Mohamed Mdoe
Member
- Dec 23, 2013
- 11
- 0
Kwani wamerudi kutoka X-mass Moshi?
atajua mwenye amerd hajard kmpango wake!
Kwani wamerudi kutoka X-mass Moshi?
Eti Zitto akitimuliwa itatokea vita, ni kituko cha mwaka nafikiri kitakuwa cha kufungia mwaka 2013.Sawa mkuu najua tutaonana hapa lakinj sio kwa ajili ya habari ya zitto kufukuzwa!
Nataka nikwambie jambo moja na narudia tena,hakuna mwanaume wa kuweza kumfukuza Zitto chadema,chukua mbowe jumlisha Slaa,zidisha na manyampala wote wakina sijui Saakumi,Ykocrei,na wengine wote bado hawawezi kumfukuza zitto,wanataka chama kisambaratike ikifuatiwa na vita,nakumbuka kuna wakati kuna mtu nchi hii haitatawalika,sasa naona amedhamiria kabisa isitawalike kwa kutaka kuanzisha vita.
Kwani wamerudi kutoka X-mass Moshi?
Mbona wamechelewa sana? Nayasubiri maamuzi hayo nione kifo cha CDM kitakavyokuwa
Hata mimi Pia bado nakula X mass huku Ipito-Sumbawanga, vp ww bado hujarudi kula xmass huko msoga?
Zitto hafukuzwi na mtu anafukuzwa na kanuni za chama.Nitajie mtu mmoja tu unayemuamini pale chadema anayeweza kusimama na kutoa hoja ya kumfukuza zitto chadema!
nilimshauri sana Zitto Kabwe kupitia kwenye huu mtandao lakini kwa kuwa hakutaka kusikia na kufuata ushahuri wa gogo la shamba hilo litakapomfika ndio atajua kwamba sisi tunaona mbali na asijidanganye kwamba chadema itakufa bali itazidi kuonekana kwamba wana uwezo wa kufanya uamuzi mgumu ambao ccm hawaweziNdg. wanajamvi,
Ni wazi kuwa huu msuguano ndani ya CHADEMA kuhusu kuvuliwa nyadhifa zote Bw. Zitto Kabwe ndani ya chama zitakoma.
Taarifa za kuaminika ni kwamba kikao kijacho cha Kamati Kuu (CC), pamoja na mambo mengine kitakuwa na agenda ya kumvua uanachama mwanasiasa huyo ambaye pia ni mbunge wa Kigoma Kaskazini.
Source: Gazeti la Raia Tanzania.
Hii CC ya CHADEMA haiendani na kasi ya mabadiliko ya nchi. Mtu ni msaliti na kila Mtanzania anajua hilo, lakini kumtimua hadi Mbowe afurahi, how come. Ndio maana wanahitajika viongozi wengi jasiri kama Lema ili mambo yaende. Bush alishasema No negotiations with terrorists, but CHADEMA wanataka negotiations na msaliti ambaye ni hatari kuliko terrorists
Wamfukuze kwa kosa lipi?-
wakimfukuza zitto ataenda mahakamani kudai arudishiwe uanachama wake
na wakati kesi ikiunguruma mahakamani zitto ataendelea kuzunguuka nchi nzima "kuongea na watanzania wenzake". Nadhani mnaujua uwezo wake wa kujenga hoja na ushawishi au siyo?.
Matokeo yake nini?- chadema kupoteza imani kwa wananchi na hivyo kudhoofika, hali itakayopelekea waukose uraisi, na pia idadi ya wabunge ipungue, na hivyo ruzuku kupungua
lakini
katiba mpya inapita, na mwaka 2015 anagombea kama mgombea huru, mwishowe zitto ataibuka strong na hana cha kupoteza!.
Uanachama ataupata mahakamani, then atasubiri random time let us say 4 to 5 years, anarudi tena kwenye ranks za chadema wakati ambapo slaa keshajichokea, na mbowe wakati huo hana jipya!
Kumfukuza zitto ni ujuha, utakirudisha chama miaka mitano nyuma!
PIga chini gamba mkubwa huyu na siasa zake za kihafidhina.
Hakuna mtu wa kuweza kumfukuza Zitto pale CHADEMA.
Kwakweli, mara siku 14, mara tunamfukuza, hebu ifike mwisho. Wimbo huu umeshachuja.Kudadadadeeeeki zao,
Hicho chama kimekuwa nini cha kumfanya kijana wa watu akose usingizi.
Hembu mfukuzeni hata leo hii tuone.
Nyie misukule yake,ndio mmaomuharibia mwenzenu! atatimuliwa na hamtakuwa na cha kumsaidia.CDM IPO,ITAKUWEPO NA TUTAILINDA KWA NGUVU ZETU ZOTE!
Hakuna mwenye uwezo wa kumtimua Zitto.... Si Mbowe wala Mtei..
Wamfukuze kwa kosa lipi?-
wakimfukuza zitto ataenda mahakamani kudai arudishiwe uanachama wake
na wakati kesi ikiunguruma mahakamani zitto ataendelea kuzunguuka nchi nzima "kuongea na watanzania wenzake". Nadhani mnaujua uwezo wake wa kujenga hoja na ushawishi au siyo?.
Matokeo yake nini?- chadema kupoteza imani kwa wananchi na hivyo kudhoofika, hali itakayopelekea waukose uraisi, na pia idadi ya wabunge ipungue, na hivyo ruzuku kupungua
lakini
katiba mpya inapita, na mwaka 2015 anagombea kama mgombea huru, mwishowe zitto ataibuka strong na hana cha kupoteza!.
Uanachama ataupata mahakamani, then atasubiri random time let us say 4 to 5 years, anarudi tena kwenye ranks za chadema wakati ambapo slaa keshajichokea, na mbowe wakati huo hana jipya!
Kumfukuza zitto ni ujuha, utakirudisha chama miaka mitano nyuma!
Teh teh teh!kitakuwa kichekesho kama kutakuwa na ajenda iliyoandikwa ''kumfukuza zitto uanachama''.