Zitto Kabwe: Sinunuliki

Hakuna mtu mwenye haja ya kumnunua Zitto, wa nini? Yeye ni mpiga makelele tu. Kuna anayeweza kutathmini objectively makelele yake tangu ayaanze yameweza vipi kubadilisha utendaji wa serikali?
Ndiyo mimi naweza kutathimini jinsi kelele zilivyoweza kubadilisha labda kama wewe huoni nitakuita kipofu
 
Zitto mwenyewe ni member hapa hivyo ameisikia hii kauli yako na kwa ninavyofahamu hata yeye anaweza akawa anajuwa kuwa wewe ni Ballile...So anaweza kukujibu vizuri zaidi kwani mimi na wengineo tunakusikia kwa mbali tu kuwa umenunuliwa na MAFISADI mara baada ya kusomeshwa.
Hivi Zemarcopolo kumbe ni Ballile?!!!! lini kaungana na mafisadi huyu? Na kwa faida ipi? ahhhhhhhhhhhh
 
Back
Top Bottom