Zitto kufukuzwa CHADEMA siku chache zijazo

Zitto kufukuzwa CHADEMA siku chache zijazo

Anayedhani watanzania huchagua chama na si mtu wanajiongopea, mwaka 2005 watu walimchaguga JK na si CCM, mwaka 2010 watu walimpenda Slaa na si Chadema. KWANI CHAMA NDO DUBWANA GANI?, MTU KWANZA CHAMA BAADAE!

hiyo labda kwenu , cdm hakuna ujinga huo .
 
Fukuza Zitto ili mpalaganyike vizuri chama cha Wanywa gongo.
Zitto ni sawa na msumari ukipita juu yake unatoboa tube!

You sound like talking from experience. Ulishapita juu yake ukatoboka tube yako!?
 
Mme wangu alinambia kwao ni raha kumfukuza Mansoor CCM, lakini dhambi kumfukuza shujaa Zitto NCCR. Mpaka leo hataki kunambia kwanini anataka ZZK abaki CDM wakati wao walifukuza alietoa mawazo yake.
 
mmeanza mashairi baada ya kuona hicho ni kisiki cha mpingo nyooo chezea zitto wewe.
acha ndoto za mchana zzk hana madhara yoyote kwa chama na kama huamina subiri utaona mwenyewe.wanaomdanganya ni...............na watampoteza
 
Wakiongea katika vijiwe vya ujiji na mwanga wamesema kuwa wanasubiria maamuzi ya kamati kuu kwa hamu kuwa siku hiyo ya ijumaa, "tunachosubiria ni kumrejeshea zitto nafasi zake zote ndani ya chama na endapo watamfukuza chama basi hatutaweza kuendelea kubaki ndani ya Chadema tutmfuata Zitto chama chochote atakachohamia" walisema wakazi hao wa kigoma.
 
We mkigoma una matatizo ya kuwazia chini ya mgongo. Unazani uchawi wenu unaweza kupinga maamuzi ya CC? ZZK kisha pigwa chini, sasa mfuateni anakwenda CHAUMA.
 
I'm tired of this tag of war,i'm not either ZZK or CDM supporter! Now am a Tanzanian youth with bright future through my own ambitions
 
Okay Subirini 04-January-2014 mkamfate Mahakamani kutetea ubunge wake!!
 
wazee wa kunywa kahawa ujiji hawawezi kutishia.nyau
 
Sasa wewe unatuletea habari za vijiweni tukueleweje?
 
Wakiongea katika vijiwe vya ujiji na mwanga wamesema kuwa wanasubiria maamuzi ya kamati kuu kwa hamu kuwa siku hiyo ya ijumaa, "tunachosubiria ni kumrejeshea zitto nafasi zake zote ndani ya chama na endapo watamfukuza chama basi hatutaweza kuendelea kubaki ndani ya Chadema tutmfuata Zitto chama chochote atakachohamia" walisema wakazi hao wa kigoma.

Wewe kiboko, ulikuwa unafuatilia kwenye vijiwe vyote hivyo. Let them go with him. A fly that never listens follows a corpse into the grave.
 
Mkigoma, acha uongo na propaganda!...by the way ni CUF damu lakini siku za hapa karibuni nakuona nakuwa pro Zitto na CCM. Vipi mkuu CUF imekufa au ndiyo hauitaki tena?
 
Kwani siku zote si mlikuwa naye NCCR? Msitutishe bwana!
 
Wewe kiboko, ulikuwa unafuatilia kwenye vijiwe vyote hivyo. Let them go with him. A fly that never listens follows a corpse into the grave.

Kabisa mkuu nzi mwishowe hufa kwa tamaa ya harufu.
 
Mfuateni popote hata hivyo nyinyi ni wanachama wa Zitto si wa Chadema
 
Kumbe kijiweni!!! Hao ndo wafuasi wa Zitto na sio wafuasi wa chama. Mtahama sana huu mwaka!!!!!
 
Badala ya kufikiria mabadiliko na mapinduzi ya maisha yenu mnag'ang'ania mtu. Shida zitawatafuna mpaka kwenye makalio maana hamjitambui.
 
Back
Top Bottom