kweli Zzk ni disaster na hafai kuaminiwa.
Kwa nini na yeye haondoki mwenyewe anasubiri atimuliwe?
Nafikiri ktk siasa zilizokomaa upinzani sio uadui wala siyo vita. Hivyo sioni sababu ya kuchukia kama hjyo dogo atakuwa amesafiri na mkulu wa nchi.
Acheni ushabiki usiokua na kichwa wala miguu...nini hasa unachoshabikia? nini ambacho unaona huyo jamaa atafanya...ni nini ambacho anafanya sasa hivi to convince u he's the right guy...mtakuja juta na decisions zenu ambazo hata hamfikirii vizuri...
Kwa nini lakini Zitto Kabwe hakubaliki ndani ya CDM.
Kwa nini lakini Zitto Kabwe hakubaliki ndani ya CDM.
mnamjadili huyu ndumilakuwili
Aondoke mbowe kwanza na genge lake
Alijipigia kampeni mwenyewe za urais?ugombea binafsi?ama una maanisha alijipigia kampeni za ubunge?swali langu kama hukulielewa,lilihusu kampeni za ugombea urais,ni kweli alimkampenia JK?ama ni uzushi tu?Alijipigia kampeni mwenyewe maana alikua na hali mbaya sana dhidi ya mgombea wa cuf,na pia nilimuona siku moja akimpigia kampeni mnyika pale ubungo,hilo naweza kulishuhudia.
Did you read and understand every thing I said? I yes, what is your argument?Kama hiyo ndiyo hoja yako, Chadema kuna waziri kivuli wa mambo ya nje mh wenje, Zitto ni mamluki jamani wala hafai nashangaa sana CDM inambeba mtu kama huyu.
mbona alienda hanang na mh rose kamili kwa m4c?mgawanyo wa majukumu wakuu!mleta uzi ana nia ya kutugombanisha wana cdm.
Mbona alienda hanang na mh rose kamili kwa M4C?mgawanyo wa majukumu wakuu!mleta uzi ana nia ya kutugombanisha wana cdm.
hilo halionekani,tatizo liko kwa zuberi anayeenda kwenye msiba
Alisema ana mzimikia sana dikteta meles zenawi,so mwacheni mfu akazike mfu mwenzie
Kwa nini lakini Zitto Kabwe hakubaliki ndani ya CDM.
kweli Zzk ni disaster na hafai kuaminiwa.