Zitto Kabwe ni Asset ya Rostam Aziz ya Muda Mrefu Kimsingi Kawauza Wenzie wa ACT

PhD

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2009
Posts
4,835
Reaction score
4,240
Bwana Zitto tangu akiwa chadema amekuwa akipata ufadhili wa kifedha wa Rostam. Uswahiba wao umeendelea zaidi hata wakati wa sakata la fedha za ESCROW ambapo zitto alikuwa upande wa Standard Chartered Hongkon yenye uhusiano na Rostam.

JPM hakumpenda zitto maana alimjua ipasavyo vile vile hakumpenda rostam sababu ya uwizi wake. Ila JPM aliwabana Rostam na Manji wakatubu kuwa wataacha wizi wa makaratasi. Bahati mbaya JPM akaanza kumkaribisha Rostam jirani yake. Haikuchukuwa muda akafa. Hii ni stori nyingine.

ACT ilianzishwa kwa ufadhiliwa Rostam na Lowasa na marehemu Filikunjombe. Kiliwekwa kama chama mbadala wakati wa uchaguzi wa 2015 ila mambo hayakutimia.

Luhaga Mpina ni swahiba wa zito na hata marehemu Filikunjombe. Rejea wakati wa Sakata la Escrow. Walikuwa wamoja.
Hivyo kwa hali ya sasa, zitto kwa kutumiwa na Rostam wamemuita mpina ku legitimize uchaguzi ili kumpa fursa Samia kuendelea kutawala.
Kimsingi akina Semu na Othman wameuzwa bila kujua. Zitto ni dalali.
 
Act kwa kweli ni changamoto, juzi tu 2020 walipokea mtu wa ccm siku mbili tatu akawalisha za uso! Leo hii wamepokea tena!.
Hamna namna itaachwa kutajea kama tawi la ccm
 
Ukiwaona wanavyotuhadaa wao ni wazalendo, utafikiria wako serious. Hawa wana siasa hawa..

Miaka kadhaa nyuma, Mtikila aliwahi kumsema vibaya RA. Akamwaga payroll ikaoneana na yeye yumo.

From there nikajua kelele zote zile ni za kipato....
 
Bwana Zitto tangu akiwa chadema amekuwa akipata ufadhili wa kifedha wa Rostam. Uswahiba wao umeendelea zaidi hata wakati wa sakata la fedha za ESCROW ambapo zitto alikuwa upande wa Standard Chartered Hongkon yenye uhusiano na Rostam.

JPM hakumpenda zitto maana alimjua ipasavyo vile vile hakumpenda rostam sababu ya uwizi wake. Ila JPM aliwabana Rostam na Manji wakatubu kuwa wataacha wizi wa makaratasi. Bahati mbaya JPM akaanza kumkaribisha Rostam jirani yake. Haikuchukuwa muda akafa. Hii ni stori nyingine.

ACT ilianzishwa kwa ufadhiliwa Rostam na Lowasa na marehemu Filikunjombe. Kiliwekwa kama chama mbadala wakati wa uchaguzi wa 2015 ila mambo hayakutimia.

Luhaga Mpina ni swahiba wa zito na hata marehemu Filikunjombe. Rejea wakati wa Sakata la Escrow. Walikuwa wamoja.
Hivyo kwa hali ya sasa, zitto kwa kutumiwa na Rostam wamemuita mpina ku legitimize uchaguzi ili kumpa fursa Samia kuendelea kutawala.
Kimsingi akina Semu na Othman wameuzwa bila kujua. Zitto ni dalali.
My 'like' is not endorsement
😀
 
TZ itakuwa salama siku 'NYINYIEMU' ikitoka madarakani.
 
Zitto ana malory ya kusafirisha mafuta . Kayapataje huyu wakati alitoka UDSM na jozi moja ya viatu???
Sintashangaa kukuta kwenye mashahidi wa siri wa kesi ya Lisu, Zito ni mmojawapo.
 
Kwakweli nilishangaa sana na mpaka sasa bado nashangaa kuona Sheikh Ponda na uzalendo wake wote wa kweli alionao aliamua kutimkia ACT 😭😭😭
Dini inanguvu na inaondoa uwezo wa kufikiri.ndugu zetu linapokuja swala la kum support muslim mwenzake au msabato mwenzake nyie wengine wote atawaona vikaragosi.

Ni waislamu au wasabato wachache sana ambao huchukulia jambo kwa tofauti likiwa upande wa muslim au msabato mwenzake.
 
Back
Top Bottom