Zitto kufukuzwa CHADEMA siku chache zijazo

Zitto kufukuzwa CHADEMA siku chache zijazo

Ikiwa utabaki uonyeshe kuwa kweli wewe sio msaliti kama inavyosemwa wala huna nia mbaya ya kuuza chama kwa magamba. Ukibaki ukumbuke chama sio ninyi viongozi wachache amboa mnaishi kwa hulka, na mapenzi yenu huku wengi wakiumia. Ukibaki ukumbuke siasa haina rafiki wa kudumu wala adui wa siku zote, kila kundi linapigania masilahi yake. Kundi kubwa hapa ni wananchi wenye umasikini, maradhi, njaa, elimu duni, ukosefu wa ajira na nk na hayo ndio masilahi wanayopiginania. Kundi la pili ni lenu mnaoota na kugombania madaraka , vyeo, fedha, umaarufu na utukufu.

Ukiondoka usiwe na kinyongo ndio siasa hakuna uadui ni kulinda chama. Huko uendeka tutakutakia kila la kheri ila ukumbuke uhuru bila mipaka ni fujo. Ukumbuke kila binadamu ana udhaifu, ila akiwa kiongozi wako na wengi wamemchagua huna budi kukubaliana na wengi hata kama hutaki. Ukishindwa kuishi na viongozi wako itakuwa ngumu sana wewe kukwea juu. Nchi za kiafrika nyingi zimeingia kwenye mapinduzi ya kijeshi kwasababu wengi huwa na tamaa ya kufika juu na kuwaona wengi hawafai.
Mtakoja dagaa mwaka huu. Mashairi meeeengi utekelezaji zero
 
Hana effect huyo hata akitemwa akaanzishe chama chake si yeye ni maarufu kuliko Chadema thena awaite wale wa kigoma waliomsupport. Akishindwa kufanya hivo aende Magamba
note: ila mleta uzi hiyo title vp? Angalia tena

kwa jinsi anavyoandikwa hapa kila kukicha ni lazima ukiri jamaa anawapa homa si kidogo!
 
Aende Huko kwenye siasa za kinafiki na uchumia tumbo.MM kwa heri bana
 
Mtakoja dagaa mwaka huu. Mashairi meeeengi utekelezaji zero

Watu kama nyie,wanafiki sana! mnajifanya mpo naye na huu ushabiki wenu wa kijinga lakini akifukuzwa hamtakuwa na msaada wowote kwake zaidi ya kumcheka! CDM KWA SASA INATISHA NA MTAJIBEBA MWAKA HUU,WEKENI MGOMBEA BUNDA HATUPENDI KUPITA BILA KUPINGWA COZ TUMEJIANDAA KUWADHARILISHA!
 
Upo sahihi, zzk nae asisahau cdm ndio iliyomfikisha alipo. Anajidanganya kuwa yeye ni zaidi ya cdm na anadai yy kwanza chama badae, nini maana yake. Yy nani kwenye chama, cdm ipo kwenye mioyo ya waTz na haifi km yy na magamba wanavyodai eti akifukuzwa itakuwa hivo. Magamba cwashangai lkn ikiwa kweli zzk anaamini hivyo atakuwa zuzu wa mwaka, acha cdm bwana ni makini na haifanyi uamuzi bila kufanya tafiti kwanza hasa impact yake kwa wananchi si kwa kundi la MMs na magamba ambao akili fupi km mkia wa sungura.
 
Zitto akifukuzwa mi nitalala baba siku hiyo kwa furaha nikisherekea kwa viroba.

Timua msaliti huyo......
 
Back
Top Bottom