumvua uanachama mwanasiasa huyo ambaye pia ni mbunge wa Kigoma Kaskazini.
Source: Gazeti la Raia Tanzania.
Sawa yawezekana ni povu la Neema ya kumfanya zitto asifukuzwe na Manyang'au ya siasa!
umesomea wapi siasa wewe?mtu keshapeleka kesi mahakamani then azurure kuitangaza kesi wakati iko maakamani think twice,chadema wako smart watamtosa kama upepo
Wamfukuze kwa kosa lipi?-
wakimfukuza zitto ataenda mahakamani kudai arudishiwe uanachama wake
na wakati kesi ikiunguruma mahakamani zitto ataendelea kuzunguuka nchi nzima "kuongea na watanzania wenzake". Nadhani mnaujua uwezo wake wa kujenga hoja na ushawishi au siyo?.r
Matokeo yake nini?- chadema kupoteza imani kwa wananchi na hivyo kudhoofika, hali itakayopelekea waukose uraisi, na pia idadi ya wabunge ipungue, na hivyo ruzuku kupungua
lakini
katiba mpya inapita, na mwaka 2015 anagombea kama mgombea huru, mwishowe zitto ataibuka strong na hana cha kupoteza!.
Uanachama ataupata mahakamani, then atasubiri random time let us say 4 to 5 years, anarudi tena kwenye ranks za chadema wakati ambapo slaa keshajichokea, na mbowe wakati huo hana jipya!
Kumfukuza zitto ni ujuha, utakirudisha chama miaka mitano nyuma!
Ni kweli wakijaribu tu chama kinakufa kabisa.Hakuna mtu wa kuweza kumfukuza Zitto pale CHADEMA.
Kwako mwenye akili ni yule mwenye kupewa data za kulipua ubadhirifu wa EPA akaacha kulipua badala yake akaenda kuvuta mshiko kwa Ballali? Muulize ile Hammer aliipate? Buzwagi kavuta, Fedha za Rostam kala, alivuta fedha za Dowans, anaendelea kuvuta fedha za makampuni ya simu ya za mikononi wakwepa kodi wakuu! Kweli ana akili kama Maranda!!!! ...mwisho wa reli.... mataruma yanag'olewa soon...Hamna mtu mwenye akili CDM kama zitto.