Zitto kufukuzwa CHADEMA siku chache zijazo

Zitto kufukuzwa CHADEMA siku chache zijazo

Teh teh, chadema wapime faida na hasara za kumtoa zitto chamani! Wakiöna faida ni nyingi kuliko kubaki cc ifanye kazi yake!

Mkuu hata kama kuna hasara basi itakuwa hakuna maana ya sheria na dhana ya hakuna aliyejuu ya sheria haitakuwa na maana na hatuhitaji kuwa na sheria na kama ndivyo niataacha siasa za Tanzania
 
Ndugu Zitto ni Mzito kuelewa kuwa hapendwi na Wakuu wa Chadema, wacha wamtoe ili Watakaobak chaman wapate nafasi ya kufisadi.
 
Hapa ndio naona utofauti kati ya Dr. Kitila Mkumbo na Zitto. Mwenzake aliyasema yote aliyopanga kuyasema pale Serena hotel akamaliza na inawezekana kuna anayoyajutia, lakini huyu bwana mdogo ni mbishi na ana kiburi kikali sana hadi kufikia kuwananga viongozi wake kupitia mikutano, mitandao ya kijamii, nk. Nadhani umefika mwisho atimuliwe aende kwa wanaompa kiburi aone kama watamkumbatia tena kama hivi sasa
 
Kumbe ndivyo mnavyomdanganya Zitto.

Nyie wabaya kumbe ndivyo mnavyomdanganya mwenzenu enh' mshamharibia future yake kisiasa maskini.....'

badili rangi uwe kijani.Pole kwa mawazo mgando.

Nyie misukule yake,ndio mmaomuharibia mwenzenu! atatimuliwa na hamtakuwa na cha kumsaidia.CDM IPO,ITAKUWEPO NA TUTAILINDA KWA NGUVU ZETU ZOTE!

Kwa hiyo tukikaa kimya mtamsamehe eti enhh?..

Sababu ya kumfukuza ilkua hakuna bali ni wapambe ndio chanzo.

Poor you!
 
Ndg. wanajamvi,

Ni wazi kuwa huu msuguano ndani ya CHADEMA kuhusu kuvuliwa nyadhifa zote Bw. Zitto Kabwe ndani ya chama zitakoma.

Taarifa za kuaminika ni kwamba kikao kijacho cha Kamati Kuu (CC), pamoja na mambo mengine kitakuwa na agenda ya kumvua uanachama mwanasiasa huyo ambaye pia ni mbunge wa Kigoma Kaskazini.

Source: Gazeti la Raia Tanzania.


wamemaliza kikao tengeru na hayo hapo ndio maazio.

ahsante mkuu.
 
wasigombane nafasi za urais zishaongezwa kila mmoja atapata nafasi ya kugombea urais!
 
Hivi bado yupo?MKabila kabisa huyu dogo..Dogo hajaweza kuwa na amani na WAHA...kwa vile ana inferioity complex anaona aibu kabila lake....

Nashangaa badala ya kujifunza kwa wachaga anapigana nao wakati vita moja hajaimaliza.Ndio maana CDM hawakupata viti vya kutosha kwa vile huyu dogo ana shida na waha...hii ndio shida ya makabila yaliyouza wengine.
 
Chikutentema we ni mungu kubashiri maamuzi ya viongozi wa chama ambayo hayajafanyika? Hebu acheni uzushi, waache viongozi wa chama watoe maamuzi yao kwa maslahi ya tanzania yetu
 
Kamati kuu CHADEMA kukutana Ijumaa kuwahoji Zitto na wenzake, ni siku hiyo pia hatima ya uanachama wao itakapobainika.


Source: Nipashe na Mtanzania, leo.
 
Hapo ndipo chadema itakapopigwa kifo cha Mende,Fukuza muone Moto ambao hamjawahi kuuona.
 
The whole saga was mishandled, mtoto aliobekana kuwa ni mtukuti tangu awali wakamchekea, wazazi walionekana hawana nidhamu, wakachekeana

chama kimekua kama TFF, ni majungu, fitna, usaliti, ushabiki na ukabila/ukanda
 
hakuna msaliti kati yao. Ni kiini macho. Hatutokuja kufika tunapopataka kufika kwa kumalizana sisi kwa sisi,huku watu wakishabikia tu mitandao. Kushabikia kitu usichokijua kiundani wake ni upuuzi ulipitiza.
 
Back
Top Bottom