Hao sukuma gang waliamini kuwa jiwe ndiyo kila kitu hapa nchini na ndiyo sababu walikwamisha mchakato wa katibaMarais ndio wananunua korosho? Au kwakuwa yeye alikuwa anaingilia kila jambo basi mnadhani kila rais anafanya huo upuuzi.
Meko alikuwa ibilisi sana ndo mana wakamdungaBaada ya serikali ya Jiwe kuingilia ununuzi wa korosho kutoka mtwara.
Kumbe ilikosa soko la kuuza baadhi ya korosho na kuamua kuzimwaga baharini kwa kuona aibu.
Mh Zzk ametufumbua macho sisi tuliopiga sana kelele juu ya Jiwe kuingilia ununuzi wa korosho.
Hii ni aibu kubwa sana kama taifayulijitafutia kwa uamuzi wa mtu mmoja tu
We ni mkabila na mdini. Una sumu mbaya mwilini na akilini mwako!Huyo mrundi udini unamtesa
Sure asee, imekuwa too much, haingii akilini et korosho zikamwagwe bahariniUmwage korosho baharini ili ugundue nn?kuna wakati hua nawaza km nati ktk kichwa cha mtu huyu zinafanya kazi.
Sawa umesikika, jibu hoja yake!!Huyo mrundi udini unamtesa
Teka, tesa, uaa!!Haituusuuuu
Aendelee tuuu nauchawa wake
Mbona Wakati Chuma yupo akudhubutu kufungua domo lake
Sasa kama mtu anaua watu ili asisemwe atashindwa vipi kumwaga korosho baharini kuepuka aibu???Umwage korosho baharini ili ugundue nn?kuna wakati hua nawaza km nati ktk kichwa cha mtu huyu zinafanya kazi.
Teka, tesa, uaa!!Uzuri ni kwamba jamaa ni mwoga sana..kipindi cha magu aliufyata.
#MaendeleoHayanaChama
We don't trust you na cheap politics zako,another drama reloaded......after kumwaga hizo korosho baharini then akafanya nini tena!
Drama since morning up to evening,na si mfanye kazi mmmscheeeew!
Hoja hujibiwa na hoja
Prove him wrong with facts and figures
alichomewa nyumbaMbona alimuita Magufuri mshamba hakuguswa? acheni porojo.
ulitaka apigwe risasi?Alipaswa aseme hayo kipindi hicho hicho muhusika yupo hai sasa hivi ni sawa na kumsimanga marehemu, akiambiwa kuhusu mama yake analia lakini wazazi wa wenzake anawasema.
Pesa za umma huwa zinachezewa snBaada ya serikali ya Jiwe kuingilia ununuzi wa korosho kutoka mtwara.
Kumbe ilikosa soko la kuuza baadhi ya korosho na kuamua kuzimwaga baharini kwa kuona aibu.
Mh Zzk ametufumbua macho sisi tuliopiga sana kelele juu ya Jiwe kuingilia ununuzi wa korosho.
Hii ni aibu kubwa sana kama taifayulijitafutia kwa uamuzi wa mtu mmoja tu.View attachment 2202765
Zitto ni mdini snJamaa vp huyu mbona ana hasira sana na marehemu huyu yan kila Sikh anadondosha moja,amwache kidogo shujaa wetu apumzike
Nyie thibitisheni kwa kuzionesha, au kuonesha documents mlipouza hizo tani za koroshoZitto athibitishe madai yake
sio kwa kuwa kuna watu mna chuki zenu zilizokithiri kwa JPM ndio tuamini kila kibaya kisemwacho dhidi yake
kama mnatenda haki igeni mfano wa Pohamba …maeneo aliyofanya vyema pia asifiwe
Sisi hatuna shida na Mrundi.Huyo mrundi udini unamtesa