Egwugu
JF-Expert Member
- Mar 16, 2011
- 17,558
- 8,555
Sasa mnataka pesa alizopewa na CCM kuibomoa CDM azilipeje make kazi bado hajaimaliza ama ndo mnamhatarishia kibarua ili kiote nyasi?
Juzi nilisoma makala ya Karugendo nilifurahi sana,kwamba msaliti hasamehewi ndo maana hata Mungu alivyosalitiwa na yule malaika mkuu kwa kujiona yuko sawa na Mungu kilichofuata si kusamehewa bali kuondolewa mamlaka na kufukuzwa kwenda motoni,msiendekeze kusamehe wasaliti huwa hawasamehewi kamwe.