Zitto kufukuzwa CHADEMA siku chache zijazo

Zitto kufukuzwa CHADEMA siku chache zijazo

Ka-Zitto kajinga sana hakana maana kanataka kujifanya km kapo juu.Kanalinga kwa fedha za kifisadi kalizopewa
 
Ikiwa utabaki uonyeshe kuwa kweli wewe sio msaliti kama inavyosemwa wala huna nia mbaya ya kuuza chama kwa magamba. Ukibaki ukumbuke chama sio ninyi viongozi wachache amboa mnaishi kwa hulka, na mapenzi yenu huku wengi wakiumia. Ukibaki ukumbuke siasa haina rafiki wa kudumu wala adui wa siku zote, kila kundi linapigania masilahi yake. Kundi kubwa hapa ni wananchi wenye umasikini, maradhi, njaa, elimu duni, ukosefu wa ajira na nk na hayo ndio masilahi wanayopiginania. Kundi la pili ni lenu mnaoota na kugombania madaraka , vyeo, fedha, umaarufu na utukufu.

Ukiondoka usiwe na kinyongo ndio siasa hakuna uadui ni kulinda chama. Huko uendeka tutakutakia kila la kheri ila ukumbuke uhuru bila mipaka ni fujo. Ukumbuke kila binadamu ana udhaifu, ila akiwa kiongozi wako na wengi wamemchagua huna budi kukubaliana na wengi hata kama hutaki. Ukishindwa kuishi na viongozi wako itakuwa ngumu sana wewe kukwea juu. Nchi za kiafrika nyingi zimeingia kwenye mapinduzi ya kijeshi kwasababu wengi huwa na tamaa ya kufika juu na kuwaona wengi hawafai.

Weka picha Mkuu
 
Fukuza Zitto ili mpalaganyike vizuri chama cha Wanywa gongo.
Zitto ni sawa na msumari ukipita juu yake unatoboa tube!

Wewe unadhani kama msumari ulipita juu yako ukakutoboa tube una uwezo wa kutoboa kila kitu?
 
Zitto ilikuwa 2007 mpaka 2009 mwanzoni,huyu wa sasa hana effect ni wa kufukuzwa tu akawe mb wa mahakama.
 
Kwa nini unasema hivyo?Kama angekuwa na akili hivyo kwa nini kashikwa with his pants down, and a hand in the cookie jar?Au unataka kusema the best CHADEMA has is a lump of incoherent irresponsibility?
coward...., be you, be genuine. acha kutafuta kupendwa na wanachadema. Anza na Mungu basi...faggot
 
Mnazunguka tu chadema ni chama cha kanisa muislam milele kwenye chadema hawi kiongozi mkuu mtamzushia majungu tu.
 
Aende katika chama alichoanzisha kwa kumshirikisha Kamanda Ben Saanane cha CHAUMMA, huko ndo kuna damu yake ya chale
 
Hana effect huyo hata akitemwa akaanzishe chama chake si yeye ni maarufu kuliko Chadema thena awaite wale wa kigoma waliomsupport. Akishindwa kufanya hivo aende Magamba
note: ila mleta uzi hiyo title vp? Angalia tena


Acha ujinga. Ujijui? Wewe ndio mwenye dhamani kuliko zitto na wanakigoma ndani ya chadema? Mtu mmoja huenda hauna hata cfa ya kuwa kiongozi wa tawi harafu unaropoka tu.
 
CDM ni UFIZI
ZZK ni JINO LA MTOTO
so jino liking'oka ufizi utabaki na jino jingine litaota tena!
siku zote kwenye JESHI LA UKOMBOZI MSALITI hutupwa nje!
Makamanda wa kweli tufunge mkanda na haraka mapambono yasonge mbele mpaka kieleweke.
 
Anayedhani watanzania huchagua chama na si mtu wanajiongopea, mwaka 2005 watu walimchaguga JK na si CCM, mwaka 2010 watu walimpenda Slaa na si Chadema. KWANI CHAMA NDO DUBWANA GANI?, MTU KWANZA CHAMA BAADAE!
 
Kama ni mpenda mageuzi ya kweli atakuwa amejisahihisha na tumpe nafasi nafasi nyingine. [Mwenda kwao si mtoro]
 
coward...., be you, be genuine. acha kutafuta kupendwa na wanachadema. Anza na Mungu basi...faggot

Ebu kuwa na heshima kwa GT kama Kiranga we Simbilisi buku7! Michango yake yenye kuelimisha Jamii na humu jamvini ni Tangibles ...tofauti yake na ninyi Lumumba Gambaz buku7 kielimu, busara, fikra chanya, uelewa ni sawa na tofauti ya mbingu na ardhi!... Tumeshaambia Nchemba na Nape awajengee uwezo kwanza kabla ya kuwaleta humu jamvini mnako zidi kuichimbia CCM kaburi lakini wasikivu wenu bado masikio yamewaziba...BtW JK ametuthibitishia kuwa Zitto ni msaliti pale alipoanza kumnanga Lisu mbele ya kadamnasi!...
 
Back
Top Bottom