Kwani ni nani aliesema Rais anaumwa? Hao waliosema anaumwa ndo wanatakiwa wathibitishe kauli zao.CCM acheni tabia yenu ya kuficha ficha ugonjwa - ficha yote hapa duniani ruksha ila siyo maradhi - maana maradhi yana tabia ya kuumbua.
Watanzania hawa wanataka kujua:-
1. Je Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania yupo wapi?
2. Na ana hali gani kiafya?
Msipotuambia tunampango wa kwenda mahakamani kuiomba ili watanzania wote kwa pamoja tuanze kumsaka popote alipo - maana yeye ndiye tulimchagua awe kiongozi wetu sasa kwa nini mumfiche?
kwa hiyo unataka kuwaambia nini umma wa watanzania wenye shauku ya kujua Rais wao aliko kwa hizi wiki mbili na ushee with no seen.Kwani ni nani aliesema Rais anaumwa? Hao waliosema anaumwa ndo wanatakiwa wathibitishe kauli zao.
Hata mimi nashangaaRais anatafutwa na wanaomchukia kuliko wanaompenda.
Akirudi kutoka wapi?Endeleeni kuhangaika siku akirudi mtashika nyusho zenu kwa aibu kuu
Tofautisha kuhoji na kutoa taarifa ambazo hazina uthibitishoHii ni nchi ya ajabu sana..........
Eti mtu kuhoji tu hali ya afya ya Rais wetu kwa hivi sasa, anafunguliwa mashitaka ya jinai!
Wakati Katika ya nchi ipo wazi kabisa, katika ibara ya 18, inasema kila mwananchi anapaswa kupewa taarifa muhimu zinazohusu nchi yake
Mimi siyo mpuuzi! Wala muhuni!! Ukipuuza hekima adimu hiyo ni wewe!! Hainihusu!!Wahuni tumewapuuza tu!
Hata wale wahuni wenzenu upande ule tumewapuuza!
![]()
Eti unaanza na mimi!
Usinitolee mimi mipovu yako humu sikukutuma uwe shabiki wa lile jitu kule kwa amsterdam.
Kwa hiyo tukae tu wakati mtu haonekani? tunawaaminije wapambe wake? kama wamemdhuru ama wamemficha kwa sababu zao binafsi - watanzania sisi tukae kimya tu - Haiwezekani, huyu ni Rais wetu lazima tujue where the about zake - katiba yetu pia inaturuhusu kufanya hivyo.Watanzania tunakomeshwa tulivyozoea umbeya sijapata ona.Ebu tufanye kazi kwanza,Kama anaumwa tutajua tu huwa mwenyewe hanaga siri atatoka uko atatusema kwa kejeli mpaka basi yaani mpaka mfurahi .Muda ni jawabu la kila kitu ,wakitaka kumfisha mpaka 2025 sawa wakitaka kumchomoa sawa wakitaka kumficha sawa.Sisi tuangalie mambo yetu jamani kama hawataki kusema.Halafu shida ya yake ni kuwa hapendi kutangaziwa udhaifu ndio maana kila kitu lazima asifiwe so sio rahisi wakatangaza kitu chochote ambacho sio afya au sifa kwake.Mumzoeee tu mpaka mitano mingine iishe na sasa tunataka tumwongezee mingine saba.CCM oyeee ,yaani nao wanateseka kupata udaku kama wewe na mimi
Waziri mkuu kasema yupo ikulu anachapa kazi, unataka uambiwe na Nani Tena?hoja yako ni dhaifu sana, Tuambieni Rais wa JMT leo ni ya 17 yupo wapi??
Umeulizwa kuna mahali katoba imevunjwa? Toa evidenceTatizo Ni kama umezoea kuivunja hata ikivunjika haitokuwa ishu kwako
nyumbani kwake chamwinoKwani Magufuli anatakiwa kuwa wapi?
Hivi wewe una akili kweli? sio muhimu nani alianzisha hili suali, ukweli ni kuwa Tanzania yote kwa sasa inajadili suali hili, Magufuli ni rais wa Tanzania, na kama kuna uvumi kama huu ni wajibu wake kuwaweka sawa wananchi wake. huko nyuma kushatokea uvumi mara nyingi tu na magufuli hakuchelewa kuzimavumizi zote. sasa leo ni kwa nini anashindwa kufanya the same?Yani atoe afficial statement sababu ya maneno ya wahuni wachache huko Twitter?
Ulivyo kiazi sasa, waziri mkuu kasema, makamu rais kasema ila hutaki kuwaamini badala yake unawaamini wahuni toka ubelgiji.
Ujinga ujinga t
hkn mahali walipotangaza Rais anaumwa.Uhuni ni kusema rais anaumwa wakati huna hakuna popote imetangazwa anaumwa!
Uhuni zaidi ni kulazimisha mamlaka ziseme rais anaumwa sababu kuna mhuni mmoja yuko ubelegiji kasema rais anaumwa!
Kamwe uhuni wa hivyo hauwezi kuabududiwa na sekikali inayojitambua
Wajinga mko wengi sana kwahiyo wee ukishaambiwa basi imetosha hutaki hata kusumbua akili yako kujilidhishaZitto bhana! Uambiwe na nani sasa hali ya Rais?
Waziri mkuu kasema yuko fiti
Makamu Rais kasema rais yuko fiti
Unataka uambiwe na nani sasa?
Huu upumbavu kumbe hadi kwa wasomi upo?
Zitto bhana! Uambiwe na nani sasa hali ya Rais?
Waziri mkuu kasema yuko fiti
Makamu Rais kasema rais yuko fiti
Unataka uambiwe na nani sasa?
Huu upumbavu kumbe hadi kwa wasomi upo?