Wewe ndiyo mpumbavu. Kwanini huyo Rais asemewe na watu wengine hana muromo?? Nakuuliza weye hana huo mromo??Zitto bhana! Uambiwe na nani sasa hali ya Rais?
Waziri mkuu kasema yuko fiti
Makamu Rais kasema rais yuko fiti
Unataka uambiwe na nani sasa?
Huu upumbavu kumbe hadi kwa wasomi upo?
Tanzania kwa sasa inatawaliwa na Rais asiye heshimu, kutii na kuilinda Katiba ya JMT. Kila kitu kimewekwa wazi kwene Katiba ya nji kuhusu Afya ya Rais inapotetereka. Lakini Leo utawala huu wa CCM unataka kuwaaminisha Watz kuwa ati ni jambo la SIRI .....!!!!Ni upuuzi wa hali ya juu sana.Waache wafiche tu atakapokufa ndo watanyosha maelezo vizuri.Biblia inasema Mwovu akifa watu hupiga kelele.
Naona Msukuma unatetea nafasi yako. Yaani nyie ni kuwafyeka tuu baada ya kuzika.Nyie wapinzani wapumbavu sana hasa Lissu
Juzi mmesema Rais amelazwa nchini Kenya, mara amepelewa India ,mara amekufa.Pumbafu kabisa.
Leo mmekuja na ngojera Nyengine mara Yuko paralysed one side .Pumbafu sana nyie.hamna akili kabisa.we watch you .nchi Nyengine watu kama nyie mnafuatwa Huko mliko.
ili aje atumbue majipu yanayouma.
nakwambia mimi nitaanza na bombardier chato kuzika.Naona Msukuma unatetea nafasi yako. Yaani nyie ni kuwafyeka tuu baada ya kuzika.
si amejificha ficha yaani anaogopa wapinzani kishenzi!!Nyie ACT si ni sehemu ya serikali jamani au naota mpaka na mna makamo wa Rais! ina maana hata yeye Makamu wenu hajui Rais mwenzake alipo?
Hiyo tetesi ya kupooza mwili umeisoma wapi,mbona haipo kwenye barua ya Zito. Kama ni hivyo huo ugonjwa hata raisi wa Nigeria ulimpata na akakaa njee zaidi ya miezi 3 na baadae alirudi na bado anaongoza.Nyie wapinzani wapumbavu sana hasa Lissu
Juzi mmesema Rais amelazwa nchini Kenya, mara amepelewa India ,mara amekufa.Pumbafu kabisa.
Leo mmekuja na ngojera Nyengine mara Yuko paralysed one side .Pumbafu sana nyie.hamna akili kabisa.we watch you .nchi Nyengine watu kama nyie mnafuatwa Huko mliko.
tumia akili Mwanadamu ni wewe pia je huna akili? Akili niBinadamu ni kinyonga.
Ukila dagaa atakusema umeishiwa,ukila nyama atakusema kuwa unaringa ☹️☹️
Una hasira sana na umepanic vibaya mno! Utakufa kabla ya muda nyau we!wewe ndiyo mpumbavu. Kwanini huyo Rais asemewe na watu wengine hana muromo?? Nakuuliza weye hana huo mromo??
Anaogopa watu siku hizi??? Au kuna dhambi inamtafuna Rais mafichoni???
Kutekateka watu hovyo!!! Yana mwisho hayo bora angeenda tu kwa shetani ajue moja.lkn mara kwa Mungu mara kwa shetani ooohoo! Wafuta vumbi zenu zinahesabika! Zunu siku!! Muanzege kulia tu!!!
We ni kajinga sana katiba ndio inatoa hayo maelekezoZitto bhana! Uambiwe na nani sasa hali ya Rais?
Waziri mkuu kasema yuko fiti
Makamu Rais kasema rais yuko fiti
Unataka uambiwe na nani sasa?
Huu upumbavu kumbe hadi kwa wasomi upo?
sasa usiwe na tabia kama za wahuni wenzio huko Twitter! Katiba inatoa maelekezo kwamba nini?We ni kajinga sana katiba ndio inatoa hayo maelekezo
Hahaahhahaahaha kama nmekusoma hivi !! HahahahWatu wanafanya yao
Nalog off
hawaja kabidhiana limbwata la Mwenge sasa wakisema bila kujua nani analo mkononi tanzania damu itamwagika sana.Ujinga ujinga tuu, kama ni mzima si atokee aseme , kama ni mugonjwa si mtwambie , kama amekufa si mseme ( kwenye kifo tutawashangaa sababu mlikaa kimya kipindi akipigania uhai kitandani) ....hii dunia ya Mungu watu wanapita na kuiacha , baada ya miaka 100 ijayo wote tunaocomment na kusoma news humu + waliozaliwa leo sote tutakuwa kaburini ....... Kama mtu yupo mahututi semeni ili akifa tusishangae ,..., wenye kulia tutalia na wenye kucheka watacheka..hata hvyo maisha lazima yaendeleee tuu
Acha kujitoa akilisasa usiwe na tabia kama za wahuni wenzio huko Twitter! Katiba inatoa maelekezo kwamba nini?
Kwani sisi tulimchagua Waziri Mkuu? Kama Rais yupo fit, kuna haja hani ya kusemewa na mtu mwingine?Zitto bhana! Uambiwe na nani sasa hali ya Rais?
Waziri mkuu kasema yuko fiti
Makamu Rais kasema rais yuko fiti
Unataka uambiwe na nani sasa?
Huu upumbavu kumbe hadi kwa wasomi upo?