Zitto Kabwe: Nani anaongoza nchi yetu?

Zitto Kabwe: Nani anaongoza nchi yetu?

Jamani eeh briefcase zinauzwaje aisee zile kubwa kubwa zinazoweza kujaa mipesa hahahahahha
 
Kumbe wapinzani wanampenda Magufuli kiasi hiki?
Wengi inaonekana mna tatizo kubwa la uelewa na akili.

Hapa siyo suala la upendo. Hili ni duala la kikatiba. Kama Raos anaumwa kiasi cha kutokuwa kwenye nafasi ya kufanya maamuxi, watu wengine wanaweza kuotumia nafasi hiyo kuleta maangamizi au hasara kwa Taifa.
 
Kwani sisi tulimchagua Waziri Mkuu? Kama Rais yupo fit, kuna haja hani ya kusemewa na mtu mwingine?

Nchi hii ina wajinga wengi. Maswali ya msingi ya wenye akili, wajinga wanataka kuyajibu kijinga.
Rais hawezi kupoteza muda wa kujibizani na wahuni wachache waliokosa kazi za kufanya, ana mambo mengi ya kulifanyia taifa hili, hilo la kuwajibu wahuni si sehemu ya mambo hayo.

Acha wahuni walioko huko Twitter waendelee na uhuni wao.
 
Kwani hakuna likizo ya rais ata ka mwezi kamoja hivi? fanyeni subira
 
Wengi inaonekana mna tatizo kubwa la uelewa na akili.

Hapa siyo suala la upendo. Hili ni duala la kikatiba. Kama Raos anaumwa kiasi cha kutokuwa kwenye nafasi ya kufanya maamuxi, watu wengine wanaweza kuotumia nafasi hiyo kuleta maangamizi au hasara kwa Taifa.
Sasa wewe mbona ndio una tataizo la akili?

Umeambiwa na waziri mkuu pamona na makamu rais kwamba rais haumwi! Wewe umekomaa tu katiba inasema hivi, sasa hapo mwenye upungufu wa akili ni nani?
 
Sasa kama waziri mkuu keshatoa hilo tamko ina maana Zitto hajui anayeongoza nchi nani? Ni Dk Magufuli aliyeongea na Waziri Mkuu
Hatutakiwi kudaka maneno tu bila ya uthibitisho. Kama afya ya Rais siyo nzuri kiasi cha kutokuea na uwezo wa kuisimamia Serikali, watu wengine wanaweza kuutumia mwanya huo kuleta uharibifu.
 
Mimi nichukua point moja tuu.ikiwa wanaokaimu

Mimi nina hofu ya kitu kimoja tuu,kuhusu upigaji ktk kipindi hiki ambapo raisi hafanyi ziara.Maana wale vigogo wamaweza fanya miamala ya hovyo kabisa kwenye mahela ya umma
Si wazuie transaction zozote na malipo yote ... Zaidi spending za kawaida kama mishahara n.k ambazo zinajulikana
 
Una hasira sana na umepanic vibaya mno! Utakufa kabla ya muda nyau we!

Yani unataka kila nyie wahuni mkihoji rais yuko wapi aje kuwajibu nipo? Pumbavuuu...

Nkishakwambia hata mhuni mwennzenu amterdam alimwandikia vibarua vingi sana lakini hakuna hata mwenyekiti wa kijiji akijitokeza kujibu! Sembuse nyie wahuni tunawajua kabisa?
Mie nikipanic ninatisha km huamini kaulizie hao ma ccm. Usingekaa humu!

Aliye panic ni wewe mfuta vumbi wa lumumba unatukana hovyo mpaka nababa zako unatukana tu au laana inakusumbua.
Tena nakuongezea na laana nyingine hizoooo! Utatukana mpaka namakalio yako ken..e wee! na bado tunawasha moto tutaanza na wewe humuJf.

Kwani mie ndo nimemrogaaa? Tabia zake na nyie zimemponza sasa mna hasira na kila mtu wembe ni uleule.....tusingekuwa sisi usingekuja humu nyam.....f
 
Rais anatafutwa na wanaomchukia kuliko wanaompenda.
Kwani jambazi lilokubuhu la Mtaani au Kijijini kwako likipotea ghafla Wakazi hawaulizani liliko ili wajue kama limehama wapate kupumua na kulala salama au kama limekufa wacheze ndombolo wakifurahi kuwa amani sasa imekuja mpaka jingine lijitokeze? MaCCm wanadai Rais ni Binadamu anaweza kukosea lakini hayohayo hayataki kukiri kuwa anaweza kuugua na kufa pia kama Binadamu wengine. Ukimya huu ni muujiza unasubiriwa au uongo unatafutwa wa kuwaambia wananchi!
 
