Zitto Kabwe: Serikali ya awamu ya 5 acheni ushamba

Kuna hasara gani Taifa linapata, Mh Rais kwenda kupokea Ndege? Huko mheshimiwa Zitto Ni kukosa hoja. Nakukubali Sana mheshimiwa Zitto katika duru za kisiasa lkn mambo mengine jaribu kuyapuuza usilete au kuyatamka mbele ya umma, unapunguza credibility yako kwa watu wanaokukubali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Very soon watakuambia ni raia wa Rwanda wakunyang'anye na ubunge pia

Japo sina uhakika sana, labda lengo la Rais kufanya mapokezi makubwa ni kuufikishia habari umma wetu wajue assets ili wawe na nafasi kuhoji zikianza kupukutika, tunaambiwa Hayati Mwl. Nyerere aliacha ndege 14, lakini huko nyuma hatukuyajua hayo kwakuwa hazikuwa zinatajwa public.

Miaka hio sijui hata watu wangapi walikua na uwezo wa kupanda ndege labda senior govt officials,wafanyabiashara wachache na wageni maana hata leo ukiangalia treni za kwenda huko kigoma,mwanza,mpanda,kilimanjaro zinavyojaza watu nyomii kule 3rd class unajua kweli hali yetu kifedha si mchezo.
 
Lakini on a serious note mauzinduzi na mapokezi yamezidi sana awamu hii, zote hizi ni kodi za walala hoi zinateketezwa! Ule msururu wa wageni waalikwa wa jana hawakwenda pale bure. Tuna kiongozi mnafiki mno!

Wamiliki wa ma guest/lodge/hotels kule mwanza watakua wamepiga pesa sana sana wiki hii.
 
Mh Zitto amenena.
Mimi nimemuelewa.
Watanzania tumemuelewa.
Walengwa mjitafakari!


wewe ndo mshamba wa kwanza na haya maisha hayana formula usitake kuiga kila kitu yani maisha wanayoishi Rwanda na wewe ndo unataka uishi hayo???
Haiya rudi kwenu RWANDA tuache Tanzania na Misha yao
 
Kesho utamwona amependa ndege anaenda kigoma kupiga picha na Wananchi

Sisi Wananchi tunachukizwa sana na uwongo wa Zitto

Una shida ya kuelewa kilichoandikwa. Inawezekana umejaa chuki ya kupitiliza.

Mimi mwananchi nachukizwa sana na bajeti ya ndege kuwa kubwa zaidi ya kilimo.
 
Kabwe bonge la mshamba
 

Attachments

  • kagame1-1.jpg
    kagame1-1.jpg
    27.8 KB · Views: 1
Huwa analipa nauli yake kama ilivyo hata angepanda Precission au FastJet.Hilo la kupanda ndege Zitto haiwezi kuhalalisha ushamba wa serikali nzima na wakuu wa mihimili yake kujikusanya AirPort kila ndege inapopokelewa,
Kesho utamwona amependa ndege anaenda kigoma kupiga picha na Wananchi

Sisi Wananchi tunachukizwa sana na uwongo wa Zitto
[/QUO
 
Kwanza pesa zinazotumika kupokea ndege kwa wakuu wa nchi wote kuwa mwanza ni kama uhujumu uchumi

Halafu wako live kwenye maTV uku ndege baada ianzie kuchukua abiria pale mwanza eti inakuja dar na wana ccm!!

Hivi ATCL hawana office mwanza?

Hasara tumeshaingia kulipa mawakili kushindwa kesi kumlipa mkulima jamani hasara zingine tungezi-epuka!!

Hakuna hata umuhimu wa kuwa na Rais mwenye PhD na waziri wake wa mambo ya nje Profesor

Mimi na ka-degree kangu kamoja ningeweza kuongoza vizuri Tanzania na kuzuia mbwembwe na utoto unaoendelea majirani wanatucheka sana.
Hahahaha.

Wewe ukipewa nchi tunaisahau mwezi mmoja....itakuwa shamba la bibi.
 
Zitto bwana hajui sisi Tanzania kuwa na ndege ni muujiza. Kuna kipindi air Tanzania ilikuwa na ndege moja na inafanya kazi Kama kichaa ina mkurugenzi mkuu na wafanyakazi wengi tu. Sasa magufuli angalau katusaidia.

Unajua sisi tuliozaliwa familia masikini Kama zitto hata baba akileta kilo ya nyama tunashangilia bila kuangalia wengine.

Mimi nilipo nunua gari Aina ya mark two ukoo mzima ulisimama maana hakukuwa hata ukoo wa mababu aliyekuwa amefanya hivyo. Nilionekana shujaa, na kweli magufuli chuma.

Sembuse ndege za matrioni ya fedha tusishangilie Kama taifa eti kagame hakushangilia! Ebo vipi wewe mwana kigoma? Watanzania sehemu mbalimbali wanaitaji usafiri huu hili wafanye kazi kwa uhakika. Rwanda nchi ndogo ndani ya nchi sijui Kama wanaitaji Sana.
 
Back
Top Bottom