IDEGENDA
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 4,492
- 5,345
Kwahiyo hii katiba yetu imekiukwa wapi? Kifungu gani cha katiba kimekiukwa?Wewe ndio hujui kitu!!waliotunga katiba walikuwa wanaona mbali sana!!kama hujui kitu juu ya katiba kaa kimya!!
Kwahiyo hii katiba yetu imekiukwa wapi? Kifungu gani cha katiba kimekiukwa?Wewe ndio hujui kitu!!waliotunga katiba walikuwa wanaona mbali sana!!kama hujui kitu juu ya katiba kaa kimya!!
Nikupe siri ndogo, wasomi hawaamini kila kitu kwa domo tupu, wanaamini ushahidi. Kwa sasa ushahidi walio nao unapeleka kuamini kuwa jiwe hayuko fiti. Ushahidi ni kama hivi hajaonekana kanisani wiki nne jambo ambalo sio kawaida yake, kashindwa kuhudhuria virtual meeting ya wakuu wa EAC jambo ambalo linashangaza kwa vile alikuwa akae tu kwake mbele ya computer na azungumze na wenzake, nini kilimzuia hapo? Hajazungumza na makamo wake wote wawili hadaharani, ilahali alikuwa na tabia ya kuwapigia simu viongozi wake wakiwa katika mikutano mbali mbali. Kushindwa kwa rais kuzungumza na taifa kwa kupitia tv na vyombo vyengine vya habari ili kuondoa wasi wasi uliopo nchini pia kuna leta proof kuwa lipo linalomsibu rais kwa wakati huu.Zitto bhana! Uambiwe na nani sasa hali ya Rais?
Waziri mkuu kasema yuko fiti
Makamu Rais kasema rais yuko fiti
Unataka uambiwe na nani sasa?
Huu upumbavu kumbe hadi kwa wasomi upo?
Ndio maana tunawaita wahuni,!Nikupe siri ndogo, wasomi hawaamini kila kitu kwa domo tupu, wanaamini ushahidi. Kwa sasa ushahidi walio nao unapeleka kuamini kuwa jiwe hayuko fiti. Ushahidi ni kama hivi hajaonekana kanisani wiki nne jambo ambalo sio kawaida yake, kashindwa kuhudhuria virtual meeting ya wakuu wa EAC jambo ambalo linashangaza kwa vile alikuwa akae tu kwake mbele ya computer na azungumze na wenzake, nini kilimzuia hapo? Hajazungumza na makamo wake wote wawili hadaharani, ilahali alikuwa na tabia ya kuwapigia simu viongozi wake wakiwa katika mikutano mbali mbali. Kushindwa kwa rais kuzungumza na taifa kwa kupitia tv na vyombo vyengine vya habari ili kuondoa wasi wasi uliopo nchini pia kuna leta proof kuwa lipo linalomsibu rais kwa wakati huu.

Jambo jema tumejaliwa uzima ndo muhimu sana .Nimerudi chief kila kipo poa kabisa tupo tunataka kujua taarifa sahihi alipo Raisi wetu .
Weka kifungu 😁Waache wafiche tu atakapokufa ndo watanyosha maelezo vizuri. Biblia inasema muovu akifa watu hupiga kelele.
HahahaNyie ACT si ni sehemu ya serikali jamani au naota mpaka na mna makamo wa Rais! ina maana hata yeye Makamu wenu hajui Rais mwenzake alipo?
Hapana huo ni ushahidi kuwa serikali inatudanganya! Ivi wewe kwa akili yako uliyonayo ni kwa nini unahisi Rais anashindwa kutoa official statement kwa wananchi wake ili kumaliza uvumi huu na kuondoa wasi wasi uliopo nchi nzima?Ndio maana tunawaita wahuni,!
Yani huo ndio ushahidi wa kwamba rais hayuko fit?
![]()
![]()
Machadema akili zenu mnapeleka wapi?
Mnapataa taaaaaaaaabuuuuuuu
Rais anatafutwa na wanaomchukia kuliko wanaompenda.
Jeshini wapi?Mwenyezi Mungu ashukuriwe sana. Ngoja tusubiri ila kule Twitter baadhi wanadai kuna heka heka kubwa jeshini kama vile wanajiandaa kwa shughuli maalum.
NCHI YETU IMEKUWA LAUGHING STOCK..Hii ni nchi ya ajabu sana..........
Eti mtu kuhoji tu hali ya afya ya Rais wetu kwa hivi sasa, anafunguliwa mashitaka ya jinai!
Wakati Katika ya nchi ipo wazi kabisa, katika ibara ya 18, inasema kila mwananchi anapaswa kupewa taarifa muhimu zinazohusu nchi yake
Mtateseka sana
Kama unataka kujua nani anaongoza, we tukana tu utaiona serikali
Kama vile hamna kazi ya kufanya, kutwa Rais yupo wapi? Kwani mmeambiwa kuna kitu kimekwama!
Yani atoe afficial statement sababu ya maneno ya wahuni wachache huko Twitter?Hapana huo ni ushahidi kuwa serikali inatudanganya! Ivi wewe kwa akili yako uliyonayo ni kwa nini unahisi Rais anashindwa kutoa official statement kwa wananchi wake ili kumaliza uvumi huu na kuondoa wasi wasi uliopo nchi nzima?
Hao wahuni ndio wamekuaminisha hayo sasa hivi?".....Ni hatari sana nchi kuongozwa na mtu asiyechaguliwa na wananchi..."
Kwa hili tu nimekwisha kuelewa...
Inaumiza akili sana kujua, kwamba, kumbe watu wanatumia mwanya huu huu wa "undefined presence" ya Rais Magufuli ambaye ndiye aliyechaguliwa na mwenye dhamana na nchi na taifa hili kwamba wameanza kusomba/kuiba fedha toka Benki Kuu (BoT)...
Kuna kila dalili kuwa wenzake haohao wa serikalini wanaweza kumuua Rais wetu....!!!
Hao wahuni ndio wanawaamisha hayo sasa hivi?Mwenyezi Mungu ashukuriwe sana. Ngoja tusubiri ila kule Twitter baadhi wanadai kuna heka heka kubwa jeshini kama vile wanajiandaa kwa shughuli maalum.
Kwani rais anatakiwa awe wapi?Mbona hasemi raisi Yuko wapi?
Wewe ndio mpumbavu+++
Na ukianza wewe kufa itakuwajeWaache wafiche tu atakapokufa ndo watanyosha maelezo vizuri. Biblia inasema muovu akifa watu hupiga kelele.
Hivi Zitto naye msomi?!Zitto bhana! Uambiwe na nani sasa hali ya Rais?
Waziri mkuu kasema yuko fiti
Makamu Rais kasema rais yuko fiti
Unataka uambiwe na nani sasa?
Huu upumbavu kumbe hadi kwa wasomi upo?