Rais hawezi kupoteza muda wa kujibizani na wahuni wachache waliokosa kazi za kufanya, ana mambo mengi ya kulifanyia taifa hili, hilo la kuwajibu wahuni si sehemu ya mambo hayo.

Acha wahuni walioko huko Twitter waendelee na uhuni wao.
Uhuni ni kumsemea Rais ambaye hajakutuma uje kusema anapoteza mda kuzungumzia Afya yake, kwani kikwete nyerere mkapa waliugua na kutibiwa kwa uwazi hawakuwa na mambo mengi ya kufanya? Uhuni ni kuwaza uteuzi pasipo kuzingatia kuwa Nchi imeruhusu mijadala isiyo rasmi mitaani majumbani kazini kila kona ya Nchi, kuficha ficha Usiri juu ya afya ya Rais ndiyo uhuni kama ulikuwa hujui.
 
Si wazuie transaction zozote na malipo yote ... Zaidi spending za kawaida kama mishahara n.k ambazo zinajulikana
Labda hiyo amri inatakiwa atoe nani?na kwa mamlaka ya nani?

Honestly speaking,unaweza ukatokea upigaji mkubwa au pia siyo upigaji tuu hata kusimamishwa kwa baadhi ya miamala ya mhimu kiasi ikaleta ucheleweshwaji wa mambo mhimu.Hasa hizo kandarasi kubwa kubwa zinazoendelea.Kama zilikuwa na mkono wa raisi halafu labda raisi ikawa ni kweli hayupo kazini kwa sasa,nani atatoa maamuzi
 
Tukuulize wewe Mtanganyika unayeongoza Zanzibar,nani anaongoza Tanganyika kwa sasa??
Unamaanisha Maalim Seif kwa upendo kwa wazanzibari aliwasaliti na kuungana na mtanganyika kuwa RAIS.na kumwagia sifa kedeksede za ubora!
 
Hii ficha ficha Usiri juu ya alipo magufuli haina tija kwa Taifa licha ya wasaka uteuzi na wanufaika wa utawala huu kujawa na pressure endapo mambo yatakuwa kinyume na matarajio yao , wengi na hasa wale waliotumia madaraka yao vibaya kuwapora wafanyabiashara mali zao na uonevu unyanyasaji mwingineo kibao wamejawa na hofu kubwa mno na ndiyo wapo busy kupingana na Zito kabwe
 
Uhuni ni kumsemea Rais ambaye hajakutuma uje kusema anapoteza mda kuzungumzia Afya yake, kwani kikwete nyerere mkapa waliugua na kutibiwa kwa uwazi hawakuwa na mambo mengi ya kufanya? Uhuni ni kuwaza uteuzi pasipo kuzingatia kuwa Nchi imeruhusu mijadala isiyo rasmi mitaani majumbani kazini kila kona ya Nchi, kuficha ficha Usiri juu ya afya ya Rais ndiyo uhuni kama ulikuwa hujui.
Uhuni ni kusema rais anaumwa wakati huna hakuna popote imetangazwa anaumwa!

Uhuni zaidi ni kulazimisha mamlaka ziseme rais anaumwa sababu kuna mhuni mmoja yuko ubelegiji kasema rais anaumwa!

Kamwe uhuni wa hivyo hauwezi kuabududiwa na sekikali inayojitambua
 
Kwa hiyo kuna tetesi kuna "watu" kwa kofia ya mamlaka ya Rais washaanza kwapua hazina za nchi huko BOT!!!

Nafikiri kila kitu kiko documented, hata hizi tetesi zikiwa kweli watasakwa tu, na ikiwa kweli Mzee wetu mpendwa ni mgonjwa basi siku akirejea ofisini watazitapika.

Magenge kwa sasa ktk Tanzania yetu hayafugiki, haijalishi ni nani na kwa uhusiano gani!
wakwapue tu km wanaogopa wanipe mimi. Tena simkimbii huyo jiwe namroga tu anakuwa jiwe mara mbili.
Yeye mwenyewe anasalim amri au akinifunga jela.usiku nalala kwake yeye namweka jela. Asubuhi naenda mimi hivohivo mpaka achakae

Km hapa kachezewa na wachawi wamempa covid lenyewe hasa akalivuta. Jiwe ni mweupe na mwepesi sana hana lolote!
 
Hii ficha ficha Usiri juu ya alipo magufuli haina tija kwa Taifa licha ya wasaka uteuzi na wanufaika wa utawala huu kujawa na pressure endapo mambo yatakuwa kinyume na matarajio yao , wengi na hasa wale waliotumia madaraka yao vibaya kuwapora wafanyabiashara mali zao na uonevu unyanyasaji mwingineo kibao wamejawa na hofu kubwa mno na ndiyo wapo busy kupingana na Zito kabwe
Kwani Magufuli anatakiwa kuwa wapi?
 
Back
Top Bottom