Zitto Kabwe: Nani anaongoza nchi yetu?

Zitto Kabwe: Nani anaongoza nchi yetu?

Hiyo tetesi ya kupooza mwili umeisoma wapi,mbona haipo kwenye barua ya Zito. Kama ni hivyo huo ugonjwa hata raisi wa Nigeria ulimpata na akakaa njee zaidi ya miezi 3 na baadae alirudi na bado anaongoza.
Kuumwa ni kawaida kwa binadamu lakini kwa hali ya dunia kwa sasa na misimamo ya Tanzania wengi wangependa wasikie anaumwa au hata amekufa kwa covid.Hiki kitu kikitokea itakuwa ni hasara na dhihaka kubwa kwa Tanzania hata kama hayo mataifa makubwa na madogo kwa sasa yapo karibu kuchukua msimamo wa Tanzania kuhusu corona kutokana na matatizo ya chanjo zisizoeleweka.
Kwa maana hiyo watanzania tuombe sana raisi wetu apone na haya maradhi nayo yapotee moja kwa moja tubaki na afya nzuri kujenga taifa na tubaki na heshima na kumtukuza Allah subhaanahu wa taala kwa uwezo wake na usikivu wake.
Habari za kupooza kazileta Tundu Tundu Lissu. Sijui kaziokota wapi. Fuatilia twitter yake.mpaka nasikia hasira .
 
Mie nikipanic ninatisha km huamini kaulizie hao ma ccm. Usingekaa humu!

Aliye panic ni wewe mfuta vumbi wa lumumba unatukana hovyo mpaka nababa zako unatukana tu au laana inakusumbua.
Tena nakuongezea na laana nyingine hizoooo! Utatukana mpaka namakalio yako ken..e wee! na bado tunawasha moto tutaanza na wewe humuJf.

Kwani mie ndo nimemrogaaa? Tabia zake na nyie zimemponza sasa mna hasira na kila mtu wembe ni uleule.....tusingekuwa sisi usingekuja humu nyam.....f
Wahuni tumewapuuza tu!

Hata wale wahuni wenzenu upande ule tumewapuuza!

Eti unaanza na mimi!

Usinitolee mimi mipovu yako humu sikukutuma uwe shabiki wa lile jitu kule kwa amsterdam.
 
Habari za kupooza kazileta Tundu Tundu Lissu. Sijui kaziokota wapi. Fuatilia twitter yake.mpaka nasikia hasira .

Lilisema yuko Nairobi, mara india, mara china, mara mzena hospital mara ujerumani na misukule yake ikawa inashangilia tu bila hata kureason
 
Lile zezeta lisikutie hasira mkuu

Lilisema yuko Nairobi, mara india, mara china, mara mzena hospital mara ujerumani na misukule yake ikawa inashangilia tu bila hata kureason
Kwakwel na mimi katika kipindi ambacho nimemuona Lissu ni punguwan na mpumbavu nikwenye tamko lake juu ya afya ya Rais....nimemshusha vyeo sana sana sana
 
Zitto bhana! Uambiwe na nani sasa hali ya Rais?

Waziri mkuu kasema yuko fiti
Makamu Rais kasema rais yuko fiti

Unataka uambiwe na nani sasa?

Huu upumbavu kumbe hadi kwa wasomi upo?
Kama yupo fiti na si tumuone basi, mbona wao tunawaona?
 
Kwakwel na mimi katika kipindi ambacho nimemuona Lissu ni punguwan na mpumbavu nikwenye tamko lake juu ya afya ya Rais....nimemshusha vyeo sana sana sana
Ila ningekuelewa vema kama pia ungechukizwa kwa kumwona kiongozi wa taifa akidai kuwa watu wanaompinga wanafaa kupotezwa. Na kweli tumeshuhudia kipindi hiki wakipotea watu wengi waliokuwa wakosoaji wa serikali.

Tusisahau; apandacho mtu, ndicho atakachovuna.
 
Umuone?

Yani kila mtu akizusha rais anaumwa atokee mumuone?
Sio kwamba atokee, ila tungemuona kama tunavyowaona makamu wa rais (ziara za hapa na pale, na kusimama njiani) na waziri mkuu (msikitini).
 
Ila ningekuelewa vema kama pia ungechukizwa kwa kumwona kiongozi wa taifa akidai kuwa watu wanaompinga wanafaa kupotezwa. Na kweli tumeshuhudia kipindi hiki wakipotea watu wengi waliokuwa wakosoaji wa serikali.

Tusisahau; apandacho mtu, ndicho atakachovuna.
Hili la Jiwe kwakwel nachukizwa na Mengi...Lakin someone else's misconducts hazitakiwi ku temper with ur own credibility.Just maintain ur intergrity dats ol
 
Nikizifikiria mateso vifo ,mateso waliyofanyiwa wananchi wa Zanzibar hususan Pemba,ukimuangalia Jusa wamempa kilema,ukimtazama yule mzee wa Histroria wamempoteza na mauaji kibao katika uchaguzi uliopita,msifikiri dua zao zimebuma,Dua za aliedhulumiwa hazirudi zinajibiwa tu,
Haya sijui tuseme sasa ni mateso kwa wahusika au kwa nchi nzima,CCM inabidi mtubu ,mnaona kama mnapuyanga kwa raha zenu,kumbukeni tu adhabu ya Mwenyezi Mungu ina rangi nyingi.
Husein Mwinyi itasha mkutano Unguja na Pemba kwa siku mbali mbali uwaombe radhi WaZanzibar na uwaombe msamaha wa dhati kabisa.kweli Maalim Seif ameridhia makubaliano na kutaka umoja,ila dua zilikwisha ombwa ,hivyo wahi kabla hujachelewa kuwaomba waZanzibar au hata humo misikitini unamopita pita,watu bado wanamajonzi makuu,wanacheka wanafurahi lakini moyoni mawazo huwajia na kusononeka.
Usione shida watakufahamu Waombe radhi WaZanzibari ,umeuona mapokezi ya Msiba wa Maalim Seif, WaZanzibari karibia wote walijawa na majonzi makubwa sana sana,sio wa misikitini wala wa makanisani. Kwa maana hio CCM Zanzibar haikuwepo na haitakuwepo. Mkabili Mwenyezi Mungu umueleze unataka kuwaomba radhi waZzanzibar ,uzidi kubarikiwa.
Hapa tupate fundisho la haja ya mtu kuishi vizuri na watu. Unaweza kuwa kiongozi mzuri mwenye kusimamia maadili yote na bado ukawa kipenzi cha watu. Ukali usio na busara ni uharibifu na chukizo.
 
Nyie wapinzani wapumbavu sana hasa Lissu

Juzi mmesema Rais amelazwa nchini Kenya, mara amepelewa India ,mara amekufa.Pumbafu kabisa.

Leo mmekuja na ngojera Nyengine mara Yuko paralysed one side .Pumbafu sana nyie.hamna akili kabisa.we watch you .nchi Nyengine watu kama nyie mnafuatwa Huko mliko.
Wanatoa taarifa sehemu alipo halafu hapohapo wanaulizia yuko wapi
 
Back
Top Bottom