Zitto Kabwe na Vicky Kamata mwacheni hayati Magufuli apumzike kwa amani huko mbinguni

Huyo vick kamata ukitaka kujua mtu wa aina gani uliza alivyoibuka kwenye siasa. Magufuli hapendwi na wababaishaji, watu vyeti feki na fisadi. Mijizi na washirika wao kama akina vicky ndio wanajitahidi kuchafua heshima ya magufuli. Hapo ukimuuliza vick kama katunga wimbo kumsifu magufuli hakosi nyimbo yet amekufa anasema maneno ya kuwaudhi watu ili kuwapendeza vigogo wapigaji.
 

Magufuli huko aliko hawezi kuachwa apumzike kwasababu ameacha majeraha makubwa sana huku nyuma! As you know AFRICANS have to work as ANCESTORS even after death.
 
Yuko mbingu ipi mkuu
 
Mmbinguni kwa baba yupi? Hata mlangoni tu hatapaona. Anaeua kwa panga auawe kwa panga.
 
Chances za Mwendakuzimu kuwa Motoni ni Kubwa sana
 
Kwani unauhakika yuko mbinguni? Mtu akifa anaenda wapi?

Azori, Beni saanane nk nao sijui watakuwa wapi. Japo nasikia ukitenda mema utafika mbinguni.
Sasa hawa akinasaanane wanaweza kuwa kikwazo kwake uliemtaja.

Du! Maisha safafari ndefu. Huojui kesho yako na unataka wapangia wengine kesho yao.
 
Hayuko mbinguni yuko jehanamu.
 
Ukipakwa mafuta matakatifu kabla ya kifo unapata msamaha wa dhambi zako zote unazozifahamu na usizozifahamu.

Hayati Magufuli alipatiwa sakramenti hii na kardinali Pengo!
Ukitubu kwa Mungu peke yake na kumukubali Yesu kuwa Bwana wako binafsi na mwokozi wa maisha yako ndo unapata msamaha, hata upakwe mafuta Mara mia bila kutubu unaenda kuzimu tu!

Mafuta biblia iliagiza wapakwe watu kwa ajili ya uponyaji na mambo mengine na mafuta sio sakrament!

BTW zile DKK za kuondoka ni siri kati ya MTU na Mungu wake,wapo wengi tu wanapata neema ya kutubu kabla hawajaondoka!
Who knows hata yeye anaweza kuwa mmoja wao,Mungu sio mwanadamu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sakramenti ya kitubio mtu awapo kufani hupakwa mafuta!

Karibu tena.
 
Hiyo mbingu aliyopo labda ni mbingu ya Chato
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…