Zitto Kabwe: Nani anaongoza nchi yetu?

Zitto Kabwe: Nani anaongoza nchi yetu?

Tanzania kwa sasa inatawaliwa na Rais asiye heshimu, kutii na kuilinda Katiba ya JMT. Kila kitu kimewekwa wazi kwene Katiba ya nji kuhusu Afya ya Rais inapotetereka. Lakini Leo utawala huu wa CCM unataka kuwaaminisha Watz kuwa ati ni jambo la SIRI .....!!!!Ni upuuzi wa hali ya juu sana.
All Tanzanians have the right to know the health status of their beloved President to make it sound loud and clear....!!!
You are right.katiba imeeleza kabisa, lakini CCM wanapinga
 
Tuungane na mwenzetu Eddo Kumbwende kuomboleza msiba wa mama yake mzazi
 
CCM acheni tabia yenu ya kuficha ficha ugonjwa - ficha yote hapa duniani ruksha ila siyo maradhi - maana maradhi yana tabia ya kuumbua.

Watanzania hawa wanataka kujua:-

1. Je Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania yupo wapi?
2. Na ana hali gani kiafya?

Msipotuambia tunampango wa kwenda mahakamani kuiomba ili watanzania wote kwa pamoja tuanze kumsaka popote alipo - maana yeye ndiye tulimchagua awe kiongozi wetu sasa kwa nini mumfiche?
Mlimchagua au alijichagua!
 
Huyo Mzee Wa Tigray si unajua alivyo mnafiki.
Nyie ACT si ni sehemu ya serikali jamani au naota mpaka na mna makamo wa Rais! ina maana hata yeye Makamu wenu hajui Rais mwenzake alipo?
 
giphy.gif
 
Nyie ACT si ni sehemu ya serikali jamani au naota mpaka na mna makamo wa Rais! ina maana hata yeye Makamu wenu hajui Rais mwenzake alipo?
Nasikia mpaka MAJA mwenyewe hajui chochote!
 
Wengi humu ni wasomi wakubwa lakini ni wapumbavu tu mnaharakia nini kujua afya ya Mkuu wa nchi kuna mambo yamesmama kwani hayaendi kutokana na kutokuwepo kwake?
Msimalize maneno siku zote muda ni mwalimu mzur wakati utafika tutajua yote kuhusu mkuu wa nchi yetu nachomekea tu malizeni maneno alaf arudi chuma mtaeleza nini watu?
 
Acha blah blah nyingi Raisi yuko wapi?
 
Nyie ACT si ni sehemu ya serikali jamani au naota mpaka na mna makamo wa Rais! ina maana hata yeye Makamu wenu hajui Rais mwenzake alipo?
Ndugu yangu nasikitika kukujulisha kuwa unaota ndoto ya ajabu sana. Serikali ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania haina makamo wa rais kutoka ACT. Wapo makamo wawili wa rais Samia Suluhu na Kassim Majaaliwa wote ni wana CCM. Serikali ya mapinduzi Zanzibar ndio ina makamo wa kwanza kutoka ACT.

Sikulaamu kubabaika na hili kwani hili haliko wazi, ila makamu wa kwanza wa rais (ACT) zanzibar hana ubavu visiwani na seuze Tanzania kwa ujumla. Kwa ufupi ACT sio sehemu ya serikali ya Tanzania, ACT ni sehemu ndogo sana tu ya serikali ya Zanzibar. Kusema ukweli inawezekana hata Rais wa zanzibar asijue alipo rais wa Tanzania.
 
Namshukuru Mwenyezi Mungu Mkuu niko poa kabisa. Ulipotea jamvini Mkuu nimefurahi kukuona tena na natumai kila kitu kiko poa.
Jambo jema tumejaliwa uzima ndo muhimu sana .Nimerudi chief kila kipo poa kabisa tupo tunataka kujua taarifa sahihi alipo Raisi wetu .
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Nyie ACT si ni sehemu ya serikali jamani au naota mpaka na mna makamo wa Rais! ina maana hata yeye Makamu wenu hajui Rais mwenzake alipo?
ZZK Kasema wazi Rais anaumwa, lengo hapa ni haiko wazi kwa nn VP isiwe wazi kwa umma kwamba ndiye anayeiongoza nchi!!! Na hakuna official info kutoka kwa authority kuhusu hali ya Rais kwenda kwa wananchi...
 
Jee kwa taarifa hii Zitto nae atatafutwa na kushikwa na polisi, au ni wanyonge wa mitaani tu ndio haturuhusiwi kulizungumzia suali hili kwenye media?
 
Zitto bhana! Uambiwe na nani sasa hali ya Rais?

Waziri mkuu kasema yuko fiti
Makamu Rais kasema rais yuko fiti

Unataka uambiwe na nani sasa?

Huu upumbavu kumbe hadi kwa wasomi upo?
Wewe ndio hujui kitu!!waliotunga katiba walikuwa wanaona mbali sana!!kama hujui kitu juu ya katiba kaa kimya!!
 
Back
Top Bottom