Watu waliopinga kuteuliwa kwa Zito walikuwa na sababu gani za msingi? Maana si kila mmoja wetu (yaani watanzania ni mwenye roho ya ufisadi).
Ni kweli may be hiyo ndiyo ilikuwa lengo lakini kila kitu kinategemea moyo wa mtu binafsi.
Mi ninajua kama mtu ana moyo wa kifisadi hata kama hakuteuliwa kwenye kamati yoyote bado wanaweza kumnasa katika mtego mwingine kama hakuwa makini.
Haya ndiyo yaliyowakuwa wakina Kabarou na wenziwe.
"Jamani asiwadanganye mtu kuwa mimi ninaweza kununuliwa, kwani bei yangu haijulikani, na sitegemei kunyamaza kwa wote wanaoshiriki katika kutafuna rasilimali za nchi,"
Kumnunua mtu ni kuinunua akili yake,msimamo wake,imani yake ,ama ni kununua kitu gani?
Kumnunua mtu ni kuinunua akili yake,msimamo wake,imani yake ,ama ni kununua kitu gani?
Mushi tunafahamu Zito asingeweza kumpa huyo fisadi ripoti ile.Waliuliza kwasababu RIPOTI YA MADINI IKO KWA SICLAIR NA WATU WANAOIFAHAMU NI YEYE,KIKWETE,CHEYO,IDDI SIMBA,MARK BOMANI NA WANAKAMATI WENGINE WA MADINI.
Hivyo basi swali hilo la HUKO TANGA NI LA MSINGI.
Kwamba Zitto amelijibu VIZURI?
Well...Inategemeana na msimamo wako.
Msimamo wangu ni ISOMWE MARA MOJA!
Mushi tunafahamu Zito asingeweza kumpa huyo fisadi ripoti ile.
Aliyempatia ni muungwana. Maana ni marafiki wakubwa wale/
Zito kama angetaka kuitoa nina hakika basi angeliiweka hapa jf maana mara nyingi amefanya hivyo.Na kama yeye au mwanakamati mwingine yeyote angethubutu kuitoa basi ungesikia kelele za wakina nani yule waziri anayetetea siri za serikali? ni ajabu anashindwa kuuliza yule mzungu kapata wapi nyaraka ya siri ya serikali.
Hakuna mtu mwenye haja ya kumnunua Zitto, wa nini? Yeye ni mpiga makelele tu. Kuna anayeweza kutathmini objectively makelele yake tangu ayaanze yameweza vipi kubadilisha utendaji wa serikali?
Mkapa <-------> In his inaugural address to the new Bunge (Parliament), he renounced his right to be addressed as Mtukufu (His Excellency) the customary epithet preceding the title of President. "I am not his Excellency," he ruled. Five words, so casually spoken, flung a prized cloak of sham and hypocrisy into the fire. Sycophants lost one word from their dictionary, but the lala hoi (ordinary street people) simply loved it.
He followed this up almost immediately by making an unprecedented disclosure of his personal wealth. The President said he owned two houses - one of which he had taken a mortgage to build - four vehicles including a Mercedes Benz, a 10 acre farm, and an undeveloped three acre plot in Dar es Salaam. This gesture was also calculated to indicate an eagerness to clean up the corruption-ridden administration.
Press reaction was instant: "President Mkapa's decision to bare the details of his personal wealth deserves a round of applause. He has shown the way," commented an editorial in Majira, a mass circulation tabloid. "But while disclosure is fine, we need a commissioner of some kind to control, regulate and generally keep an eye on things to prevent leaders using their public office for personal gain and aggrandisement," the editorial continued.
From: African Business | Date: 2/1/1996 | Author: Yahya, Ahmed
Zitto mwenyewe ni member hapa hivyo ameisikia hii kauli yako na kwa ninavyofahamu hata yeye anaweza akawa anajuwa kuwa wewe ni Ballile...So anaweza kukujibu vizuri zaidi kwani mimi na wengineo tunakusikia kwa mbali tu kuwa umenunuliwa na MAFISADI mara baada ya kusomeshwa.
Watu kwa kuotea......yaani Zema kawa balille tena?Zitto mwenyewe ni member hapa hivyo ameisikia hii kauli yako na kwa ninavyofahamu hata yeye anaweza akawa anajuwa kuwa wewe ni Ballile...So anaweza kukujibu vizuri zaidi kwani mimi na wengineo tunakusikia kwa mbali tu kuwa umenunuliwa na MAFISADI mara baada ya kusomeshwa.