Zitto Kabwe na Vicky Kamata mwacheni hayati Magufuli apumzike kwa amani huko mbinguni

Hawa ndio team Msonga originally

Pumbavu zao shamba la Bibi!!!!
We jamaa ulikuwa unamponda Sana Magufuli Ila sasa hivi umekuwa mpiga debe wake mkubwa ..

Aiseh watanzania sijui unafiki tumeutoa wapi?



 
Umenichekesha, apumzke mbinguni kwa baba, ulienda au uliwahi kufika huko ukahakiksha yupo, au una jua aliko kwa sasa.?! embu muwe mnaficha upumbavu wenu.
Angesema kuzimu ungekenua mpaka jino la mwisho as if wewe huko ulikwenda na kuthibitisha kama kupo…. Kubwa jinga..
 
Umelazimishwa kuwasikiliza? 🙄
Usipotoshe wanasiasa wetu wenye nafasi ya ushawishi.

Haujengi, bali unajaribu kuwabomoa na kulibomoa Taifa la Tanzania.

Wanyooshe wanasiasa hawa katika njia iliyobora kuelekea kuiletea maendeleo ya kweli Tanzania na watu wake.
 
Usipotoshe wanasiasa wetu wenye nafasi ya ushawishi.

Haujengi, bali unajaribu kuwabomoa na kulibomoa Taifa la Tanzania.

Wanyooshe wanasiasa hawa katika njia iliyobora kuelekea kuiletea maendeleo ya kweli Tanzania na watu wake.
Zzk hajawahi kuwa mwana siasa mwenye ushawishi hata siku moja.

Sema unamtetea zzk kwa sababu ni mwana ccm mwenzenu.
 

Hata Iddi Amini, Hitler, Mussolini, na wengi wa namna hiyo hawatakaa wapumzike kwa amani.



Umeishi kidhwalimu unapumzika vipi kwa amani?

Somo kwa wote wenye tabia kama zake, hawatakaa wapumzike kwa amani.
 
Ukipakwa mafuta matakatifu kabla ya kifo unapata msamaha wa dhambi zako zote unazozifahamu na usizozifahamu.

Hayati Magufuli alipatiwa sakramenti hii na kardinali Pengo!
Yupo matoharani ama mbinguni!? Basi mchakato wa kidini wa kumfanya awe mwenye heri uanze mara moja, ikiwa kama njia ya kutaka kumtakatifuza.
 
Mtu akiua kwa upanga hapa duniani jua hata huko hukumu yake ni kupigwa upanga tu
Huko wapi? Simba atabaki kuwa simba na hukumu ya swala kwa Simba itabaki kuwa machozi ya Samaki. We last one second.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…